kinundu
JF-Expert Member
- Oct 12, 2016
- 2,029
- 2,158
Wana body habari natumaini mu wazima wa afya,
Naomba nianze na hoja mimi kuna jambo kuhusu UKIMWI linanitatiza sana. Kuna siku nilienda kwa Dr mmoja kwenye hospitali moja hivi ya wilaya kupima virusi vya UKIMWI akanipa ushauri huu.
Akasema UKIMWI kuupata kwa mwanaume ni kazi ngumu kidogo kuliko kwa mwanamke kutokana na maumbile yao yalivyo na aliapa kwamba angekua mwanaume yeye UKIMWI angekua anausikia tuu kwa wengine na angekufa kwa ugonjwa mwingine kabisa.
Alafu alisema kwamba kufanya tu mapenzi na mwanamke sio ndio kupata virusi vya UKIMWI ila UKIMWI unakaa kwenye damu na sio kwenye ule uteute ama shahawa na alisema endapo ukasex na mwanamke alafu yeye nawewe mkapata michubuko hapo ndipo kwenye uwezekano mkubwa wa kupata UKIMWI .
Vile vile alisema wanapokea kesi nyingi za watu walioowana lakini mmoja ana UKIMWI na mwingine hana UKIMWI. Haswa wanaume ndio wanakua salama yani hawana UKIMWI ukilinganisha na wanawake walio oana.
Pia alinipa ushauri kabla hujasex na mwanamke muandae vizuri hadi uke wake uloane vizuri kwakua ukifanya hivyo unazuia kuchubuka kwa sehemu zenu za siri na kuzuia kwa kiasi kikubwa kupata UKIMWI.
NDIO MAANA KUNA KWANAUME NI MALAYA SANA LAKINI BADO VIRUSI HAWAJAPATA KWA HII FACT.
Alafu aliniambia kwamba unajua kwanini hawa malaya wakubwakubwa kwanini hawana UKIMWI kasema wanajitambua. Wanakua na mafuta yao ambayo wanayapaka sehemu za siri kuzuia michubuko wakati wa kusex. Hivyo hua salama.
Alinishauri nisifanye mapenzi kwa kukomoa yani kama league ya EPL yani mi nikutimiza haja zangu tuu. Vilevile nitumie condom kwa usalama zaidi.
Alafu alisema mda mwingine virusi vya UKIMWI vinaweza ishi kwenye ute ute kama kunamchubuko wowote mfano mate na ute ukeni.
NAJUA KUNA WATU WANAFAHAMU VIZURI KUHUSU UKIMWI NA KUNA MA DR. HUMU NAOMBA UTHIBITISHO WA HAYA.
*Nawasilisha hoja*