Ushauri muhimu: Serikali izime kabisa mtandao wa twitter, unatumika vibaya kipindi hiki tunapopambana na Covid 19

Huko twitter kuna uadui wa kisisa, vita kati ya upinzani na CCM. Lengo kuindoa ni amani ya watawala.
 
Dah hakuna uzi wa hovyo kama huu tangu niingie JF jamaa umepost utupolo
 
Utatupia sana makatuni. Lakini Mungu yupo na sisi.
Mungu hawezi kuwa nanyi ambao ni:

1.Vibaka wa wizi wa kura.

2.Watu wasiopenda kujishughulisha na kupambana na Corona.

3.Watekaji.

4.Wauaji.

5.Wagandamizaji wa uhuru wa kujieleza.

6.Wagandamizaji wa demokrasia.

7.Wauaji wa uchumi wa nchi.

8.Waongo.

9.Waonevu.

10.Populist.
 
Ukifungia Twitter ndio Corona itaisha? Kama maombi yaneshindwa kuondoa Corona, kutokuwepo kwa Twitter itaondoa Corona?

Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
 
Kama ni sababu hiyo; basi wafunge social media yote ikiwemo na JF unayotumia kutoa maoni yako.
 
Dogo unataka Twitter iwe blocked mara ngapi,mpaka dakika hii msemaji wa serikali,rais Maguufool,PM, na watanzania wote kwa ujumla wanaipata Twitter kupitia VIRTUAL PRIVATE NETWORK
 
Bdo haiwez kubadilisha ujuha ulionao "Hakika ujinga wa utoton unaweza kuondoka lkn ujinga wa uzeen lazma utakufa nao tu.
[emoji867][emoji867][emoji867][emoji867][emoji867][emoji867][emoji867][emoji867][emoji867][emoji867][emoji867][emoji867][emoji867][emoji867][emoji867][emoji867][emoji867][emoji867][emoji867][emoji867]
 
Mleta uzi kama huna habari jiwe alilotupa gizani Mkwere juzi pale Karimjee watu wemeshasikia mtu kaugulia yalaa. Na twira itakuwepo sana.
 
Trump: shithole countries....
 
Hamna akili nyingine ya kusolve hilo tatizo zaidi ya kuuzima mtandao?
 
Mwenzenu amesha surrender endelea kupuyanga huku uone nani atakulipa hiyo buku 7
 
Mkuu dunia ya leo sio ya kuwafunga watu midomo na viganja vya mikono yao. Nevertheless you are entitled to your opinion.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…