Ushauri Muhimu kwa kina dada unapoalikwa na mwanaume

Ushauri Muhimu kwa kina dada unapoalikwa na mwanaume

Dada Zangu ma besti zangu na rafiki zangu, ukialikwa na mwanaume kwenda kwake ndio mara ya kwanza hakikisha ana kupa na nauli ya kurudi iweke mfukoni kabisa au akuhakikishie tu ukifika anakupa nauli ya kurudi unaweka kwenye pochi yako basi. Hivyo tu. 😉🙁
Nauli si jero tu au buku..
 
we nae umejiongeza fasta unamlia timing Dada wa watu umchune. [emoji23][emoji23]

Kujifanya kumsifia ni wife material nilikuwa nakuchora tu.*****.

Na hachuniki ng'oooooo.
[emoji23][emoji23][emoji23] anataka adange
 
Back
Top Bottom