Ushauri: Msaada kuhusu tabia ya wizi iliyokubuhu kwa kijana wangu

Ushauri: Msaada kuhusu tabia ya wizi iliyokubuhu kwa kijana wangu

Sasa mkuu kaka yeye hawezi Sana kumlea huyu kiuwezo kidogo Huko ataishi na kusoma kwa tabu namuonea huruma
Wewe chukua ushauri wa watu humu ya kwamba MRUDISHE KWA BABA YAKE otherwise kama unataka thread yako ifike page nyingi endelea kujitetea kwa maswali..
 
Huyo dogo mpeleke kwa ma mwela afu umfate baada ya siku 3 utakuja kunishukuru

Bila shaka dogo alianza kupima maji kwa kuanza kuiba vitu vidogo vidogo, reaction yenu alipoiona ni weak aka switch mpaka kuiba vitu vikubwa

Mkizubaa hata hiyo nyumba anaweza piga mnada kama hati mtaweka kihasara hasara

Pia acha mazoea ya kumpa mpa vi hela, mtoto wa miaka 6 anatakiwa awe anapata mahitaji yote nyumbani sio kumpa pesa akanunue nunue vitu mitaani kwa kufikiria huo ni upendo au ni type ya malezi bora unless iwe pesa ambayo haiepukiki kama nauli ya shule

Mtoto ukishamzoesha kumpa pesa hata siku ikitokea huna anaweza kuhesabu kama deni na hapo atajikuta siku yake inakuwa ngumu bila pesa na kutamani kuiba

Kingine ni reaction yako kwa mzazi wa huyo mtoto, hupaswi kuwa nyonge kwa dogo kwasababu ukiwa mkali kaka yako ana mind.
Ushauri mzuri Sana na nimeupokea lakini polisi huyu dogo Sana hatoumia Huko kweli
 
Wewe chukua ushauri wa watu humu ya kwamba MRUDISHE KWA BABA YAKE otherwise kama unataka thread yako ifike page nyingi endelea kujitetea kwa maswali..
Sawa nimeelewa Sana baba yake nimempigia anakuja kesho.
nitaleta mrejesho
 
Nimeongea na dogo hapa sasa hivi nimemwambia nimrudishe kwa baba amekataa kabisa analia anadai nimsamehe harudii tena lakini alishaomba msamaha mara nyingi Sana
naumia Sana nampenda huyu ni damu yangu kabisa
e inaonekana huyo mtoto unamtaka, au ni mtoto wako?

Anyway, fanya jambo moja. Mpe onyo la mwisho tena ukiwa serious, inaonekana uko very weak hadi huyo kijana hakuogopi, Mwambie akijaribu kuiba hata pen, basi hakuna discussion, ni kuchukua mizigo yake na kuondoka kurudi kwao. Mwambie kabisa kua hata akijiona tu ameiba basi hapo kwako asikanyage teeeena.

Pia, Acha mpe ratiba za kua nyumbani, anatakiwa awepo home at what time, na anatakiwa awe shule at what time, any unplanned safari, hiyo ni case mwambie. Pia anza kwenda shule kufatilia mahudhulio yake, fanya ziara za kushtukoza, pia ongea na walimu, ikiwezekana muhamishe hiyo shule kabisa.

Pia Usimpee pesa isiyo ya lazima kuanzia sasa, mwambie akitaka kitu utamnunulia, mahitaji muhimu yote atapata nyumbani, he is standard 6 hatakiwi kua na pesa extra hasa kwa sababu ameonesha ni mtu mwenye tamaa.

So inabidi umcontrol, na pia fanya search za kushtukiza kukagua vitu vyake chumbani, kila kitu ambacho hukijui kuulize ametoa wapi na arudishe alikotoa, yani uwe unamkagua kila wakati, hata ukimkuta na pesa inabidi aelezee amezitoa wapi.

Then akiiba hata pen, mrudishe kwao on the spot ili ajue serious na hutanii, yani unamridisha hapo hapo bila maelezo, next time ukimchukua atakua amejifunza.

Hii itakusaidia i hope, ila unajipa kazi tu zisizokuhusu, mrudishw kwa baba ake akapambane nae amfunze mwanae yanini.kujipa stress na mtoto asietaka kusaidika? yeya yu ataka kuiba, mwache akaibe kwao.

Sent from my vivo X6D using JamiiForums mobile app
 
Mdogo sana ni yule mwenye aina ya ule wizi wa kudokoa mboga, kulamba sukari nk.

Lakini sio kwa hizo level za kuiba laptop, simu, pesa, nk
Simu ni zile viswaswadu vimekaa tu akaona Labda sivitumii sijui.

laptop ni zile shuleni huwa kuna kataasisi kanaitwa profuturo kanagawa laptop kwa shule nyingi kama msaada kwa walimu zina logo kabisa, sijui aliwezaje.
 
we inaonekana huyo mtoto unamtaka, au ni mtoto wako?

