Ushauri: Msaada kuhusu tabia ya wizi iliyokubuhu kwa kijana wangu

daaah
ila hii forums sometimes huwa inashangaza Sana na kuwa na watu wa aina yako.
mtu mpaka anafikia kusema swala nyeti kama hili ujue limemzidia lakini wewe unawaza chai.
sometimes huwa naona majibu kama haya yanafanya jf isiwe mahala salama tena.

Mjinga huyu, kuna namna anazidisha tuhuma za mtoto, na sisi tuna jua watoto na malezi..

Pia angalia nature za post zake
 
Ana jambo moja kati ya haya 2;

1. Ni mvuta bangi addicted,
Hiyo kiu ya bange ndio humpelekea kuhitaji pesa hata ya dhuluma. Au

2 . Ana pepo la wizi ndilo humsukuma kuiba.
Kama uko vizuri rohoni mwite mfanyie maombi hilo pepo litamtoka atakuwa mtoto mzuri.
 
Mambo ya kule jukwaa la michezo hasira unazileta hapa na wala sio mzaha.

sawa asante Sana umefurahi?
Nimekuambia ukweli tu wala si mzaha, Kaka yako na Ndugu wengine wapo sahihi kuwa dogo umemharibu.

Na unavyoanza kumwadhibu ndo unamfanya awe sungu balaa, badala kuangalia wapi umekosea wewe unabaki kumtukana Kaka yako eti Kulea mabao ya watu ni ushenzi, haya matusi mazito sana, imenisikitisha mno hii Kauli, mtake radhi hata kwa siri..!

Halafu msemo huu unaulewaje? Kuzaa si Kazi, Kazi Kulea Mtoto. Tafakari sana..!
 
Wakuu
Naamini kila mtu huwa anakosea, lakini linapokuja swala la kukosea mara kwa mara huwa linatia hasira Sana.

Huyu mtoto wangu anasoma darasa la 6 ,ni mtoto wa Kaka yangu alimleta hapa kwangu ili asome,

Sasa kinachozidi kunipa wasiwasi ni tabia yake ya wizi uliokubuhu!

Yaani kwa umri wake na vitu anavyoiba nabaki mdomo wazi kabisa.

Sijawahi hata kumuadhibu lakini jana imenipasa baada ya yeye kuuza simu tatu kwa bodaboda tatu wakuu!
Bora hata angeuza bei kauza elfu 7.

Alishasema mara nyingi harudii lakini ni yale yale nimempiga na leo hawezi kutembea wa kwenda shule amelala tu.

Alishaiba hela Sana ndani huwa nina tabia ya kuweka noti ndogo ndogo kwenye dressing table pale, so anapokuja asubuhi kuomba hela ya kula shule namwambia achukue buku yeye anapita nazo zote huwa nanyamaza tu.

Alishaiba baiskeli ya wenzie shule wakamfuata mpaka huku nyumbani kwangu niliskia aibu Sana nilipoambiwa hilo.

Aliiba laptop ya mwalimu! Najiuliza aliwezaje nayo pia walimdaka nayo.

Vingine ndani vitu anauza mfano aliingia Store akauza pampu, aliuza charge ya simu, flash disk yangu pia yenye documents muhimu sanaa aliuza.!

Sasa chai anakunywa asubuhi, pesa ya kula shule ninampa, lakini bado anaiba nimekosea wapi? Nikimwambia kaka yangu huko kwake ananilaumu na ndugu wengine kuwa nimemuharibu mtoto wake..!

Kuna jirani alisema nimpeleke dogo polisi, hili haliingii akilini polisi kufanyeje sasa kwa mtoto mdogo kama huyu? Si nitamuharibu zaidi?

Mbaya zaidi na kanisani huwa anaenda kila Jumapili.!
Nahofia kanisani atakuja kuiba sadaka.

Aliwahi pia kuiba pesa za wageni wangu 65k nikamsachi na kumkuta nazo, imagine aibu niliyoipata!,

Nilimnunulia mpira na viatu vya kuchezea soka, lakini cha ajabu aliuza huo mpira, viatu mpaka kijazio!

Hii shida ya kulea mabao ya watu ni ushenzi Sana!

Nishauri wakubwa.
Huyo sio damu yenu cheki vizuri upande wenu na upande wa mama yke inawezekana kuna tabia hiyo,sabaya nae alianza tabia yake umri huo
 
Nimekuambia ukweli tu wala si mzaha, Kaka yako na Ndugu wengine wapo sahihi kuwa dogo umemharibu.

Na unavyozidi kumchapa ndo unamfanya awe sungu balaa, badala kuangalia wapi umekosea wewe unabaki kumtukana Kaka yako eti Kulea mabao ya watu ni ushenzi, haya matusi mazito sana, imenisikitisha mno hii Kauli, mtake radhi hata kwa siri..!

