Ushauri muhimu kwa Diamond Platnumz

Ushauri muhimu kwa Diamond Platnumz

Expensive life

JF-Expert Member
Joined
May 2, 2020
Posts
2,971
Reaction score
9,437
Kwako Diamond...

Mimi shabiki yako kindakindaki nimekuwa nikizipenda kazi zako toka kamwambie, ila now days unaimba utopolo sikupangii cha kuimba ila naamini muziki mzuri ndio umefanya upo hapo ulipo.

Huu wimbo ulioutoa jana ni utopolo mtupu wimbo mzima umejaa gigi gagaa kga kge gagaa gagaa gagaa gidi gigi gagaa aiseeeh kama kuna mtu umempa kazi ya kukuandikia mkimbie anakuharibia.

Nimeona umetangaza ujio wa EP mwezi March kama kuna magigi gig gagagaaah mengine kwenye hiyo EP nenda kayatoe tunataka muziki mzuri.

Huyo Daimondi anatumia id gan huku nimtagi aone ujumbe wake😂
 
Kwako diamond..

Mimi shabiki yako kindakindaki nimekuwa nikizipenda kazi zako toka kamwambie, ila now days unaimba utopolo sikupangii cha kuimba ila naamini muziki mzuri ndio umefanya upo hapo ulipo.

Huu wimbo ulioutoa jana ni utopolo mtupu wimbo mzima umejaa gigi gagaa kga kge gagaa gagaa gagaa gidi gigi gagaa aiseeeh kama kuna mtu umempa kazi ya kukuandikia mkimbie anakuharibia.

Nimeona umetangazi ujio wa EP mwezi march kama kuna magigi gig gagagaaah mengine kwenye hiyo EP nenda kayatoe tunataka muziki mzuri.
View attachment 2124489
Everibadi seyi gigi....gi....gaga

Wivu tu..

Ova...
 
FB_IMG_16447379209990398.jpg
 
Kwako diamond..

Mimi shabiki yako kindakindaki nimekuwa nikizipenda kazi zako toka kamwambie, ila now days unaimba utopolo sikupangii cha kuimba ila naamini muziki mzuri ndio umefanya upo hapo ulipo.

Huu wimbo ulioutoa jana ni utopolo mtupu wimbo mzima umejaa gigi gagaa kga kge gagaa gagaa gagaa gidi gigi gagaa aiseeeh kama kuna mtu umempa kazi ya kukuandikia mkimbie anakuharibia.

Nimeona umetangazi ujio wa EP mwezi march kama kuna magigi gig gagagaaah mengine kwenye hiyo EP nenda kayatoe tunataka muziki mzuri.
View attachment 2124489
Utaendelea kuandika ujinga uku mtandaoni ambapo D hata hawezi kuona. Mwenzako ameingia mikataba na makampuni ya kimataifa ambayo hayatomuelewa akianza kuimba nenda kamwambie. Kwanza hapa bongo hamnunui cd wala kununua nyimbo za wasanii kama wafanyavyo wenzetu wa nchi zilizoendelea. Ndio maana unaona Marioo mziki wake unapendwa sana na watanzania lakini hawezi kuwa na kipato kikubwa kama D ambae nyimbo zake zinanunuliwa uko ulaya....watu wanapenda midundo mizuri na hii nyimbi yake mpya ni nzuri japo ww mpenda taarabu na singeli huwezi elewa
 
Acha mwenzio akosolewe,Domo humu jf ana machawa kibao atafikishiwa ujumbe,au siku hizi kukosoana ni vibaya?

Sent from my Infinix X690 using JamiiForums mobile app
 
We mwenyewe kuna siku mke wako humridhishi.. Di ni nani hata kila siku uwe high.

Acha ujinga.
Country music to the next level big up Diamond mnataka aimbe kama story kwanza ingeboa,ila I feel sorry kwa jamaa zetu wanaija,waghana etc wanaojifunza kiswahili ili waelewe nyimbo za Diamond haha
🤣🤣🤣 kwa hii atuache kidogo
 
Utaendelea kuandika ujinga uku mtandaoni ambapo D hata hawezi kuona. Mwenzako ameingia mikataba na makampuni ya kimataifa ambayo hayatomuelewa akianza kuimba nenda kamwambie. Kwanza hapa bongo hamnunui cd wala kununua nyimbo za wasanii kama wafanyavyo wenzetu wa nchi zilizoendelea. Ndio maana unaona Marioo mziki wake unapendwa sana na watanzania lakini hawezi kuwa na kipato kikubwa kama D ambae nyimbo zake zinanunuliwa uko ulaya....watu wanapenda midundo mizuri na hii nyimbi yake mpya ni nzuri japo ww mpenda taarabu na singeli huwezi elewa
Anaimba utumbo lazima tuseme, akiimba kizuri tutakisifia pia.
 
Maisha yanabadilika mkuu, situation ambazo alizipitia miaka ya 2009 haziwezi fanana na 2022. Si kila mtu ameumizwa na mapenzi au yuko kwenye mood ya mapenzi. Kuna waliopata kazi, waliopata mishahara nk. Hao wote wanamood ya vibes hawawez imba nenda kamwambie wakati wana mood ya vibrations. Gidi gidi gidi ga ga gaaaaa gaa gaaa gagagaaa. Acha tuenjoy mtafute kusa na lodi music ndo wana nyimbo zenu
 
Back
Top Bottom