Mung Chris
JF-Expert Member
- Sep 12, 2017
- 3,391
- 3,849
Mtu hataki hata kufanya biashara anafikiria kudanga hayo unayo waza wewe hawezi kufikiria kichwani.Na utaendaje kwa mwanaume mikono mitupu kwani we ombaomba???aarrghh
Hawa viumbe yeye akiwaza hivi wewe waza mara 2 yake ndio mtaendana sawa,.mtu unafunga safari zaidi ya km 1000 huna hata hela ya aiskirimu kwelii???
Me hata buguruni siendi kama sina hela yangu ya uhakika ya kunipeleka na kunirudisha,sipendi nyanyaso mimi...
we utakuwa wife materia kabisa unaonekana huna garama kabisaNa utaendaje kwa mwanaume mikono mitupu kwani we ombaomba???aarrghh
Hawa viumbe yeye akiwaza hivi wewe waza mara 2 yake ndio mtaendana sawa,.mtu unafunga safari zaidi ya km 1000 huna hata hela ya aiskirimu kwelii???
Me hata buguruni siendi kama sina hela yangu ya uhakika ya kunipeleka na kunirudisha,sipendi nyanyaso mimi...
Basi wasije kututilia nuksi zao humu,.aah!!!Mtu hataki hata kufanya biashara anafikiria kudanga hayo unayo waza wewe hawezi kufikiria kichwani.
Cha ajabu wahusika wote wamepotea,utoto mwingi.Basi wasije kututilia nuksi zao humu,.aah!!!
Sio kwamba sina gharama,ila namimi mwenyewe najua kujiGHARAMIA sina muda na pochi ya Him kivileeewe utakuwa wife materia kabisa unaonekana huna garama kabisa
Acha wajivue nguo tuone mishedede yaooπCha ajabu wahusika wote wamepotea,utoto mwingi.
jimbo liko wazi lakini?Sio kwamba sina gharama,ila namimi mwenyewe najua kujiGHARAMIA sina muda na pochi ya Him kivileee
πππbookedjimbo liko wazi lakini?
we nae umejiongeza fasta unamlia timing Dada wa watu umchune. ππjimbo liko wazi lakini?
Nakazia apaNa utaendaje kwa mwanaume mikono mitupu kwani we ombaomba???aarrghh
Hawa viumbe yeye akiwaza hivi wewe waza mara 2 yake ndio mtaendana sawa,.mtu unafunga safari zaidi ya km 1000 huna hata hela ya aiskirimu kwelii???
Me hata buguruni siendi kama sina hela yangu ya uhakika ya kunipeleka na kunirudisha,sipendi nyanyaso mimi...
Dada Zangu ma besti zangu na rafiki zangu, ukialikwa na mwanaume kwenda kwake ndio mara ya kwanza hakikisha ana kupa na nauli ya kurudi iweke mfukoni kabisa au akuhakikishie tu ukifika anakupa nauli ya kurudi unaweka kwenye pochi yako basi. Hivyo tu. ππ
Kuna vijitu vinaendekeza njaa sana,.ππdaah!!!Nakazia apa