ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 21,643
- 51,642
Chai
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
OkWewe bado unaakili za kitoto. Soma dogo hatusomi kupata hela ila tunasoma kuondoa ujinga. Ingekuwa kusoma ni kupata hela kuna jamaa ana phd 11 hana kitu. Soma huku ukifanya forex
USIACHE CHUO KIHOLELAHOLELAHabar wakuu
Mimi ni mwanafunzi wa kozi ya technical education in electric and electronics eng, umri wangu 23yrs
Nimekuja hapa kuomba ushauri, nimefanya uchunguzi wangu wa kina kwa miaka5 pamoja na kutafuta maarifa baada ya kujaribu forex nimeona Ina manufaa kwangu... Hivyo nimekuja kuomba ushauri naacha chuo ili nijikite zaidi huko.. Hoja zangu Ni kama ifuatavyo
1. Shule naona inapoteza muda na lengo la shule ni kutafuta hela as long as nimepata shortcut ya pesa why niendelee na shule?
2. Kujiepusha kuwa miongon mwa wahanga wa ajira mbeleni, ni heri nijiondoe mapema nikajitafute!!
3. Kitu ninachokisoma sijawahi kufikiria kama ningesoma, naona nilifata mkumbo, kuepusha majuto zaidi Ni heri nijichomoe mapema?
4. All in all what determines a man is his/her success, u choose to be part of success through FOrex
Hizo ndio points zangu.. Naomba ushauri na mawazo, ningeweza kuomba watu wanaonizunguka but najua sio rahisi wao kumkubalia na na mimi, but naamin humu JF kuna watu wenye upeo mkubwa, nakaribisha michango.
Point noted mkuuUSIACHE CHUO KIHOLELAHOLELA
Umenkumbusha mbali nili quit Health college juu ya forex, for consequtive 2 years nilikuwa nalia nikaona nibora ningeendelea kusoma tu,
Nilichojifunza inabidi umalize vitu vyako vyoote, pia usiwe na mtaji wangama ndipo uingie forex utakuja kufa kwa stress.. (yaani una laki 2 tu nautrade yote..)
Mambo ya kuzingatia..
1.Tafuta maarifa/elimu juu ya forex ya kutosha
2.Utilize maarifa yako ipasavyo(through demo)
3.Tafuta mtaji kuanzia 100$ (kwa beginner) & below kama upo consistent
3.Do not be motivated my IG fx_traders utapotea focus na your own dream & stratergies
4.Punguza tamaa, huwez kuanza fx then within few months/years ukawa successful hii ni kama biashara nyingne zote don't be fooled mambo ya kudouble account within a week hii inatake time sana adi uwe na uwezo huu.
5.Tengeneza strategies, kuwa mtu wa documentary, Kuwa mtu unaependa kusoma sana.
6.Tengeneza kipato pembeni ndipo uingine
NOTE
"UKIWEZA KUCONTROL PROFIT UKIWA NA BIASHARA MDOGO UTAWEZA ATAUKIWA NA BIASHARA KUBWA PIA"
Elimu haina mwisho hata hela hazina mwisho kumbuka taifa la Tanania linaangamia kwa kukumbatia unyumbu jamii inayoendekeza kujitoa ufahamu huko ni kukosa maarifa. To have money is a good feeling the more you have money the more you will need more money.Habar wakuu
Mimi ni mwanafunzi wa kozi ya technical education in electric and electronics eng, umri wangu 23yrs
Nimekuja hapa kuomba ushauri, nimefanya uchunguzi wangu wa kina kwa miaka5 pamoja na kutafuta maarifa baada ya kujaribu forex nimeona Ina manufaa kwangu... Hivyo nimekuja kuomba ushauri naacha chuo ili nijikite zaidi huko.. Hoja zangu Ni kama ifuatavyo
1. Shule naona inapoteza muda na lengo la shule ni kutafuta hela as long as nimepata shortcut ya pesa why niendelee na shule?
2. Kujiepusha kuwa miongon mwa wahanga wa ajira mbeleni, ni heri nijiondoe mapema nikajitafute!!
3. Kitu ninachokisoma sijawahi kufikiria kama ningesoma, naona nilifata mkumbo, kuepusha majuto zaidi Ni heri nijichomoe mapema?
4. All in all what determines a man is his/her success, u choose to be part of success through FOrex
Hizo ndio points zangu.. Naomba ushauri na mawazo, ningeweza kuomba watu wanaonizunguka but najua sio rahisi wao kumkubalia na na mimi, but naamin humu JF kuna watu wenye upeo mkubwa, nakaribisha michango.
Asante sana mwalimu Mungu akubarikiCha kukushauri fuata roho yako inasemaje ila ukweli ni kwamba kabla hauha quit chochote hakikisha umetengeneza fedha za kutosha ktk trading hata job mfano upo consistency kumake 100usd per day mwaka mzima so kazi yenyewe inajiisolate
Trading ni ngumu kama unatamaa ya kufanikiwa haraka, all in all welcome to financial freedom journey cry now laugh later
Kuchanganya forex na shule lazima uwe na IQ kubwa la sivyo utadisco au utaondoka na G.P.A ya 2.Kwan hio forex huwez iendeleza huku unasoma au unajikuta we ndo uliigundua fanya uendelee na masomo huku unafanya hio forex unles otherwise sema shule huitaki
Habar wakuu
Mimi ni mwanafunzi wa kozi ya technical education in electric and electronics eng, umri wangu 23yrs
Nimekuja hapa kuomba ushauri, nimefanya uchunguzi wangu wa kina kwa miaka5 pamoja na kutafuta maarifa baada ya kujaribu forex nimeona Ina manufaa kwangu... Hivyo nimekuja kuomba ushauri naacha chuo ili nijikite zaidi huko.. Hoja zangu Ni kama ifuatavyo
1. Shule naona inapoteza muda na lengo la shule ni kutafuta hela as long as nimepata shortcut ya pesa why niendelee na shule?
2. Kujiepusha kuwa miongon mwa wahanga wa ajira mbeleni, ni heri nijiondoe mapema nikajitafute!!
3. Kitu ninachokisoma sijawahi kufikiria kama ningesoma, naona nilifata mkumbo, kuepusha majuto zaidi Ni heri nijichomoe mapema?
4. All in all what determines a man is his/her success, u choose to be part of success through FOrex
Hizo ndio points zangu.. Naomba ushauri na mawazo, ningeweza kuomba watu wanaonizunguka but najua sio rahisi wao kumkubalia na na mimi, but naamin humu JF kuna watu wenye upeo mkubwa, nakaribisha michango.
Ushauri mzuriWewe bado unaakili za kitoto. Soma dogo hatusomi kupata hela ila tunasoma kuondoa ujinga. Ingekuwa kusoma ni kupata hela kuna jamaa ana phd 11 hana kitu. Soma huku ukifanya forex