Ushauri: Msaada kuhusu tabia ya wizi iliyokubuhu kwa kijana wangu

Hata km wanasema wewe ni mbinafsi,wewe si unajijua mwenyewe.?
Lengo lako la kumrudisha si unalijua?
Haya fikiria,mfano mtoto akapata shida,watasema wewe ni mkarimu,mzembe au Nani?
Usikubali kuhukumiwa kwa kosa lisilo lako.
Au kulikuwa na mapatano kuwa utakaana huyo mtoto daima?
 
Wakuu,

Naamini kila mtu huwa anakosea, lakini linapokuja swala la kukosea mara kwa mara huwa linatia hasira sana.

Huyu mtoto wangu anasoma darasa la 6 ,ni mtoto wa Kaka yangu alimleta hapa kwangu ili asome,

Sasa kinachozidi kunipa wasiwasi ni tabia yake ya wizi uliokubuhu!

Yaani kwa umri wake na vitu anavyoiba nabaki mdomo wazi kabisa.

Sijawahi hata kumuadhibu lakini jana imenipasa baada ya yeye kuuza simu tatu kwa bodaboda tatu wakuu!

Bora hata angeuza bei kauza elfu 7.

Alishasema mara nyingi harudii lakini ni yale yale nimempiga na leo hawezi kutembea wa kwenda shule amelala tu.

Alishaiba hela sana ndani huwa nina tabia ya kuweka noti ndogo ndogo kwenye dressing table pale, so anapokuja asubuhi kuomba hela ya kula shule namwambia achukue buku yeye anapita nazo zote huwa nanyamaza tu.

Alishaiba baiskeli ya wenzie shule wakamfuata mpaka huku nyumbani kwangu niliskia aibu sana nilipoambiwa hilo.

Aliiba laptop ya mwalimu! Najiuliza aliwezaje nayo pia walimdaka nayo.

Vingine ndani vitu anauza mfano aliingia Store akauza pampu, aliuza charge ya simu, flash disk yangu pia yenye documents muhimu sanaa aliuza!

Sasa chai anakunywa asubuhi, pesa ya kula shule ninampa, lakini bado anaiba nimekosea wapi? Nikimwambia kaka yangu huko kwake ananilaumu na ndugu wengine kuwa nimemuharibu mtoto wake.

Kuna jirani alisema nimpeleke dogo polisi, hili haliingii akilini polisi kufanyeje sasa kwa mtoto mdogo kama huyu? Si nitamuharibu zaidi?

Mbaya zaidi na kanisani huwa anaenda kila Jumapili.

Nahofia kanisani atakuja kuiba sadaka.

Aliwahi pia kuiba pesa za wageni wangu 65k nikamsachi na kumkuta nazo, imagine aibu niliyoipata!

Nilimnunulia mpira na viatu vya kuchezea soka, lakini cha ajabu aliuza huo mpira, viatu mpaka kijazio!

Hii shida ya kulea mabao ya watu ni ushenzi sana!

Nishauri wakubwa.
I feel you Bro, Pole Sana Mkuu.

Watoto wa kulea wanalawama Mno
 
Ukipata mtoto pay attention ambapo itafika siku ambayo atafanya wizi wake wa kwanza na atasema uongo. Hiyo siku inatakiwa aone dunia ni chungu na haivutiwi na wezi. Hiyo siku ukimkosa ndio basi.
 
Wakuu,

Naamini kila mtu huwa anakosea, lakini linapokuja swala la kukosea mara kwa mara huwa linatia hasira sana.

Huyu mtoto wangu anasoma darasa la 6 ,ni mtoto wa Kaka yangu alimleta hapa kwangu ili asome,

Sasa kinachozidi kunipa wasiwasi ni tabia yake ya wizi uliokubuhu!

Yaani kwa umri wake na vitu anavyoiba nabaki mdomo wazi kabisa.

Sijawahi hata kumuadhibu lakini jana imenipasa baada ya yeye kuuza simu tatu kwa bodaboda tatu wakuu!

Bora hata angeuza bei kauza elfu 7.

Alishasema mara nyingi harudii lakini ni yale yale nimempiga na leo hawezi kutembea wa kwenda shule amelala tu.

Alishaiba hela sana ndani huwa nina tabia ya kuweka noti ndogo ndogo kwenye dressing table pale, so anapokuja asubuhi kuomba hela ya kula shule namwambia achukue buku yeye anapita nazo zote huwa nanyamaza tu.

Alishaiba baiskeli ya wenzie shule wakamfuata mpaka huku nyumbani kwangu niliskia aibu sana nilipoambiwa hilo.

Aliiba laptop ya mwalimu! Najiuliza aliwezaje nayo pia walimdaka nayo.

Vingine ndani vitu anauza mfano aliingia Store akauza pampu, aliuza charge ya simu, flash disk yangu pia yenye documents muhimu sanaa aliuza!

