Expensive life
JF-Expert Member
- May 2, 2020
- 2,971
- 9,437
Everibadi seyi gigi....gi....gagaKwako diamond..
Mimi shabiki yako kindakindaki nimekuwa nikizipenda kazi zako toka kamwambie, ila now days unaimba utopolo sikupangii cha kuimba ila naamini muziki mzuri ndio umefanya upo hapo ulipo.
Huu wimbo ulioutoa jana ni utopolo mtupu wimbo mzima umejaa gigi gagaa kga kge gagaa gagaa gagaa gidi gigi gagaa aiseeeh kama kuna mtu umempa kazi ya kukuandikia mkimbie anakuharibia.
Nimeona umetangazi ujio wa EP mwezi march kama kuna magigi gig gagagaaah mengine kwenye hiyo EP nenda kayatoe tunataka muziki mzuri.
View attachment 2124489
Utaendelea kuandika ujinga uku mtandaoni ambapo D hata hawezi kuona. Mwenzako ameingia mikataba na makampuni ya kimataifa ambayo hayatomuelewa akianza kuimba nenda kamwambie. Kwanza hapa bongo hamnunui cd wala kununua nyimbo za wasanii kama wafanyavyo wenzetu wa nchi zilizoendelea. Ndio maana unaona Marioo mziki wake unapendwa sana na watanzania lakini hawezi kuwa na kipato kikubwa kama D ambae nyimbo zake zinanunuliwa uko ulaya....watu wanapenda midundo mizuri na hii nyimbi yake mpya ni nzuri japo ww mpenda taarabu na singeli huwezi elewaKwako diamond..
Mimi shabiki yako kindakindaki nimekuwa nikizipenda kazi zako toka kamwambie, ila now days unaimba utopolo sikupangii cha kuimba ila naamini muziki mzuri ndio umefanya upo hapo ulipo.
Huu wimbo ulioutoa jana ni utopolo mtupu wimbo mzima umejaa gigi gagaa kga kge gagaa gagaa gagaa gidi gigi gagaa aiseeeh kama kuna mtu umempa kazi ya kukuandikia mkimbie anakuharibia.
Nimeona umetangazi ujio wa EP mwezi march kama kuna magigi gig gagagaaah mengine kwenye hiyo EP nenda kayatoe tunataka muziki mzuri.
View attachment 2124489
Acha mwenzio akosolewe,Domo humu jf ana machawa kibao atafikishiwa ujumbe,au siku hizi kukosoana ni vibaya?Utaendelea kuandika ujinga uku mtandaoni ambapo D hata hawezi kuona. Mwenzako ameingia mikataba na makampuni ya kimataifa ambayo hayatomuelewa akianza kuimba nenda kamwambie. Kwanza hapa bongo hamnunui cd wala kununua nyimbo za wasanii kama wafanyavyo wenzetu wa nchi zilizoendelea. Ndio maana unaona Marioo mziki wake unapendwa sana na watanzania lakini hawezi kuwa na kipato kikubwa kama D ambae nyimbo zake zinanunuliwa uko ulaya....watu wanapenda midundo mizuri na hii nyimbi yake mpya ni nzuri japo ww mpenda taarabu na singeli huwezi elewa
We mwenyewe kuna siku mke wako humridhishi.. Di ni nani hata kila siku uwe high.
Acha ujinga.
🤣🤣🤣 kwa hii atuache kidogoCountry music to the next level big up Diamond mnataka aimbe kama story kwanza ingeboa,ila I feel sorry kwa jamaa zetu wanaija,waghana etc wanaojifunza kiswahili ili waelewe nyimbo za Diamond haha
Anaimba utumbo lazima tuseme, akiimba kizuri tutakisifia pia.Utaendelea kuandika ujinga uku mtandaoni ambapo D hata hawezi kuona. Mwenzako ameingia mikataba na makampuni ya kimataifa ambayo hayatomuelewa akianza kuimba nenda kamwambie. Kwanza hapa bongo hamnunui cd wala kununua nyimbo za wasanii kama wafanyavyo wenzetu wa nchi zilizoendelea. Ndio maana unaona Marioo mziki wake unapendwa sana na watanzania lakini hawezi kuwa na kipato kikubwa kama D ambae nyimbo zake zinanunuliwa uko ulaya....watu wanapenda midundo mizuri na hii nyimbi yake mpya ni nzuri japo ww mpenda taarabu na singeli huwezi elewa