Anyway, fanya jambo moja. Mpe onyo la mwisho tena ukiwa serious, inaonekana uko very weak hadi huyo kijana hakuogopi, Mwambie akijaribu kuiba hata pen, basi hakuna discussion, ni kuchukua mizigo yake na kuondoka kurudi kwao. Mwambie kabisa kua hata akijiona tu ameiba basi hapo kwako asikanyage teeeena.

Pia,

Acha mpe ratiba za kua nyumbani, anatakiwa awepo home at what time, na anatakiwa awe shule at what time, any unplanned safari, hiyo ni case mwambie. Pia anza kwenda shule kufatilia mahudhulio yake, fanya ziara za kushtukoza, pia ongea na walimu, ikiwezekana muhamishe hiyo shule kabisa.

Pia

Usimpee pesa isiyo ya lazima kuanzia sasa, mwambie akitaka kitu utamnunulia, mahitaji muhimu yote atapata nyumbani, he is standard 6 hatakiwi kua na pesa extra hasa kwa sababu ameonesha ni mtu mwenye tamaa. So inabidi umcontrol, na pia fanya search za kushtukiza kukagua vitu vyake chumbani, kila kitu ambacho hukijui kuulize ametoa wapi na arudishe alikotoa, yani uwe unamkagua kila wakati, hata ukimkuta na pesa inabidi aelezee amezitoa wapi.

Then akiiba hata pen, mrudishe kwao on the spot ili ajue serious na hutanii, yani unamridisha hapo hapo bila maelezo, next time ukimchukua atakua amejifunza.

Hii itakusaidia i hope, ila unajipa kazi tu zisizokuhusu, mrudishw kwa baba ake akapambane nae amfunze mwanae yanini.kujipa stress na mtoto asietaka kusaidika? yeya yu ataka kuiba, mwache akaibe kwao.

Sent from my vivo X6D using JamiiForums mobile app
Nimepiga simu baba yake anakuja kesho ikiwezekana atamchukua naahidi kuleta mrejesho
 
Naumia Sana bado mdogo Sana huyu sijui kajifunzia wapi haya nimekumbuka pia alipigwa na mangi pale dukani alikuwa anapitisha mkono wanachukua bites hizi mwenzie akakimbia.

ilikuwa jioni nikaambiwa nilikuwa ndani nikatoka mbio nikakuta dogo anakanyagwa chini Kama furushi niliumia Sana.
Hizo ni genes, karithi.

Either mjomba , baba mdogo, mama, baba or somebody ktk familia au ukoo wenu kuna mwenye tabia hizo.

Check your records.
 
.....Hii shida ya kulea mabao ya watu ni ushenzi Sana!...... we mwenyewe sh$*enz#i kabsaaa sasa ka ana wazazi wake si umrejeshe

samaki mkunje angali mbichiii .... usirudie tena uwo us*hen%zi
 
Akiona mazingira wanayokaa wezi akili itamkaa sawa....
Pia kuna rafiki yangu polisi nimejaribu kuongea naye anasema jioni nimepeleke huyu dogo kwake pale akaongee naye. anasema nisimpeleke kituoni

je imekaaje hii?
 
nikiri kwamba nilichelewa Sana kufanya haya naona kama nimechelewa Sana mkuu
Bado hujachelewa mkuu ni suala la kua na maamuzi magumu.

Binafsi mimi nnapenda sana watoto na pia watoto hua wananipenda kinomanoma, ukinikuta nacheza nao unaweza kuhisi hili jamaa ni chizi, ila ukoo mzima unatambua dogo akizingua hua namfanyaje.

Kikubwa nashukuru hakuna ndugu yoyote anaelalamika pindi ninapoamua kumnyoosha mtoto yoyote anaejifanya anataka kupinda.
Mashtaka ya ukoo mzima endapo kuna dogo amezingua hua nnaletewa mimi.

Na madogo wote hua wanajua kesi zao zikifika kwangu habari yake hua inakuaje.

Ila pia hua nnakale kanyota ka kuogopeka sio kwa watoto tu hata kwa watu wazima pia.
 
Pia kuna rafiki yangu polisi nimejaribu kuongea naye anasema jioni nimepeleke huyu dogo kwake pale akaongee naye. anasema nisimpeleke kituoni

je imekaaje hii?
Rudisha kwa baba yake,unazidi kumtia usugu tuh.hawezi kubadilika.atakuja kukuuza wajiona.
 
Wala hata Haikuwa na haja ya Kuleta hapa,, huyo solution ni kumrudisha kwao baba yake apambane na Na Jambazi lake.

Kwa Dunia ya sasa Sioni haja Ya ww kuteseka na Mtoto wa Mtu wakati Baba hake anakula bata huko.
 
Back
Top Bottom