Sasa chai anakunywa asubuhi, pesa ya kula shule ninampa, lakini bado anaiba nimekosea wapi? Nikimwambia kaka yangu huko kwake ananilaumu na ndugu wengine kuwa nimemuharibu mtoto wake.

Kuna jirani alisema nimpeleke dogo polisi, hili haliingii akilini polisi kufanyeje sasa kwa mtoto mdogo kama huyu? Si nitamuharibu zaidi?

Mbaya zaidi na kanisani huwa anaenda kila Jumapili.

Nahofia kanisani atakuja kuiba sadaka.

Aliwahi pia kuiba pesa za wageni wangu 65k nikamsachi na kumkuta nazo, imagine aibu niliyoipata!

Nilimnunulia mpira na viatu vya kuchezea soka, lakini cha ajabu aliuza huo mpira, viatu mpaka kijazio!

Hii shida ya kulea mabao ya watu ni ushenzi sana!

Nishauri wakubwa.
Alipangiwa hivyo kuwa mwizi pindi tu alipozaliwa.

Kinachokupasa ni kukubaliana na iyo hali na kuzoea tu hamna namna.

Of all the forces of natural none is difficult to predict like Destiny.

Maghayo wa JF

BIOGRAPHY
 
Tafuta clips za videos, wanazochomwa moto wezi na kipondo wanachokipata, ukae nae umwonyeshe huku ukimwonya aache tabia zake za kipumbavu.

pia umkanye kabisa na kumwambia iwapo siku akiiba utampa kipondo cha kufa mwizi na utamchoma moto kama wezi wanavochomwa, afu babaake aje kuchukua mifupa.

Baada ya hapo umkalishe kikao pamoja na walimu wake wawili na mchungaji/mtumishi mumpe semina mubashara, kisha mtumishi amuombee hilo pepo la wizi litoke.

Akirudia wizi tena, lirudishe kwa babaake akalivunje mikono na miguu yeye mwenyewe.
 
Kumlelea mtoto mzazi mjinga yaani unamwambia mwanae ni mwizi(huyo sio mdokozi tena)alafu anatetea ujinga

Chukua zigo rudisha kwao kama swala ni kusomesha chukua mwingine

Dah,hilo ni jambazi tyari na kuacha hawezi yani
Atapokuja siku moja akute ndani kweupe ndio akili itamkaa.
 
Wakuu,

Naamini kila mtu huwa anakosea, lakini linapokuja swala la kukosea mara kwa mara huwa linatia hasira sana.

Huyu mtoto wangu anasoma darasa la 6 ,ni mtoto wa Kaka yangu alimleta hapa kwangu ili asome,

Sasa kinachozidi kunipa wasiwasi ni tabia yake ya wizi uliokubuhu!

Yaani kwa umri wake na vitu anavyoiba nabaki mdomo wazi kabisa.

Sijawahi hata kumuadhibu lakini jana imenipasa baada ya yeye kuuza simu tatu kwa bodaboda tatu wakuu!

Bora hata angeuza bei kauza elfu 7.

Alishasema mara nyingi harudii lakini ni yale yale nimempiga na leo hawezi kutembea wa kwenda shule amelala tu.

Alishaiba hela sana ndani huwa nina tabia ya kuweka noti ndogo ndogo kwenye dressing table pale, so anapokuja asubuhi kuomba hela ya kula shule namwambia achukue buku yeye anapita nazo zote huwa nanyamaza tu.

Alishaiba baiskeli ya wenzie shule wakamfuata mpaka huku nyumbani kwangu niliskia aibu sana nilipoambiwa hilo.

Aliiba laptop ya mwalimu! Najiuliza aliwezaje nayo pia walimdaka nayo.

Vingine ndani vitu anauza mfano aliingia Store akauza pampu, aliuza charge ya simu, flash disk yangu pia yenye documents muhimu sanaa aliuza!

Sasa chai anakunywa asubuhi, pesa ya kula shule ninampa, lakini bado anaiba nimekosea wapi? Nikimwambia kaka yangu huko kwake ananilaumu na ndugu wengine kuwa nimemuharibu mtoto wake.

Kuna jirani alisema nimpeleke dogo polisi, hili haliingii akilini polisi kufanyeje sasa kwa mtoto mdogo kama huyu? Si nitamuharibu zaidi?

Mbaya zaidi na kanisani huwa anaenda kila Jumapili.

Nahofia kanisani atakuja kuiba sadaka.

Aliwahi pia kuiba pesa za wageni wangu 65k nikamsachi na kumkuta nazo, imagine aibu niliyoipata!

Nilimnunulia mpira na viatu vya kuchezea soka, lakini cha ajabu aliuza huo mpira, viatu mpaka kijazio!

Hii shida ya kulea mabao ya watu ni ushenzi sana!

Nishauri wakubwa.
Mrudishe kwao
 
Its Pancho - Anaweza kuwa "Kleptomaniac". Google ujue undani wake na jinsi ya kuitibu. Kleptomania ni ugonjwa unaomlazimisha mtu kuiba. Hawezi kuacha kwa kupigwa ama kutukanwa.
 
