Ushauri: Mrembo kanipanda kichwani hataki kuondoka nyumbani kwangu

Ushauri: Mrembo kanipanda kichwani hataki kuondoka nyumbani kwangu

Shida ni nipo nasoma chuo na kufanya kazi so naona kuanza kuisha na mwanamke tutasumbua tu na kuchanganyana akili.. So lengo langu awe anakuja weekend tu na kuondoka na sio kuja na kukaa week nzima au mwezi atanichosha akili na mwili
Akae hapo hapo mpange fyucha pamoja. Two heads are better than one. Mwambie asitoke!
 
Hujamfanya hujakoleza ikavimba,tunakimbiaga wenyewe mbona.Mwombe akusindikize unapoenda job akitoka tu funga mlango akilazimisha msukume bora aanguke kuliko aibu inayoelekea kukuta then kalale lodge usiku mmoja tu
😂😂😂😂navuta taswira ya hiyo kusukumana
 
Ni binti mzuri tu anavutia sana nilikutana nae kwa mara ya kwanza kwenye mkesha wa mwaka mpya tena kanisani. Baada ya siku tano nikamtongoza tukawa wapenzi

Jumapili iliyopita nilifanikiwa kumleta maghetoni na kula mzigo kwa mara ya kwanza.

Sasa ndugu msomaji huyu mrembo toka aje jumamapili mpaka leo ijumaa amegoma kabisa kuondoka kwao.

Nimetumia mbinu zote za kidiplomasia naona inashindika ananiambia ataondoka siku atakayojisikia.

Na nikisema nitumie nguvu naona itakua noma kutaibuka makelele hapa na hawa majirani wananiheshimu sana.

Sasa wakulungwa wenzangu emu nipeni ushauri hapa nifanye nini? Au niende polisi maana naona ishakua noma.
tulia kwani shida ni nini?Si yuko mapumzikoni?
 
Ni binti mzuri tu anavutia sana nilikutana nae kwa mara ya kwanza kwenye mkesha wa mwaka mpya tena kanisani. Baada ya siku tano nikamtongoza tukawa wapenzi.

Jumapili iliyopita nilifanikiwa kumleta maghetoni na kula mzigo kwa mara ya kwanza.

Sasa ndugu msomaji huyu mrembo toka aje Jumamapili mpaka leo Ijumaa amegoma kabisa kuondoka kwao.

Nimetumia mbinu zote za kidiplomasia naona inashindika ananiambia ataondoka siku atakayojisikia.

Na nikisema nitumie nguvu naona itakua noma kutaibuka makelele hapa na hawa majirani wananiheshimu sana.

Sasa wakulungwa wenzangu emu nipeni ushauri hapa nifanye nini? Au niende polisi maana naona ishakua noma.
Wako tena huyo🤸.
 
Huwa siruhusu demu ambaye sina malengo nae alale kwangu,au aje come & stay hata ya weekend..tutaondoka kwenda kwake hata kama ni saa tisa usiku.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Sijui ataficha wapi uso wake pale atakapochomoka na mafuta ya nazi kutoka kwenye mkoba wake
Unamgeuzia kibao.."kumbe wewe ni muhuni hivi"..nakupa dakika kumi uondoke kwangu huku ukitoa panga chini ya uvungu.
 
Aise umenikumbusha[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kuna manzi alitimba maskani siku ya kwanza akalala kesho yake akasepa asubuh kurudi kwao....
Next time akaja tena
Kafika night ....nkampa key me nkasepa kuchek game coz room sina dstv
Ile nafika nakuta heeeee!! Kapanga nguo zake kwenye kabati
Vyupi kavipanga pale nin freshiiii yan[emoji28][emoji28]
Nkaona hu msala..::
Nkaingia kuoga nkamwambia KESHO unavyoondoka nauli yako hi akaitikia Ahsante...
Asubuh nmeamka nkajua kama kawaida nakuta mwenzangu kavuta duvet kajifunika hadi usoni....
Kifupi alikaa had siku3!!!
Kazi yake ni kuplay music tu
Anahamisha tu azam 1,2 cenema zetu
Na kamziki kwa mbaliii[emoji28][emoji28][emoji28]
Nkachukua fimbo ya mfagio wakusimama nkapiga dish ligeukie tandahimba huko....nkasikia sauti imetoka ndani aaaah nini tenaaaa[emoji28][emoji28] ah
Sauti ya redio ikapandishwa na bass kidogo
Na tatizo lingine me room hua na kila kitu
Kwenye fridge kuna mananasi na tikiti
Kwenye tray kuna viaz na nyanya nbichi
Chin kuna mayai kama trey hiv nmetoka kununua
Dogo akasema sas utakoma....[emoji16][emoji16][emoji16]
Nlikuj kutumia akil nyingine kabisa hadi kumuondoaa
 
Hapo ulimuhaidi utamuoa,

Asee kaingia kwenye mahusiano na matarajo.
 
Kama ni mwisilamu wee agiza kitimoto mwanzo mwisho!
Pia ita washikaji waje kuchek TV had usiku
Umeshaambiwa wamekutana kwenye mkesha wa mwaka mpya kanisani.....kwa hiyo ukiagiza kitimoto ndio kwanza atafurahia kwa kumkirimu vizuri na hao washikaji ndio ataona umefikia hatua ya kumtambulisha kwa marafiki zako, atawapikia na kupakua kwa raha zooote.
 
Badilisha ratiba ya msosi hapo geto uweke ratiba za jela chakula ni mara moja tu kwa siku tena iwe ni uji bila kitafuno alaf saa 10 jion ili tu asife

Kuamka iwe saa 10 alfajiri unamuamsha kwa kumwagia ndoo ya maji
 
Ni binti mzuri tu anavutia sana nilikutana nae kwa mara ya kwanza kwenye mkesha wa mwaka mpya tena kanisani. Baada ya siku tano nikamtongoza tukawa wapenzi.

Jumapili iliyopita nilifanikiwa kumleta maghetoni na kula mzigo kwa mara ya kwanza.

Sasa ndugu msomaji huyu mrembo toka aje Jumamapili mpaka leo Ijumaa amegoma kabisa kuondoka kwao.

Nimetumia mbinu zote za kidiplomasia naona inashindika ananiambia ataondoka siku atakayojisikia.

Na nikisema nitumie nguvu naona itakua noma kutaibuka makelele hapa na hawa majirani wananiheshimu sana.

Sasa wakulungwa wenzangu emu nipeni ushauri hapa nifanye nini? Au niende polisi maana naona ishakua noma.
wewe si poti!
 
Back
Top Bottom