Ushauri: Mwanamke amenipigania sana nilipoumwa lakini dini imekuwa kikwazo kwetu kuoana, ndugu zangu wanataka pia nimfukuze sehemu ya kazi! Nifanyeje?

Kuna mwanamke nilikuwa naye kwenye mahusiano, ni mtu ambae alinipenda na mimi nilimpenda sana, kuna kipindi niliumwa sana kama miezi mitatu, alipambania uhai wangu hadi dakika ya mwisho maana ilikuwa nusu nife...
Kuna uwezekano mkubwa hapo kichwani umejaza mavi matupu. Mimi nakushauri chagua dada yako mmoja aliyefungasha mzigo umuoe kama hutaki kumuoa huyo msichana anayekupenda.
 
Mfukuze ule chuma. Machoni pa Mungu hazionekani dini zetu, panaonekana matendo yetu mema kwa mabaya.
 
Ndugu wanapoingilia mahusiano ya watu wawili kabla na baada ya kuoana.

Sikiliza moyo wako na utayari wako. Mambo yatendwayo kabla ya kuingia kwa ndoa rasmi mara nyingi hayabadiliki sanaa baada ya kurasimisha ndoa
 
Ndugu wako sahihi kwenye hilo la dini, mtakwazana kiimani maana hizi dini haziabudu Mungu mmoja, kuna wengine 'mungu' wao ni katili sana na gaidi gaidi.

Wewe msaidie kimaisha ila temana na uhusiano maana mtakuja kuchanganya watoto.
 
Kumuacha Mwanamke au mwanaume wako kisa dini nadhani huu ni utoto .

Kuwa karibu na dini na kuwa karibu na Mungu haya ni mambo mawili tofauti.
 
Unazingua, unaruhusu vipi ndugu zako wawe wana say kwenye biashara zako?

Wew waambie biashara zangu, nani ninamwajiri ni juu yangu, hakuna mtu kuleta maneno
 
Kuna wanaume bado wana fanyiwa mahamuzi na ndugu ?
 
Kuna mwanamke nilikuwa naye kwenye mahusiano, ni mtu ambae alinipenda na mimi nilimpenda sana, kuna kipindi niliumwa sana kama miezi mitatu, alipambania uhai wangu hadi dakika ya mwisho maana ilikuwa nusu nife!

Ila Dini zikaja kututenganisha, hatuwezi kuoana, familia yangu ikaleta vita kali niachane naye sababu muda unaenda, kwa maamuzi ya busara tukatengana ila yeye hakutaka na hilo suala, lilimuumiza ila hakuwa na namna.

Japokuwa kwenye suala la maisha mimi ndio nilikuwa nampambania, maana kwenye moja ya ofisi zangu anafanya kazi na ndugu zangu wanataka nimfukuze ili nikate ile line ya uhusiano.

Sasa nimejiuliza sana ile ni Rizki na ni mtu aliyepigania misha yangu sana, nawezaje kumfukuza pale? Je, ni sawa.
We jamaa ,mbona unatuangusha alpha male!!?

Sasa unapngiwaje mtu was kuoa kisa dini!?

Fungal ndoa ya serikali weka ndani huyo ni mkeo sio was ndugu zako!watampenda pole pole!!

Mungu Hana dini ,Dini ni za wanadamu kina Muhammad na yesu lakini Mungu Hana dini,kuwa mtu wa Mungu na sio mtu wa. Dini!!!

Mwambie mfunge ndoa ya serikali halafu muweke ndani na kazi aendelee kufanya!!

Una miaka mingapi Hadi upangiwe maamuzi na ndugu zako!!?

ZINAOANA NAFSI AMBAZO MUNGU KAZIKUTANISHA HAZIOANI DINI,MUNGU ALIKUWEPO DINI ZILIKUJA BAADAE NA HASARA YA DINI NI MAUAJI NA UTENGANO KWENYE KOO,JAMII NA WATU!DININZINA MADHARA MAKUBWA KULIKO FAIDA!!!

TAFAKARI!!
 
Kuwa na msimamo kama mtoto wa kiume usiruhusu ndugu wakupangie maisha.
 
Kuna mwanamke nilikuwa naye kwenye mahusiano, ni mtu ambae alinipenda na mimi nilimpenda sana, kuna kipindi niliumwa sana kama miezi mitatu, alipambania uhai wangu hadi dakika ya mwisho maana ilikuwa nusu nife!

Ila Dini zikaja kututenganisha, hatuwezi kuoana, familia yangu ikaleta vita kali niachane naye sababu muda unaenda, kwa maamuzi ya busara tukatengana ila yeye hakutaka na hilo suala, lilimuumiza ila hakuwa na namna.

Japokuwa kwenye suala la maisha mimi ndio nilikuwa nampambania, maana kwenye moja ya ofisi zangu anafanya kazi na ndugu zangu wanataka nimfukuze ili nikate ile line ya uhusiano.

Sasa nimejiuliza sana ile ni Rizki na ni mtu aliyepigania misha yangu sana, nawezaje kumfukuza pale? Je, ni sawa.
Waulize ifuatavyo:'

"JE nikimfukuza huyu mwanamke, nyie ndiyo mtakuja kulala na mimi?

Wakikujibu niite MBWA niko pale Kimara Mwisho
 
Kuna mwanamke nilikuwa naye kwenye mahusiano, ni mtu ambae alinipenda na mimi nilimpenda sana, kuna kipindi niliumwa sana kama miezi mitatu, alipambania uhai wangu hadi dakika ya mwisho maana ilikuwa nusu nife!

Ila Dini zikaja kututenganisha, hatuwezi kuoana, familia yangu ikaleta vita kali niachane naye sababu muda unaenda, kwa maamuzi ya busara tukatengana ila yeye hakutaka na hilo suala, lilimuumiza ila hakuwa na namna.

Japokuwa kwenye suala la maisha mimi ndio nilikuwa nampambania, maana kwenye moja ya ofisi zangu anafanya kazi na ndugu zangu wanataka nimfukuze ili nikate ile line ya uhusiano.

Sasa nimejiuliza sana ile ni Rizki na ni mtu aliyepigania misha yangu sana, nawezaje kumfukuza pale? Je, ni sawa.
Uanaume wako unatia mashaka kwa kweli
 
Back
Top Bottom