Ushauri Muhimu kwa kina dada unapoalikwa na mwanaume

Na utaendaje kwa mwanaume mikono mitupu kwani we ombaomba???aarrghh
Hawa viumbe yeye akiwaza hivi wewe waza mara 2 yake ndio mtaendana sawa,.mtu unafunga safari zaidi ya km 1000 huna hata hela ya aiskirimu kwelii???

Me hata buguruni siendi kama sina hela yangu ya uhakika ya kunipeleka na kunirudisha,sipendi nyanyaso mimi...
 
Hivi una hata mia unapataje ujasiri wa kualikwa sehemu na unaenda
Tushangae mimi na wewe babe,.
Kuna watu wanajua kujilipua jamanii chaaaa,uuuwiii me siwezi asee bora nionekane mshamba tuu lakini sio kwenda mahali hata 100 sina,.
 
mapenzi bila pesa.

yanapatikana kwa wingi uko mbinguoi..

mwenzenu kapewa buku 7 na jiti nane..

yeeh
 
Na utaendaje kwa mwanaume mikono mitupu kwani we ombaomba???aarrghh
Hawa viumbe yeye akiwaza hivi wewe waza mara 2 yake ndio mtaendana sawa,.mtu unafunga safari zaidi ya km 1000 huna hata hela ya aiskirimu kwelii???

Me hata buguruni siendi kama sina hela yangu ya uhakika ya kunipeleka na kunirudisha,sipendi nyanyaso mimi...
Huyo ni wewe ila kuna wao, wengine ambao hawajali hilo, pole yao
 
Siwezi alikwa na nisiyemjua, hata kama ni karibu kiasi gani, labda nikutane nae nikiwa na mishe zangu tu, najitambua
 
Huu uzi ni maalum kwa ajili ya wanawake kuweka mambo sawa baada ya zile nyuzi mbili kutoa machukizo yao kwa pande zote mbili...endeleeni kusafisha jukwaa
 
Baadhi ya wanawake hawajui ukweli ni kwamba mwanamke ukiwa na vijisenti vyako ulivyo tafuta kwa jasho una ujasiri jamaa hata akizingua unauwezo wa kuzingua zaidi yake [emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
Sauti inatosha kabisa mama....
 
Inasikitisha.....
Ila wenyeshida ndio wanafanya ujinga huo....

Back
Top Bottom