Mung Chris
JF-Expert Member
- Sep 12, 2017
- 3,391
- 3,849
Dada Zangu ma besti zangu na rafiki zangu, ukialikwa na mwanaume kwenda kwake ndio mara ya kwanza hakikisha ana kupa na nauli ya kurudi iweke mfukoni kabisa au akuhakikishie tu ukifika anakupa nauli ya kurudi unaweka kwenye pochi yako basi. Hivyo tu. 😉🙁