Halafu msemo huu unaulewaje? Kuzaa si Kazi, Kazi Kulea Mtoto. Tafakari sana..!
Haya lakini umeona hilo tu basi huoni jitihada zangu ninazotumia kumlea kama mwanangu kabisa huoni?

Mimi naona haya masimba na yanga tunayobishana kule sports yanakupa hasira bado yale ni mampira tu wewe unachukulia serious Sana mzee..!

Nimesema wazi sijawahi kumchapa kabisa hii ni mara ya kwanza na wala sijapenda kabisa lakini huoni hilo!

majukwaa mengine huku tuwe serious ila Huko sports tuongee mizaha ni ushauri tu.
 
ebana eeeh usiombee ndo ukute mtoto wa singomaza ana tabia hiyo
na mamaake ndo ushamuoa
bana wee utajuta ikiwa mamaake anamtetea na toto alikuheshimu hatari ndugu yangu

Mimi bana tabia ya wizi na kwangu tofauti nafukuza tu
 
Huyo dogo mpeleke kwa ma mwela afu umfate baada ya siku 3 utakuja kunishukuru

Bila shaka dogo alianza kupima maji kwa kuanza kuiba vitu vidogo vidogo, reaction yenu alipoiona ni weak aka switch mpaka kuiba vitu vikubwa

Mkizubaa hata hiyo nyumba anaweza piga mnada kama hati mtaweka kihasara hasara

Pia acha mazoea ya kumpa mpa vi hela, mtoto wa miaka 6 anatakiwa awe anapata mahitaji yote nyumbani sio kumpa pesa akanunue nunue vitu mitaani kwa kufikiria huo ni upendo au ni type ya malezi bora unless iwe pesa ambayo haiepukiki kama nauli ya shule

Mtoto ukishamzoesha kumpa pesa hata siku ikitokea huna anaweza kuhesabu kama deni na hapo atajikuta siku yake inakuwa ngumu bila pesa na kutamani kuiba

Kingine ni reaction yako kwa mzazi wa huyo mtoto, hupaswi kuwa nyonge kwa dogo kwasababu ukiwa mkali kaka yako ana mind.
 
Wakuu
Naamini kila mtu huwa anakosea, lakini linapokuja swala la kukosea mara kwa mara huwa linatia hasira Sana.

Huyu mtoto wangu anasoma darasa la 6 ,ni mtoto wa Kaka yangu alimleta hapa kwangu ili asome,

Sasa kinachozidi kunipa wasiwasi ni tabia yake ya wizi uliokubuhu!

Yaani kwa umri wake na vitu anavyoiba nabaki mdomo wazi kabisa.

Sijawahi hata kumuadhibu lakini jana imenipasa baada ya yeye kuuza simu tatu kwa bodaboda tatu wakuu!
Bora hata angeuza bei kauza elfu 7.

Alishasema mara nyingi harudii lakini ni yale yale nimempiga na leo hawezi kutembea wa kwenda shule amelala tu.

Alishaiba hela Sana ndani huwa nina tabia ya kuweka noti ndogo ndogo kwenye dressing table pale, so anapokuja asubuhi kuomba hela ya kula shule namwambia achukue buku yeye anapita nazo zote huwa nanyamaza tu.

Alishaiba baiskeli ya wenzie shule wakamfuata mpaka huku nyumbani kwangu niliskia aibu Sana nilipoambiwa hilo.

Aliiba laptop ya mwalimu! Najiuliza aliwezaje nayo pia walimdaka nayo.

Vingine ndani vitu anauza mfano aliingia Store akauza pampu, aliuza charge ya simu, flash disk yangu pia yenye documents muhimu sanaa aliuza.!

Sasa chai anakunywa asubuhi, pesa ya kula shule ninampa, lakini bado anaiba nimekosea wapi? Nikimwambia kaka yangu huko kwake ananilaumu na ndugu wengine kuwa nimemuharibu mtoto wake..!

Kuna jirani alisema nimpeleke dogo polisi, hili haliingii akilini polisi kufanyeje sasa kwa mtoto mdogo kama huyu? Si nitamuharibu zaidi?

Mbaya zaidi na kanisani huwa anaenda kila Jumapili.!
Nahofia kanisani atakuja kuiba sadaka.

Aliwahi pia kuiba pesa za wageni wangu 65k nikamsachi na kumkuta nazo, imagine aibu niliyoipata!,

Nilimnunulia mpira na viatu vya kuchezea soka, lakini cha ajabu aliuza huo mpira, viatu mpaka kijazio!

Hii shida ya kulea mabao ya watu ni ushenzi Sana!

Nishauri wakubwa.
Baba yake hana uwezo wa kumlea? Kama anao kwanini usimgeuzie lawama yeye? Kwanini uendelee kuteseka wakati uwezo wa kuondokana na mateso unao?

