Mademoiselle
JF-Expert Member
- Jul 11, 2022
- 704
- 2,842
Japo ulichoandika kina ukweli lakini why are you always so toxic? Nimekuwa nikisoma comment zako, ni as if umewekaga nia ya kuchapa kofi, kutemea mate kila mwanamke. Yes kila mtu hupitia majanga katika one point in life but it shouldn't intoxicate your persona. I pray one day u-heal. Hata kama unavow ya kutokuja kuoa n stuff of which kila mtu ako na calling yake duniani, but just heal, kuna good people duniani ambao waweza gain a lot from them, na zaidi ni wanawake pia.Alikupambania kwa sababu ananufaika na wewe. Kama ana tabia nzuri na hofu ya Mungu mtafute muangalie mna-solve vipi hicho kipengere cha dini lakini usidanganyike na wema aliokufanyia. Wanawake ni opportunistics, hakuna mwanamke mwema kwa mwanaume ambae hana masilahi nae.
#somakuelewanasiokujibu#
Upone