Ushauri: Msaada kuhusu tabia ya wizi iliyokubuhu kwa kijana wangu

Mpeleke shule za watukutu

Ukishindwa hilo mpeleke shule za seminary
Mkuu seminari gani inalea watukutu?

Kwa ufahamu wangu seminari ataenda kupoteza ada kwani hata wiki hatoboi watamfukuza.

Seminari inalea vijana wenya nidhamu na utii wa hali ya juu sio watukutu
 
Pia kuna rafiki yangu polisi nimejaribu kuongea naye anasema jioni nimepeleke huyu dogo kwake pale akaongee naye. anasema nisimpeleke kituoni

je imekaaje hii?
Hio ya dogo kupelekwa kwa kaka polisi sidhani kama italeta athari yoyote, dogo atajiona kama vile ameenda kutembea tu nyumbani kwa kaka polisi.

Huyo polisi kama kweli anataka kukusaidia kumuweka dogo sawa kisaikolojia inatakiwa huyo polisi ndio aje home kwa dogo, tena ikiwezekana aje na pingu na bunduki kabisa, akishafika home yeye ndie anamuita dogo kwa jina lake tena kwa ukali halafu anachimba biti matata sana na kumuonya endapo atarudia kuiba hio binduki itakuja kufanya kazi yake.
10307361_807166232634618_1686232840898764867_n.jpg
 
Hawataki watasema mimi ni mchoyo na mbinafsi huyu ni kama mwanangu
Subiri matokeo siku atachomwa moto mikononi mwako ndio utajua kuwa ulikuwa unakosea kuhofia ndugu. Rudisha kwa baba yake kama ni kumsomesha kamsomehe akiwa huko. Tafuta namna nzuri ya kuwarudishia mzigo wao, hata boring kampeleke akitoke kwa baba yake kwani hatatoboa atarudishwa ila atarudishwa kwa baba yake na hapo utakuwa ushautua mzigo
 
Simple mrejeshe umsaidie akiwa kwa baba yake lengo si asome?maana Shule zipo kibao hadi vjjn
 
Hawataki arudi wanasema mimi ni mbinafsi na mchoyo.
Ipo siku utakuja kuona ni bora maneno yao ya wewe ni mbinafsi yalikuwa ni bora mara 1000 kuliko tukio ambalo dogo atakuja kukupiga nalo.
 
Sasa si umrudishe kwa baba yake vitu vingine mbona simple tu siku akija kuingia 18 za wauni wanampiga huyo halafu msala utakuwa kwako.
 
Mtoto kakuona wewe ni laini laini sana ndio maana anaendelea kuiba tu

mwache aendelee walimwengu tunamsubiri kwa hamu sana aingie anga zetu!!

Kuku tu itamtoa Roho!

hapo ndo utakuja kusema kwann sikumrudisha kwao mapema, and its too late
 
Wew huna mtot au uko single tuje kusaidiana kulea huyo dogo kichapo changu niheavy Sana tu atakuwa mtu sahh mbeleni
 
Wakuu,

Naamini kila mtu huwa anakosea, lakini linapokuja swala la kukosea mara kwa mara huwa linatia hasira sana.

Huyu mtoto wangu anasoma darasa la 6 ,ni mtoto wa Kaka yangu alimleta hapa kwangu ili asome,

Sasa kinachozidi kunipa wasiwasi ni tabia yake ya wizi uliokubuhu!

Yaani kwa umri wake na vitu anavyoiba nabaki mdomo wazi kabisa.

Sijawahi hata kumuadhibu lakini jana imenipasa baada ya yeye kuuza simu tatu kwa bodaboda tatu wakuu!

Bora hata angeuza bei kauza elfu 7.

Alishasema mara nyingi harudii lakini ni yale yale nimempiga na leo hawezi kutembea wa kwenda shule amelala tu.

Alishaiba hela sana ndani huwa nina tabia ya kuweka noti ndogo ndogo kwenye dressing table pale, so anapokuja asubuhi kuomba hela ya kula shule namwambia achukue buku yeye anapita nazo zote huwa nanyamaza tu.

