Investo
JF-Expert Member
- May 19, 2020
- 557
- 1,200
Km serikal kwanin usisomeAda Ni serikali bro
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Km serikal kwanin usisomeAda Ni serikali bro
Follow your heart km hapo hapo ndipo hazina yako ilipo ifuate kwa nguvu, akili na Maarifa Ila ungeielezea hio FOR REX inakua kuaje na wengine wajue hio fursa waweze kukita miguu yao huko jobless ni wengi kuliko unavyofikiri, kingine km una Godfathers kwenye kitengo somewhere sikushauri kuacha Chuo ukamkata pumzi uko mbele ukikwama utajilaumu kwanini uliacha ChuoHabar wakuu
Mimi ni mwanafunzi wa kozi ya technical education in electric and electronics eng, umri wangu 23yrs
Nimekuja hapa kuomba ushauri, nimefanya uchunguzi wangu wa kina kwa miaka5 pamoja na kutafuta maarifa baada ya kujaribu forex nimeona Ina manufaa kwangu... Hivyo nimekuja kuomba ushauri naacha chuo ili nijikite zaidi huko.. Hoja zangu Ni kama ifuatavyo
1. Shule naona inapoteza muda na lengo la shule ni kutafuta hela as long as nimepata shortcut ya pesa why niendelee na shule?
2. Kujiepusha kuwa miongon mwa wahanga wa ajira mbeleni, ni heri nijiondoe mapema nikajitafute!!
3. Kitu ninachokisoma sijawahi kufikiria kama ningesoma, naona nilifata mkumbo, kuepusha majuto zaidi Ni heri nijichomoe mapema?
4. All in all what determines a man is his/her success, u choose to be part of success through FOrex
Hizo ndio points zangu.. Naomba ushauri na mawazo, ningeweza kuomba watu wanaonizunguka but najua sio rahisi wao kumkubalia na na mimi, but naamin humu JF kuna watu wenye upeo mkubwa, nakaribisha michango.
Acha usenge soma open university kidogokidogo ukuze ufahamu,akaunti za forex Zina scammer wa kutoshaHabar wakuu
Mimi ni mwanafunzi wa kozi ya technical education in electric and electronics eng, umri wangu 23yrs
Nimekuja hapa kuomba ushauri, nimefanya uchunguzi wangu wa kina kwa miaka5 pamoja na kutafuta maarifa baada ya kujaribu forex nimeona Ina manufaa kwangu... Hivyo nimekuja kuomba ushauri naacha chuo ili nijikite zaidi huko.. Hoja zangu Ni kama ifuatavyo
1. Shule naona inapoteza muda na lengo la shule ni kutafuta hela as long as nimepata shortcut ya pesa why niendelee na shule?
2. Kujiepusha kuwa miongon mwa wahanga wa ajira mbeleni, ni heri nijiondoe mapema nikajitafute!!
3. Kitu ninachokisoma sijawahi kufikiria kama ningesoma, naona nilifata mkumbo, kuepusha majuto zaidi Ni heri nijichomoe mapema?
4. All in all what determines a man is his/her success, u choose to be part of success through FOrex
Hizo ndio points zangu.. Naomba ushauri na mawazo, ningeweza kuomba watu wanaonizunguka but najua sio rahisi wao kumkubalia na na mimi, but naamin humu JF kuna watu wenye upeo mkubwa, nakaribisha michango.
😄😄😄 Hatari sana mkuu.Habar wakuu

Unapewa boom TF n MA ya Pesa ndefu umeitumia kuwekeza kwenye FOR REX kwanini usiendelee kuitumia na kuwaunga vijana wengine uko ?! Tumia Maarifa yako vizuriAda Ni serikali bro
Mimi ni mwanafunzi wa kozi ya technical education in electric and electronics eng, umri wangu 23yrs
Ukiacha chuo utakuwa taira.Habar wakuu
Mimi ni mwanafunzi wa kozi ya technical education in electric and electronics eng, umri wangu 23yrs
Nimekuja hapa kuomba ushauri, nimefanya uchunguzi wangu wa kina kwa miaka5 pamoja na kutafuta maarifa baada ya kujaribu forex nimeona Ina manufaa kwangu... Hivyo nimekuja kuomba ushauri naacha chuo ili nijikite zaidi huko.. Hoja zangu Ni kama ifuatavyo
1. Shule naona inapoteza muda na lengo la shule ni kutafuta hela as long as nimepata shortcut ya pesa why niendelee na shule?
2. Kujiepusha kuwa miongon mwa wahanga wa ajira mbeleni, ni heri nijiondoe mapema nikajitafute!!
3. Kitu ninachokisoma sijawahi kufikiria kama ningesoma, naona nilifata mkumbo, kuepusha majuto zaidi Ni heri nijichomoe mapema?
4. All in all what determines a man is his/her success, u choose to be part of success through FOrex
Hizo ndio points zangu.. Naomba ushauri na mawazo, ningeweza kuomba watu wanaonizunguka but najua sio rahisi wao kumkubalia na na mimi, but naamin humu JF kuna watu wenye upeo mkubwa, nakaribisha michango.
Kwa miaka hiyo mitano how much you've accumulated so far?Habar wakuu

Usiache pata cheti, kama forex itakulipa unaweza kupata mtaji na kufanya kituHabar wakuu

Kabisaa aeleze vizuri [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kwani ukisoma huku unatrade forex utapata hasara gani? Uwe muwazi tu kuwa shule haipandi.
Wewe bado unaakili za kitoto. Soma dogo hatusomi kupata hela ila tunasoma kuondoa ujinga. Ingekuwa kusoma ni kupata hela kuna jamaa ana phd 11 hana kitu. Soma huku ukifanya forexHabar wakuu