Ushauri muhimu kwa Diamond Platnumz

Huyu kijana ana akili sana ya kutafuta pesa. Hii nyimbo itamuongezea pesa japo ni nyimbo isiyo na maana.

Katika burudani Dunia ya leo haipendi mambo yenye maana na mafundisho.

Enzi zetu disco list unakuta ni:
Mzee wa busara
Sitaki dem
Wanok nok
Ugali
Ndani ya club
Hi leo
Zuena
N.k n.k

Asilimia kubwa nyimbo zilikuwa zina ujumbe na mafundisho.
 
Sahihi
 
Acha uongo hapa. Kawadanganye wagogo wenzio hapo msalato. Hivi kuna wimbo ulikua unabamba kama hakuna kulala ya juma nature?? Alikua anaeleza ujumbe gani?? Huyo Kofi alikua ana vibao matata hakuwa na cha maana alichoeleza. Maisha yana nyakati nyingi. Alafu muziki ni fasihi ni either ukuelimishe au ukuburudishe Comred. Enjoy GIDI mkuu.
 
Mr nice alipata umaarufu mkubwa east africa mpaka kuna wakati kenya waliomba awe msanii wa nchi yao lakini nyimbo zake nyingi zilikuwa hazina content
 
Hahaha. Sasa ugogo na huko msalato panahusiana nn na hoja ya hiyo nyimbo yako ya hakuna kulala?
 
Ushoga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…