Alishaiba baiskeli ya wenzie shule wakamfuata mpaka huku nyumbani kwangu niliskia aibu sana nilipoambiwa hilo.

Aliiba laptop ya mwalimu! Najiuliza aliwezaje nayo pia walimdaka nayo.

Vingine ndani vitu anauza mfano aliingia Store akauza pampu, aliuza charge ya simu, flash disk yangu pia yenye documents muhimu sanaa aliuza!

Sasa chai anakunywa asubuhi, pesa ya kula shule ninampa, lakini bado anaiba nimekosea wapi? Nikimwambia kaka yangu huko kwake ananilaumu na ndugu wengine kuwa nimemuharibu mtoto wake.

Kuna jirani alisema nimpeleke dogo polisi, hili haliingii akilini polisi kufanyeje sasa kwa mtoto mdogo kama huyu? Si nitamuharibu zaidi?

Mbaya zaidi na kanisani huwa anaenda kila Jumapili.

Nahofia kanisani atakuja kuiba sadaka.

Aliwahi pia kuiba pesa za wageni wangu 65k nikamsachi na kumkuta nazo, imagine aibu niliyoipata!

Nilimnunulia mpira na viatu vya kuchezea soka, lakini cha ajabu aliuza huo mpira, viatu mpaka kijazio!

Hii shida ya kulea mabao ya watu ni ushenzi sana!

Nishauri wakubwa.
Mpeleke shule ya jeshi huyo atanyooka tu
 
Wakuu
Naamini kila mtu huwa anakosea, lakini linapokuja swala la kukosea mara kwa mara huwa linatia hasira Sana.

Huyu mtoto wangu anasoma darasa la 6 ,ni mtoto wa Kaka yangu alimleta hapa kwangu ili asome,

Sasa kinachozidi kunipa wasiwasi ni tabia yake ya wizi uliokubuhu!

Yaani kwa umri wake na vitu anavyoiba nabaki mdomo wazi kabisa.

Sijawahi hata kumuadhibu lakini jana imenipasa baada ya yeye kuuza simu tatu kwa bodaboda tatu wakuu!
Bora hata angeuza bei kauza elfu 7.

Alishasema mara nyingi harudii lakini ni yale yale nimempiga na leo hawezi kutembea wa kwenda shule amelala tu.

Alishaiba hela Sana ndani huwa nina tabia ya kuweka noti ndogo ndogo kwenye dressing table pale, so anapokuja asubuhi kuomba hela ya kula shule namwambia achukue buku yeye anapita nazo zote huwa nanyamaza tu.

Alishaiba baiskeli ya wenzie shule wakamfuata mpaka huku nyumbani kwangu niliskia aibu Sana nilipoambiwa hilo.

Aliiba laptop ya mwalimu! Najiuliza aliwezaje nayo pia walimdaka nayo.

Vingine ndani vitu anauza mfano aliingia Store akauza pampu, aliuza charge ya simu, flash disk yangu pia yenye documents muhimu sanaa aliuza.!

Sasa chai anakunywa asubuhi, pesa ya kula shule ninampa, lakini bado anaiba nimekosea wapi? Nikimwambia kaka yangu huko kwake ananilaumu na ndugu wengine kuwa nimemuharibu mtoto wake..!

Kuna jirani alisema nimpeleke dogo polisi, hili haliingii akilini polisi kufanyeje sasa kwa mtoto mdogo kama huyu? Si nitamuharibu zaidi?

Mbaya zaidi na kanisani huwa anaenda kila Jumapili.!
Nahofia kanisani atakuja kuiba sadaka.

Aliwahi pia kuiba pesa za wageni wangu 65k nikamsachi na kumkuta nazo, imagine aibu niliyoipata!,

Nilimnunulia mpira na viatu vya kuchezea soka, lakini cha ajabu aliuza huo mpira, viatu mpaka kijazio!

Hii shida ya kulea mabao ya watu ni ushenzi Sana!

Nishauri wakubwa.

