Kuala Lumpur
Member
- Jul 28, 2017
- 20
- 19
Mtoto kameza Sh mia mbili,je inaeza kutoka au,msaada jamani nifanyejee
Sent from my HUAWEI Y530-U00 using JamiiForums mobile app
Sent from my HUAWEI Y530-U00 using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hatari sana hii.ukichelewa kumuitia ambulance mtoto atakufa unamuona ohooo
Sasa mnaisubiria mkiwa nyumbani au hospitali?Hata sisi mtoto wa Jirani yetu kameza shilingi mia wiki sasa imeisha mwanzoni tulimpeleka hospitari maana ilikuwa imegoma kwenye koo anashindwa kumeza chakula madakitari walipojitahidi kutaka kuiitoa ndio kwanza ikawa inashuka mpaka tumboni wakamua kuacha na kushauri apewe vyakula laini ili ikwezekana aitoe hiyo shilingi kwa njia ya haja kubwa mpaka sasa tunasubiria.
Pole sana, wa kwetu aliwahi kumeza coin ya 50, tulimpeleka hospitali, ilitoka kesho yake asubuhi. Wahi na wewe hospitali maana inaweza kuleta complications.Mtoto kameza Sh mia mbili,je inaeza kutoka au,msaada jamani nifanyejee
Sent from my HUAWEI Y530-U00 using JamiiForums mobile app
Goroli ni mbaya sana maana zinaweza kuelekea kwenye njia ya hewa.Kuna zile wanaita goroli na hizo koeni sio nzuri kuwapa watoto wachezee mtakuja kusababisha roho za watoto wenu ziache mwili kisa ujinga wenu.
-Ndumilakuwili-
Hatari sana watoto wanahitaji uangalizi wa hari ya juu.Goroli ni mbaya sana maana zinaweza kuelekea kwenye njia ya hewa.
Ni vema kujua pia umri, poleni. Je hali yake kwa ujumla imebadilika? Anacheza na wenzake? anaonekana kuwa na shida ya kupumua na kutokwa na mate mengi mdomoni? Unaishi umbali gani na hospitali yenye huduma za Xray?Mtoto kameza Sh mia mbili,je inaeza kutoka au,msaada jamani nifanyejee
Sent from my HUAWEI Y530-U00 using JamiiForums mobile app
MASAA 72 HOSPITALI IKIZIDI HAPO KAMA INASHUKA AU DALILI YA KUTOKA KTK NJIAYA HAJA KUBWA UNAISUBIRIA NYUMBANI MKUUSasa mnaisubiria mkiwa nyumbani au hospitali?
-Ndumilakuwili-