Kwa maelezo yako inaonekana kwenye familia yenu wewe ndio kidgo una kauwezo kwahiyo suala la malezi ya ndugu zako inaonekana ni jukumu lako wewe!

Tabia ya wizi kama imeshaanza kumuingia damuni hatoacha hata ufanye nini,ushauri wangu mrudishe kwa baba yake kama lawama kubali kubeba
 
Mjinga huyu, kuna namna anazidisha tuhuma za mtoto, na sisi tuna jua watoto na malezi... Pia angalia nature za post zake
Na hii ilipelekea kifo cha mtu humu hivi hivi vitu vingine kila kitu unadhani mzaha sio
hongera Sana unawajua watoto wote.
 
Rejea comment #2 na #4. mrudishekwao haraka sana.

Wala usihangaike kumpiga au kuumiza kichwa.

Kwa mimi mwenye imani ya kilokole (TAG). ana pepo la wizi.
Sio makanisa yote yanaweza kutoa mavitu hayo. Kwa manabii na mitume ndio usiende kabisa.

Mfanyakazi mwenzangu alikuwa ana ndugu yake ana mtoto kama huyo wa kike mwizi vibaya. Na alikuwa wala hakai kwake.

Akija kuwatembelea nyumbani huyo rafiki yangu akawa anaficha hela asiibiwe. Siku moja akaficha hela kwenye soksi na zile soksi kachomeka kwenye viatu halafu viatu kaweka chumbani. Nyumba ni yake sio ya kupanga.

Sasa huyo binti mwizi au choli katoka kigamboni kuwatembelea kimara, lakini bado aliweza kuingia chumbani na kuiba zile hela na kuacha viatu na soksi. Lile pepo linampa ramani. Hata kwa kijana wako ndio hivyo. Utaongea sana hamna kitu.

Bahati mbaya mambo ya kiroho ni vigumu kumsadikisha mtu kuelewa
Ukweli ni huo, ni kama pepo la umalaya, betting, ulevi, uongo,uchawi na wizi n.k
 
Hawataki watasema mimi ni mchoyo na mbinafsi huyu ni kama mwanangu
Acha hizo wewe kuwa na msimamo wa kiume hizi familia zetu za kiswahili ukiziendekeza kisa kuogopa lawama shida utapata wewe..

Haya mambo ndio yalimkuta Emmanuel Adebayor lakini akakubali kubeba lawama
 
Nimeongea na dogo hapa sasa hivi nimemwambia nimrudishe kwa baba amekataa kabisa analia anadai nimsamehe harudii tena lakini alishaomba msamaha mara nyingi Sana

naumia Sana nampenda huyu ni damu yangu kabisa.
 
Acha hizo wewe kuwa na msimamo wa kiume hizi familia zetu za kiswahili ukiziendekeza kisa kuogopa lawama shida utapata wewe..Haya mambo ndio yalimkuta Emmanuel Adebayor lakini akakubali kubeba lawama
Nashukuru Sana mkuu.
 
Rejea comment #2 na #4. mrudishekwao haraka sana.

Wala usihangaike kumpiga au kuumiza kichwa.

Kwa mimi mwenye imani ya kilokole (TAG). ana pepo la wizi.
Sio makanisa yote yanaweza kutoa mavitu hayo. Kwa manabii na mitume ndio usiende kabisa.

Mfanyakazi mwenzangu alikuwa ana ndugu yake ana mtoto kama huyo wa kike mwizi vibaya. Na alikuwa wala hakai kwake.

Akija kuwatembelea nyumbani huyo rafiki yangu akawa anaficha hela asiibiwe. Siku moja akaficha hela kwenye soksi na zile soksi kachomeka kwenye viatu halafu viatu kaweka chumbani. Nyumba ni yake sio ya kupanga.

Sasa huyo binti mwizi au choli katoka kigamboni kuwatembelea kimara, lakini bado aliweza kuingia chumbani na kuiba zile hela na kuacha viatu na soksi. Lile pepo linampa ramani. Hata kwa kijana wako ndio hivyo. Utaongea sana hamna kitu.

Bahati mbaya mambo ya kiroho ni vigumu kumsadikisha mtu kuelewa
Ukweli ni huo, ni kama pepo la umalaya, betting, ulevi, uongo,uchawi na wizi n.k
sikuwahi kuwaza kuhusu hili kabisa yaani kwa kweli umenifungua macho
 
Mkuu kwa hayo matukio mpaka hapo tambua kua unafuga kaka jambazi mtarajiwa.

Yaani hapo bado hajaonja hata utamu mbususu, akishaanza kujua kuzichakata na kuhonga basi matukio yake ya wizi yataongezeka maradufu.

