Ushauri: Naacha chuo nijikite biashara ya sarafu mtandaoni FOREX

Follow your heart km hapo hapo ndipo hazina yako ilipo ifuate kwa nguvu, akili na Maarifa Ila ungeielezea hio FOR REX inakua kuaje na wengine wajue hio fursa waweze kukita miguu yao huko jobless ni wengi kuliko unavyofikiri, kingine km una Godfathers kwenye kitengo somewhere sikushauri kuacha Chuo ukamkata pumzi uko mbele ukikwama utajilaumu kwanini uliacha Chuo
 
Acha usenge soma open university kidogokidogo ukuze ufahamu,akaunti za forex Zina scammer wa kutosha
 
😄😄😄 Hatari sana mkuu.
 
Usiache MBACHAO KWA MSALA UPITAO, waliosema hivyo hawakua wajinga yaan umelitumia boom kuwekeza kwenye FOR REX alafu unataka kuacha Chuo baada ya kukamata coin kiasi are you serious bro ?!
 
Soon utaelewa tuu
 

Attachments

  • Screenshot_20230609_092817_Facebook.jpg
    100.6 KB · Views: 24
Mimi ni mwanafunzi wa kozi ya technical education in electric and electronics eng, umri wangu 23yrs
  • Soma kwanza.
  • Forex ilikuwepo, Forex ipo, na Forex itaendelea kuwepo.
  • Ila muda wa kusoma ukiisha upoteza, kamwe nafasi (muda) uliyoichezea huto ipata tena.
=
 
Ukiacha chuo utakuwa taira.
 
Kwa miaka hiyo mitano how much you've accumulated so far?
 
Usiache pata cheti, kama forex itakulipa unaweza kupata mtaji na kufanya kitu
 
We leta usenge tu! Utakuja kujua nini kilimnyima Kuku kukojoa 😊

Vijana wa kiafrika mkiambiwa msome mnaleta ujuaji... kazi kung'ang'ana na USENGEUSENGE TU! eti likijana kama hili na lenyewe mnalipa Ushauri... acha tu baadae likaungane na wale vijana wenzie kariakoo wakawe madalali wa simu za wizi kutoka Dubai na hapahapa bongo, yakishakushinda huko mitandaoni.
 
Mkuu kama umebahatika kupata wenye uwezo wa kukusomesha hata huo ujuzi usiuache nakushauri mimi kama hustler ambae nilitangulia maisha muda wa kusoma kutokana na changamoto fulani ya kiuchumi... Kwa sasa nina maisha yangu ya uhakika wa kujitegemea 100% ila huwa nawish kama ningekuwaga na professional yoyote nahisi ningejiamini zaidi
 
Wewe bado unaakili za kitoto. Soma dogo hatusomi kupata hela ila tunasoma kuondoa ujinga. Ingekuwa kusoma ni kupata hela kuna jamaa ana phd 11 hana kitu. Soma huku ukifanya forex
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…