Hata km wanasema wewe ni mbinafsi,wewe si unajijua mwenyewe.?
Lengo lako la kumrudisha si unalijua?
Haya fikiria,mfano mtoto akapata shida,watasema wewe ni mkarimu,mzembe au Nani?
Usikubali kuhukumiwa kwa kosa lisilo lako.
Au kulikuwa na mapatano kuwa utakaana huyo mtoto daima?
 
Hawataki arudi wanasema mimi ni mbinafsi na mchoyo.
Hii tabia wazazi wake wanaijua ndio maana hawataki arudi. Hapo walipo wamepumzika baada ya kutua hilo zigo kwako. Kama na wewe unataka usionekane mbinafsi na mchoyo, vumilia maumivu ya wizi wake ili usifiwe kuwa huna uchoyo na mwenye huruma.
 
Simu ni zile viswaswadu vimekaa tu akaona Labda sivitumii sijui.

laptop ni zile shuleni huwa kuna kataasisi kanaitwa profuturo kanagawa laptop kwa shule nyingi kama msaada kwa walimu zina logo kabisa, sijui aliwezaje.
Mbona unamtetea Sana na wewe ndo umetaka ushauri? Km unaona ni kosa dogo mbona ukalileta huku?
 
Mrudishe kwao bora lawama kuliko kuchafuliwa jina,hadhi
 
Wakuu,

Naamini kila mtu huwa anakosea, lakini linapokuja swala la kukosea mara kwa mara huwa linatia hasira sana.

Huyu mtoto wangu anasoma darasa la 6 ,ni mtoto wa Kaka yangu alimleta hapa kwangu ili asome,

Sasa kinachozidi kunipa wasiwasi ni tabia yake ya wizi uliokubuhu!

Yaani kwa umri wake na vitu anavyoiba nabaki mdomo wazi kabisa.

Sijawahi hata kumuadhibu lakini jana imenipasa baada ya yeye kuuza simu tatu kwa bodaboda tatu wakuu!

Bora hata angeuza bei kauza elfu 7.

Alishasema mara nyingi harudii lakini ni yale yale nimempiga na leo hawezi kutembea wa kwenda shule amelala tu.

Alishaiba hela sana ndani huwa nina tabia ya kuweka noti ndogo ndogo kwenye dressing table pale, so anapokuja asubuhi kuomba hela ya kula shule namwambia achukue buku yeye anapita nazo zote huwa nanyamaza tu.

Alishaiba baiskeli ya wenzie shule wakamfuata mpaka huku nyumbani kwangu niliskia aibu sana nilipoambiwa hilo.

Aliiba laptop ya mwalimu! Najiuliza aliwezaje nayo pia walimdaka nayo.

Vingine ndani vitu anauza mfano aliingia Store akauza pampu, aliuza charge ya simu, flash disk yangu pia yenye documents muhimu sanaa aliuza!

Sasa chai anakunywa asubuhi, pesa ya kula shule ninampa, lakini bado anaiba nimekosea wapi? Nikimwambia kaka yangu huko kwake ananilaumu na ndugu wengine kuwa nimemuharibu mtoto wake.

Kuna jirani alisema nimpeleke dogo polisi, hili haliingii akilini polisi kufanyeje sasa kwa mtoto mdogo kama huyu? Si nitamuharibu zaidi?

Mbaya zaidi na kanisani huwa anaenda kila Jumapili.

Nahofia kanisani atakuja kuiba sadaka.

Aliwahi pia kuiba pesa za wageni wangu 65k nikamsachi na kumkuta nazo, imagine aibu niliyoipata!

Nilimnunulia mpira na viatu vya kuchezea soka, lakini cha ajabu aliuza huo mpira, viatu mpaka kijazio!

Hii shida ya kulea mabao ya watu ni ushenzi sana!

Nishauri wakubwa.
Kama baba mzazi wa huyo mtoto yupo na Bado anakulalamikia unahangaikia Nini? Pelekea Toto lake
 
Hapo una mawili, mpeleke kwa mwanasaikolojia, maana hapo ndiyo shida au mpeleke kwao. Polisi huko atapata tu madhara na haitasaidia kitu. Huyo ameshakushinda kuishi naye.
 
Nimeongea na dogo hapa sasa hivi nimemwambia nimrudishe kwa baba amekataa kabisa analia anadai nimsamehe harudii tena lakini alishaomba msamaha mara nyingi Sana

naumia Sana nampenda huyu ni damu yangu kabisa.
Nakupongeza kwa kupenda ndugu zako, na Wala usimrudishe, Kama mtoto wako wa kuzaa ungempelekea Nani? Na tembo hashindwi mkonga wake, aendi Sunday school, Kama anaenda wale walimu unaweza kuwaadishia alafu wafundishe tabia njema na madhara ya wizi, taratibu atapunguza hata kuacha, alafu wanajifanya kuuliza maswali watoto.
 
Back
Top Bottom