Ushauri mzuri kuhusu ugonjwa wa UKIMWI

Ushauri mzuri kuhusu ugonjwa wa UKIMWI

kinundu

JF-Expert Member
Joined
Oct 12, 2016
Posts
2,029
Reaction score
2,158
Wana body habari natumaini mu wazima wa afya,

Naomba nianze na hoja mimi kuna jambo kuhusu UKIMWI linanitatiza sana. Kuna siku nilienda kwa Dr mmoja kwenye hospitali moja hivi ya wilaya kupima virusi vya UKIMWI akanipa ushauri huu.

Akasema UKIMWI kuupata kwa mwanaume ni kazi ngumu kidogo kuliko kwa mwanamke kutokana na maumbile yao yalivyo na aliapa kwamba angekua mwanaume yeye UKIMWI angekua anausikia tuu kwa wengine na angekufa kwa ugonjwa mwingine kabisa.

Alafu alisema kwamba kufanya tu mapenzi na mwanamke sio ndio kupata virusi vya UKIMWI ila UKIMWI unakaa kwenye damu na sio kwenye ule uteute ama shahawa na alisema endapo ukasex na mwanamke alafu yeye nawewe mkapata michubuko hapo ndipo kwenye uwezekano mkubwa wa kupata UKIMWI .

Vile vile alisema wanapokea kesi nyingi za watu walioowana lakini mmoja ana UKIMWI na mwingine hana UKIMWI. Haswa wanaume ndio wanakua salama yani hawana UKIMWI ukilinganisha na wanawake walio oana.

Pia alinipa ushauri kabla hujasex na mwanamke muandae vizuri hadi uke wake uloane vizuri kwakua ukifanya hivyo unazuia kuchubuka kwa sehemu zenu za siri na kuzuia kwa kiasi kikubwa kupata UKIMWI.

NDIO MAANA KUNA KWANAUME NI MALAYA SANA LAKINI BADO VIRUSI HAWAJAPATA KWA HII FACT.

Alafu aliniambia kwamba unajua kwanini hawa malaya wakubwakubwa kwanini hawana UKIMWI kasema wanajitambua. Wanakua na mafuta yao ambayo wanayapaka sehemu za siri kuzuia michubuko wakati wa kusex. Hivyo hua salama.

Alinishauri nisifanye mapenzi kwa kukomoa yani kama league ya EPL yani mi nikutimiza haja zangu tuu. Vilevile nitumie condom kwa usalama zaidi.

Alafu alisema mda mwingine virusi vya UKIMWI vinaweza ishi kwenye ute ute kama kunamchubuko wowote mfano mate na ute ukeni.

NAJUA KUNA WATU WANAFAHAMU VIZURI KUHUSU UKIMWI NA KUNA MA DR. HUMU NAOMBA UTHIBITISHO WA HAYA.

*Nawasilisha hoja*
 
Mkuu nini kinakutatiza hapo?

Ni kwamba hukumuelewa daktari au vip?

Hebu eleza vizuri usichokielewa hapo ili wanuzi waje wakujuze zaidi.
 
Wataalamu mkuje Jamani
Yule Mama alinipa ujasiri sana... Nilipima na kujikuta nipo salama... Siku hyo hyo nilikutana na kijana mwingine tena alikuja kurudi kipimo..

Maana yeye alikua na mwanamke ambaye alikua anajilia tunda bila ata ya condom.. Akajakupata taarifa yule dem kazaliwa na ukimwi.. Alipata mawazo sanaa.. Lakini baada ya kupima akajikuta salamaa

Haya mambo nataka na ma Dr. Wengine waniambie hapa..
 
Kama umegonga demu na unahisi ana ukimwi nakushauri kapime achana na hizo story za mtaani na unakuja kuuliza hapa kwakuzunguuuka ili kujifariji
 
Kama umegonga demu na unahisi ana ukimwi nakushauri kapime achana na hizo story za mtaani na unakuja kuuliza hapa kwakuzunguuuka ili kujifariji
Nimepima mkuu na niko salama kabisa... Na nimepima kila kitu hadi uti..
 
hapo pa ukimwi upo kwenye michibuko tuu ,daktar huyo tutampeleka centro,maji yasio na virusi ni yale yanyo mzunguuka mtoto akiwa tumboni tuu na mate kwa asilimia chache iwapo mtu hama mchibuko au kidonda mdomoni,daktari alithibitisha kua virusi vinapatkana katka michibuko !! swali c kila michibuko inatoa damu asili ya mchibuko ni maji maji ,dhahiti kua hata bila damu ute ute tuu una pata virusi
 
hapo pa ukimwi upo kwenye michibuko tuu ,daktar huyo tutampeleka centro,maji yasio na virusi ni yale yanyo mzunguuka mtoto akiwa tumboni tuu na mate kwa asilimia chache iwapo mtu hama mchibuko au kidonda mdomoni,daktari alithibitisha kua virusi vinapatkana katka michibuko !! swali c kila michibuko inatoa damu asili ya mchibuko ni maji maji ,dhahiti kua hata bila damu ute ute tuu una pata virusi
Alisema kwamba ule ute utakua na virusi vya ukimwi kama tuu huyo mwanamke alishawahi pata mchubuko na virusi vikaishi huko....
 
Back
Top Bottom