azithromycim
JF-Expert Member
- Apr 18, 2019
- 288
- 714
Bosi ndio hatoi mikatabaKwanini unafanya kazi bila mkataba lakini
Utaweza kuajiriwa Tu, Kwa sababu Serkali inachoangalia ni kama una check no au uliwahi kupata check no.Habari za asubuhi Wana jamiiforums, Nimatumaini yangu muwazima wa afya.
Wakuu mimi ni afisa tabibu yaani clinical officer ninafanya kazi katika kituo x cha afya cha private na Sina mkataba wa kazi na muajiri wangu.
Ila cha kushangaza muajiri wangu anataka nimpatie vyeti vyangu vya taaluma pamoja na leseni hai hardcopy ili anisajiri kama mtumishi wa kituo chake je hii nisahihi.???
Lakini wasiwasi wangu nikishasajiliwa kwenye mfumo kama mtumishi wakituo x je nitaweza kuajiliwa na serikali?????
Wakuu naombeni ushauri wenu kijana mwenzenu nipo njia panda.
Kama ndo akili za mtoa mada alikuwa anamaanisha hv bc hawa wagonjwa wawe makini sana na huyo afisa tabibu πSio original vyeti toa copy maana humu wengi vichwa vyenu vinawaza chini.
Kator kopi ya kila kitu umpe usije mpa original ones
Mwaisaa atoe copy vyeti na vifuatavyo ampe mwajiriwa sio ampe original copies sijui amenielewa au bado anareewaKama ndo akili za mtoa mada alikuwa anamaanisha hv bc hawa wagonjwa wawe makini sana na huyo afisa tabibu π
π π π π π Madam chini kumekujaje Tena hapo .Sio original vyeti toa copy maana humu wengi vichwa vyenu vinawaza chini.
Kator kopi ya kila kitu umpe usije mpa original ones
Wahindi ni shida sanaKwanini ufanye kazi bila mkataba?Vijana mnakwama wapi?
Anyway ukiona boss anaomba umpe vyeti hardcopy ujue huyo ni tatzo na ni mnyonyaji kwelilweli.Nina uzoefu huo.
Mwaisaa asijali yeye ayoe copy ya vyeti makataba wanini ukienda umeendaπ π π π π Madam chini kumekujaje Tena hapo .
Thanks mkuuSio original vyeti toa copy maana humu wengi vichwa vyenu vinawaza chini.
Kator kopi ya kila kitu umpe usije mpa original ones
Thanks kkUtaweza kuajiriwa Tu, Kwa sababu Serkali inachoangalia ni kama una check no au uliwahi kupata check no.
Na kama Ulikuwa unalipwa pesa Na serkali kupitia Mashirika Binafso au ya Kidini lakini kama vyote hivyo ni hapana bhasi unaweza kuajiriwa..
Scan vyeti vyako Kwa ajili ya kutuma maombi..
Japo Usimpe Vyeti Original hata Kama atakuambia nini Kama atataka Mpe scanned Doccument
Skuizi nawewe unatoa ushauri...πSio original vyeti toa copy maana humu wengi vichwa vyenu vinawaza chini.
Kator kopi ya kila kitu umpe usije mpa original ones
Eh mwayaaSkuizi nawewe unatoa ushauri...π
Makubwa....π
πππππππππππππππππππππππππππππππππππππππππππππEh mwayaa