Ushauri: Mwajiri anataka vyeti pamoja na leseni (original) ili anisajili kwenye kituo chake, hii ni sahihi? Nitaweza kuajiriwa serikalini?

Ushauri: Mwajiri anataka vyeti pamoja na leseni (original) ili anisajili kwenye kituo chake, hii ni sahihi? Nitaweza kuajiriwa serikalini?

😘😘😘😘😘😘😘😘😘😘😘😘😘😘😘😘😘😘😘😘😘😘😘😘😘😘😘😘😘😘😘😘😘😘😘😘😘😘😘😘😘😘😘😘😘
Nimeorewa
 
Habari za asubuhi Wana jamiiforums, Nimatumaini yangu muwazima wa afya.

Wakuu mimi ni afisa tabibu yaani clinical officer ninafanya kazi katika kituo x cha afya cha private na Sina mkataba wa kazi na muajiri wangu.

Ila cha kushangaza muajiri wangu anataka nimpatie vyeti vyangu vya taaluma pamoja na leseni hai hardcopy ili anisajiri kama mtumishi wa kituo chake je, hii nisahihi?

Lakini wasiwasi wangu nikishasajiliwa kwenye mfumo kama mtumishi wakituo x je nitaweza kuajiliwa na serikali?

Wakuu naombeni ushauri wenu kijana mwenzenu nipo njia panda.

Una uhakika hivyo vyeti ni vyako? Maana akili huna kabisa.
 
Kwann umpatie original certificate na sio copy? Vip na hao wenzako uliowakuta pia wametumia utaratibu huo huo kusajiliwa ama?
 
Back
Top Bottom