Ushauri: Msaada kuhusu tabia ya wizi iliyokubuhu kwa kijana wangu

Hapo utaamua kinachokufaa lakini huyo mwizi kumdhibiti ni kazi ashaenda viwango vingine ukilinganisha na umri wake
Naumia Sana bado mdogo Sana huyu sijui kajifunzia wapi haya nimekumbuka pia alipigwa na mangi pale dukani alikuwa anapitisha mkono wanachukua bites hizi mwenzie akakimbia.

ilikuwa jioni nikaambiwa nilikuwa ndani nikatoka mbio nikakuta dogo anakanyagwa chini Kama furushi niliumia Sana.
 
Kaka yako yupo sahihi kusema kuwa wewe ndo umemharibu dogo, ikiwa hapa JF huna cha maana unaandika itakuwa kumlea mtoto..!

Halafu unasema kulea mabao ya watu ni ushezi..! hapo ni dhahiri kweli wewe ni Punguani Waheed.

Yaani unamtukana na Kukukejeli Kaka yako, namna hivyo..!? Acha tu wengine akina Ghazwat tukudharau.
 
Mambo ya kule jukwaa la michezo hasira unazileta hapa na wala sio mzaha.

sawa asante Sana umefurahi?
 

Labda tumsikilize na mtoto maana wewe inaonekana ni ukoo wa Malaika, na dogo ni ibilisi, ili kuwe na Haki ni vyema tumsikie na mtoto

maana hii Chai yako imekolea Sana tangawizi.
 
Labda tumsikilize na mtoto maana wewe inaonekana ni ukoo wa Malaika, na dogo ni ibilisi, ili kuwe na Haki ni vyema tumsikie na mtoto maana hii Chai yako imekolea Sana tangawizi.
daaah ila hii forums sometimes huwa inashangaza Sana na kuwa na watu wa aina yako.

mtu mpaka anafikia kusema swala nyeti kama hili ujue limemzidia lakini wewe unawaza chai.

sometimes huwa naona majibu kama haya yanafanya jf isiwe mahala salama tena.
 
Umenikumbusha mwaka 2019 uncle aliniomba nimsadie kumsomesha mwanaye.

Dogo akaanza tabia ya kuchelewa kurudi home, mara akaanza kuiba pesa kidogo. Akaja kuiba simu ya jirani yangu ikapita wiki akaiba pesa (Mpesa) kwenye simu ya Wife.

Nilimrudisha kwao on spot. Tumefika kule (ni bush) alilia sana kuonesha kujutia lakini sikurudi nyuma.

Hadi sasa sitaki tena habari za kukaa na watoto wa ndugu. Akitaka msaada atasaidiwa akiwa huko huko kwao
 
Mpeleke kwa washauri nasihi
 
Tabia ya wizi kwa mtot kama huyo inakua ya kurithi na ipo kwenye damu kubadilika ni ngumu kidg ila wengine wanapofika umri wa kujielewa au kujitambua hupunguza au kuacha kabisa au kuongeza iyo tabia maradufu.

Sasa kikubwa hapo kaa na bro wako dogo arudi kwao na wewe umsomeshe dogo kutokea huko huko kwao ila usikae nae tena hiyo ni lawama ya wazi wazi Mkuu.
 
some times huwa nadhani ni marafiki wa Hugo shuleni ndio chanzo au?
 
Tatizo kaka zangu hawawezi na hawataki kusikia ili wanaamini nina uwezo wa kumtunza huyu dogo,
sijui nifanyeje?
Kwanza ondoa hii kauli yako, hawataki kwa sababu gani? kwani wewe ndio uliwaamvia wamzae huyo kijana? mzazi wake kwa nini anashindwa kukaa nae?

Mrudishe huyo mtoto faster kwa babake, then mwambie kama ni kumtunza basi utakua unamtumia pesa ya mahitaji yake huko huko, im telling you huyo.kijana watakuja wamuue kwa wizi na lawama zitarudi kwako, wacha akafie kwa wazazi wake, kama ameshindwa kukaa na wewe kistaarabu, wacha arudi huko kwao akafanye uhuni huko.

Aisee ningekua mimi yani matukio matatu angesharudi kitambo.

Baba yake kama hamtaki basi mpeleke.kamuache hapo kwao wao wajue watampeleka wapi. Eti hawataki, kwani walizaa ili uje kuwalelea

Sent from my vivo X6D using JamiiForums mobile app
 
Ishu hpo ni makundi, muhamishe shule. Uskute hta shule kwenyewe huwa hafiki
 
Kuna tabia zingine ni za kurithi mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…