Dogo anakuchukulia poa kwa kua ameshatambua upole wako na ukizidi kumuendekeza atakutesa kinyama.

Huyo dogo inatakiwa kila akipiga tukio ukimdaka usimpige fimbo, ila mpe adhabu mpaka kutembea ashindwe, kusimama ashindwe, kukaa ashindwe na kulala pia ashindwe.

Baada ya hapo dogo mwenyewe atachagua moja aidha aache wizi au aombe mwenyewe kurudi kwa babake.

Huu sio muda kabisa wa kucheka na kima.
 
Baba yake hana uwezo wa kumlea? Kama anao kwanini usimgeuzie lawama yeye? Kwanini uendelee kuteseka wakati uwezo wa kuondokana na mateso unao? Kwa maelezo yako inaonekana kwenye familia yenu wewe ndio kidgo una kauwezo kwahiyo suala la malezi ya ndugu zako inaonekana ni jukumu lako wewe!! Tabia ya wizi kama imeshaanza kumuingia damuni hatoacha hata ufanye nini,ushauri wangu mrudishe kwa baba yake kama lawama kubali kubeba
Sasa mkuu kaka yeye hawezi Sana kumlea huyu kiuwezo kidogo Huko ataishi na kusoma kwa tabu namuonea huruma
 
Wakuu
Naamini kila mtu huwa anakosea, lakini linapokuja swala la kukosea mara kwa mara huwa linatia hasira Sana.

Huyu mtoto wangu anasoma darasa la 6 ,ni mtoto wa Kaka yangu alimleta hapa kwangu ili asome,

Sasa kinachozidi kunipa wasiwasi ni tabia yake ya wizi uliokubuhu!

Yaani kwa umri wake na vitu anavyoiba nabaki mdomo wazi kabisa.

Sijawahi hata kumuadhibu lakini jana imenipasa baada ya yeye kuuza simu tatu kwa bodaboda tatu wakuu!
Bora hata angeuza bei kauza elfu 7.

Alishasema mara nyingi harudii lakini ni yale yale nimempiga na leo hawezi kutembea wa kwenda shule amelala tu.

Alishaiba hela Sana ndani huwa nina tabia ya kuweka noti ndogo ndogo kwenye dressing table pale, so anapokuja asubuhi kuomba hela ya kula shule namwambia achukue buku yeye anapita nazo zote huwa nanyamaza tu.

Alishaiba baiskeli ya wenzie shule wakamfuata mpaka huku nyumbani kwangu niliskia aibu Sana nilipoambiwa hilo.

Aliiba laptop ya mwalimu! Najiuliza aliwezaje nayo pia walimdaka nayo.

Vingine ndani vitu anauza mfano aliingia Store akauza pampu, aliuza charge ya simu, flash disk yangu pia yenye documents muhimu sanaa aliuza.!

Sasa chai anakunywa asubuhi, pesa ya kula shule ninampa, lakini bado anaiba nimekosea wapi? Nikimwambia kaka yangu huko kwake ananilaumu na ndugu wengine kuwa nimemuharibu mtoto wake..!

Kuna jirani alisema nimpeleke dogo polisi, hili haliingii akilini polisi kufanyeje sasa kwa mtoto mdogo kama huyu? Si nitamuharibu zaidi?

Mbaya zaidi na kanisani huwa anaenda kila Jumapili.!
Nahofia kanisani atakuja kuiba sadaka.

Aliwahi pia kuiba pesa za wageni wangu 65k nikamsachi na kumkuta nazo, imagine aibu niliyoipata!,

Nilimnunulia mpira na viatu vya kuchezea soka, lakini cha ajabu aliuza huo mpira, viatu mpaka kijazio!

Hii shida ya kulea mabao ya watu ni ushenzi Sana!

Nishauri wakubwa.
In short umeshindwa malezi
 
Mkuu kwa hayo matukio mpaka hapo tambua kua unafuga kaka jambazi mtarajiwa.
Yaani hapo bado hajaonja hata utamu mbususu, akishaanza kujua kuzichakata na kuhonga basi matukio yake ya wizi yataongezeka maradufu.
Dogo anakuchukulia poa kwa kua ameshatambua upole wako na ukizidi kumuendekeza atakutesa kinyama.
Huyo dogo inatakiwa kila akipiga tukio ukimdaka usimpige fimbo, ila mpe adhabu mpaka kutembea ashindwe, kusimama ashindwe, kukaa ashindwe na kulala pia ashindwe.
Baada ya hapo dogo mwenyewe atachagua moja aidha aache wizi au aombe mwenyewe kurudi kwa babake.
Huu sio muda kabisa wa kucheka na kima.
nikiri kwamba nilichelewa Sana kufanya haya naona kama nimechelewa Sana mkuu
 
Back
Top Bottom