Ushauri: Mwanamke amenipigania sana nilipoumwa lakini dini imekuwa kikwazo kwetu kuoana, ndugu zangu wanataka pia nimfukuze sehemu ya kazi! Nifanyeje?

Ushauri: Mwanamke amenipigania sana nilipoumwa lakini dini imekuwa kikwazo kwetu kuoana, ndugu zangu wanataka pia nimfukuze sehemu ya kazi! Nifanyeje?

Alikupambania kwa sababu ananufaika na wewe. Kama ana tabia nzuri na hofu ya Mungu mtafute muangalie mna-solve vipi hicho kipengere cha dini lakini usidanganyike na wema aliokufanyia. Wanawake ni opportunistics, hakuna mwanamke mwema kwa mwanaume ambae hana masilahi nae.
Japo ulichoandika kina ukweli lakini why are you always so toxic? Nimekuwa nikisoma comment zako, ni as if umewekaga nia ya kuchapa kofi, kutemea mate kila mwanamke. Yes kila mtu hupitia majanga katika one point in life but it shouldn't intoxicate your persona. I pray one day u-heal. Hata kama unavow ya kutokuja kuoa n stuff of which kila mtu ako na calling yake duniani, but just heal, kuna good people duniani ambao waweza gain a lot from them, na zaidi ni wanawake pia.

#somakuelewanasiokujibu#
Upone
 
Kwanza kabisa dini weka pembeni (,ni tamaduni tu za kizungu na kiarabu). Usimuache, ndoa nendeni wilayani. Mkibahatika watoto, waache wakue wachague imani yao.
 
Japo ulichoandika kina ukweli
Hapa ndipo pa kuzingatia. Jadili hoja usimjadili mtoa hoja. Kama unakubali kilichoandikwa ni ukweli basi chukua hicho kilichoandikwa achana na maisha binafsi ya alieandika. Kwamba unaniombea mimi na sio hao wakina dada wadangaji na wanaotumia mahusiano kama chanzo cha mapato na kuona jinsia yao ni udhaifu wa kuhalalisha wao kuomba omba hela. Nafikiri maombi yako unayaelekeza sehemu ambayo sio sahihi na kuwaacha wahitaji zaidi wa hayo maombi.
 
Back
Top Bottom