Na utaendaje kwa mwanaume mikono mitupu kwani we ombaomba???aarrghh
Hawa viumbe yeye akiwaza hivi wewe waza mara 2 yake ndio mtaendana sawa,.mtu unafunga safari zaidi ya km 1000 huna hata hela ya aiskirimu kwelii???
Me hata buguruni siendi kama sina hela yangu ya uhakika ya kunipeleka na kunirudisha,sipendi nyanyaso mimi...
Ktk kaulu nlyoipenda jeifu ndo hiiPesa za Mwanaume humvutia Mwanamke mvivu tu.
Hivi una hata mia unapataje ujasiri wa kualikwa sehemu na unaendaKuna vijitu vinaendekeza njaa sana,.[emoji23][emoji23]daah!!!
Tushangae mimi na wewe babe,.Hivi una hata mia unapataje ujasiri wa kualikwa sehemu na unaenda
Baadhi ya wanawake hawajui ukweli ni kwamba mwanamke ukiwa na vijisenti vyako ulivyo tafuta kwa jasho una ujasiri jamaa hata akizingua unauwezo wa kuzingua zaidi yake ππππKuna vijitu vinaendekeza njaa sana,.ππdaah!!!
Huyo ni wewe ila kuna wao, wengine ambao hawajali hilo, pole yaoNa utaendaje kwa mwanaume mikono mitupu kwani we ombaomba???aarrghh
Hawa viumbe yeye akiwaza hivi wewe waza mara 2 yake ndio mtaendana sawa,.mtu unafunga safari zaidi ya km 1000 huna hata hela ya aiskirimu kwelii???
Me hata buguruni siendi kama sina hela yangu ya uhakika ya kunipeleka na kunirudisha,sipendi nyanyaso mimi...
Akabeti tu hakuna namnamapenzi bila pesa.
yanapatikana kwa wingi uko mbinguoi..
mwenzenu kapewa buku 7 na jiti nane..
yeeh
Pole yao saaanaHuyo ni wewe ila kuna wao, wengine ambao hawajali hilo, pole yao
Woooyoooo umeonaaa eeeh,..ujasiri wa mwanamke ni pesa yake mwenyewe bhanaa asikuambie mtu,.Baadhi ya wanawake hawajui ukweli ni kwamba mwanamke ukiwa na vijisenti vyako ulivyo tafuta kwa jasho una ujasiri jamaa hata akizingua unauwezo wa kuzingua zaidi yake ππππ
dha inauma lakini tutafanyaje sasa ngoja tukubaliane na majibuπππbooked
Sauti inatosha kabisa mama....Baadhi ya wanawake hawajui ukweli ni kwamba mwanamke ukiwa na vijisenti vyako ulivyo tafuta kwa jasho una ujasiri jamaa hata akizingua unauwezo wa kuzingua zaidi yake [emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
Na utaendaje kwa mwanaume mikono mitupu kwani we ombaomba???aarrghh
Hawa viumbe yeye akiwaza hivi wewe waza mara 2 yake ndio mtaendana sawa,.mtu unafunga safari zaidi ya km 1000 huna hata hela ya aiskirimu kwelii???
Me hata buguruni siendi kama sina hela yangu ya uhakika ya kunipeleka na kunirudisha,sipendi nyanyaso mimi...
Shida gani eti kab..??Inasikitisha.....
Ila wenyeshida ndio wanafanya ujinga huo....