Mkuu pole sana.pia hongera sana kwa uvumilivu.labda swali tuu.ilikuwaje baba yake akamleta huyo mtotonasome akitikea kwako? je alifika hapo akiwa na umri gani?akiwa ameanza shule au alianzia shule hapo kwako? Je huyo ni mtoto wa nje wa huyo kaka yako au ni mtoto ndani ya ndoa? Vipi wewe mwenyewe umeoa au upo single? wewe unapataga muda kiasi gani wa kukaa na huyo dogo kupata kuelewa shida zinazomakabili? unajuaje kwamba fedha unazompatia huwa zinakidhi haja zake zote?

Inaonekana umeanza kubebeshwa lawama kwa malezi mabaya.

Kama hii tabia imeanzia hapo kwako basi tafuta pia,ujue chanzo chake.unaweza usiwe indeoendent kupata weakness point.washirikishe washikaji.pia kumpiga dogo haiwezi kusaidia sana.hebu tafuta chanzo cha dogo kuwa mwizi.

otherwise inaweza kuwa ni nguvu za giza pia.jaribu kuwashirikisha watu wa kanisani kwako
 
Hii shida ya kulea mabao ya watu ni ushenzi sana!

Ni sahihi mkuu kwa watoto wenye tabia kama hiyo.

Ila sio ushenzi kwa watoto wenye tabia njema.

Kama ulianza kumlea akiwa kashakuwa mkubwa hapo tabia hiyo kuna uwezekano imeanzia kwao. Pia kwa upande mwingine mazingira aliyopo sasa yanaweza kumshawishi na kuingia kwenye tabia hiyo.

Ulipoanza kugundua hii tabia yake uliwahi kumuonya?(samaki mkunje angali mbichi)

Fanya utafiti wa chanzo ya tabia hiyo halafu ufanye maamuzi sahihi
 
Kama una uwezo mpeleke shule ya bweni ya jeshi mkuu. Kaa na mkuu wa shule mpige hela halafu mweleze tatizo lake lote. Wanachomfanya ni kumpa cheo tu na anatakiwa kuripoti kila cku mwenendo changamoto na nini kifanyike kusaidia darasa lisonge. Niliwah kumfanyia hiv mdogo wangu sasa hivi ni mwanasheria.
 
Mrudishe kwao.kwa hapo alipofika ni hatari Sana,anaweza iba mahali akapigwa au kuumizwa ikawa lamawa kwako.
Kwa Sasa unalaumiwa kuwa umemharibu,vipi akiumizwa utaambiwa Nini?
Mkuu chukua hatua mapema
Wakuu,

Naamini kila mtu huwa anakosea, lakini linapokuja swala la kukosea mara kwa mara huwa linatia hasira sana.

Huyu mtoto wangu anasoma darasa la 6 ,ni mtoto wa Kaka yangu alimleta hapa kwangu ili asome,

Sasa kinachozidi kunipa wasiwasi ni tabia yake ya wizi uliokubuhu!

Yaani kwa umri wake na vitu anavyoiba nabaki mdomo wazi kabisa.

Sijawahi hata kumuadhibu lakini jana imenipasa baada ya yeye kuuza simu tatu kwa bodaboda tatu wakuu!

Bora hata angeuza bei kauza elfu 7.

Alishasema mara nyingi harudii lakini ni yale yale nimempiga na leo hawezi kutembea wa kwenda shule amelala tu.

Alishaiba hela sana ndani huwa nina tabia ya kuweka noti ndogo ndogo kwenye dressing table pale, so anapokuja asubuhi kuomba hela ya kula shule namwambia achukue buku yeye anapita nazo zote huwa nanyamaza tu.

Alishaiba baiskeli ya wenzie shule wakamfuata mpaka huku nyumbani kwangu niliskia aibu sana nilipoambiwa hilo.

Aliiba laptop ya mwalimu! Najiuliza aliwezaje nayo pia walimdaka nayo.

Vingine ndani vitu anauza mfano aliingia Store akauza pampu, aliuza charge ya simu, flash disk yangu pia yenye documents muhimu sanaa aliuza!

