Ushauri: Mwanamke kutoa ujauzito kwa vidonge vya Misoprostol na kutokwa damu mfululizo

Nenda polisi kupata pf3 ndo umpeleke hospitali, wote nyie ni wahalifu!
 
Nenda polisi kupata pf3 ndo umpeleke hospitali, wote nyie ni wahalifu!
 
Habari za majukumu wana jf. Nina ndugu yangu alitoa mimba ya mwezi 1 kwa kutumia vidonge vya misoprostol tatizo ni ana bleed Leo siku ya NNE. Atumie nn kukata hiyo kitu?
Hahaha Sema mpenzi wako
 
Si arudi alipovitoa hivyo vidonge?, na hiyo damu ya mwezi mzima inatoka tuu basi ana reserve ya 10,000ltrs
 
Huo ndo upuuzi hii jf ungeiona wapi wangekuabort
 
kwani bado huyu mtu hajaenda jela? miaka 15 ina mhusu
 
Angalia inbox
 
unaitwa polisi kwa kosa la kuua kwa kukusudia kwani hujui KUTOA mimba ni jinai?
 
itakuwa ni mwanaume ndo alimshawishi atoe unauliza sababu?
wanaume wakati mna do na kusema tamu tamu wala hamkumbuki mimba zikitokea ama mkane ama mumuache mwanamke kisha mnakuja hapa jf kuwaita singo mamaz sijui vifua vimelegea sijui ndala
 
Kutia mimba ni jinai? We pumber la wapi, Tukuyu?
ASANTE KWA MAREKEBISHO ILA KWANINI HUKEMEI UTOAJI WA MIMBA UNAMFUNZA@ LEAST UNGEANZA KWA KUMUELIMISHA MADHARA YA KUTOA MIMBA KISHA UMSHAURI
 
KWAHIYO KUMBE HIZO DAWA NI ZA KUTOLEA MIMBA?

ZINAUZWA WAPI MKUU?
 
Sisi Watanaznia wanafki sana, wanafki wa kutupwa. Ukisoma comments hapa utafkiri kila mtu ni msafi. Kawaida ya watanzania ni kunyoosheana vidole..."yule mzinzi sana", utafkiri yeye bikra...aaaargh! Ukweli ni kwamba, pamoja na uhatari wa jambo lenyewe lakini mimba zinachoropolewa kila siku.
 
Kweli maisha hayafanani wanawake wengine watoa mimba na wengine wanatafuta ingekuwa kuna kuazima kizazi watoa mimba mngewazima wenye kuhitaji watoto.
 
Hilo sio tatizo kubwa sana mkuu lisikutishe japo ni hatali kwani mgonjwa anaweza poteza maisha kama akichelewa . hapo anatakiwa akasafishwe tu inaonyesha hiyo mimba haikutoka vizuri bado kuna uchafu umebaki ndani ya mfuko wa kizazi ukimpeleka kwa daktari atamsafisha vizuri atatoa hizo damu zilizobaki kwa vifaa maalum.
 
Dhambi ya kuua inamla..itawala wote kama mlidhamilia..!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…