Sasa chai anakunywa asubuhi, pesa ya kula shule ninampa, lakini bado anaiba nimekosea wapi? Nikimwambia kaka yangu huko kwake ananilaumu na ndugu wengine kuwa nimemuharibu mtoto wake.

Kuna jirani alisema nimpeleke dogo polisi, hili haliingii akilini polisi kufanyeje sasa kwa mtoto mdogo kama huyu? Si nitamuharibu zaidi?

Mbaya zaidi na kanisani huwa anaenda kila Jumapili.

Nahofia kanisani atakuja kuiba sadaka.

Aliwahi pia kuiba pesa za wageni wangu 65k nikamsachi na kumkuta nazo, imagine aibu niliyoipata!

Nilimnunulia mpira na viatu vya kuchezea soka, lakini cha ajabu aliuza huo mpira, viatu mpaka kijazio!

Hii shida ya kulea mabao ya watu ni ushenzi sana!

Nishauri wakubwa.
 
Wakuu,

Naamini kila mtu huwa anakosea, lakini linapokuja swala la kukosea mara kwa mara huwa linatia hasira sana.

Huyu mtoto wangu anasoma darasa la 6 ,ni mtoto wa Kaka yangu alimleta hapa kwangu ili asome,

Sasa kinachozidi kunipa wasiwasi ni tabia yake ya wizi uliokubuhu!

Yaani kwa umri wake na vitu anavyoiba nabaki mdomo wazi kabisa.

Sijawahi hata kumuadhibu lakini jana imenipasa baada ya yeye kuuza simu tatu kwa bodaboda tatu wakuu!

Bora hata angeuza bei kauza elfu 7.

Alishasema mara nyingi harudii lakini ni yale yale nimempiga na leo hawezi kutembea wa kwenda shule amelala tu.

Alishaiba hela sana ndani huwa nina tabia ya kuweka noti ndogo ndogo kwenye dressing table pale, so anapokuja asubuhi kuomba hela ya kula shule namwambia achukue buku yeye anapita nazo zote huwa nanyamaza tu.

Alishaiba baiskeli ya wenzie shule wakamfuata mpaka huku nyumbani kwangu niliskia aibu sana nilipoambiwa hilo.

Aliiba laptop ya mwalimu! Najiuliza aliwezaje nayo pia walimdaka nayo.

Vingine ndani vitu anauza mfano aliingia Store akauza pampu, aliuza charge ya simu, flash disk yangu pia yenye documents muhimu sanaa aliuza!

Sasa chai anakunywa asubuhi, pesa ya kula shule ninampa, lakini bado anaiba nimekosea wapi? Nikimwambia kaka yangu huko kwake ananilaumu na ndugu wengine kuwa nimemuharibu mtoto wake.

Kuna jirani alisema nimpeleke dogo polisi, hili haliingii akilini polisi kufanyeje sasa kwa mtoto mdogo kama huyu? Si nitamuharibu zaidi?

Mbaya zaidi na kanisani huwa anaenda kila Jumapili.

Nahofia kanisani atakuja kuiba sadaka.

Aliwahi pia kuiba pesa za wageni wangu 65k nikamsachi na kumkuta nazo, imagine aibu niliyoipata!

Nilimnunulia mpira na viatu vya kuchezea soka, lakini cha ajabu aliuza huo mpira, viatu mpaka kijazio!

Hii shida ya kulea mabao ya watu ni ushenzi sana!

Nishauri wakubwa.
Je kaka yako mwenye mtoto hakuwa mwizi enzi zake kama sivyo basi mama yake kwao wana hizo element za wizi kingine ni dogo ana matazamio ya kuwa na pesa za kula bata wakati hana kazi..focus umpeleke JKT baada ya Form four mvumilie hata hapa yupo dogo kama huyo..
 
Boss imagine akiiba mahali kisha wananchi wenye hasira kali wampige mpaka afe. Imagine hizo lawama utakazopata. Tafakari haya maneno yangu kisha mrudishe huyo mtoto ulipomtoa . Narudia tena mrudishe mapema ikiwezekana leo.

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom