Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Asante saana mkuuuNdugu yangu kama hujamuoa, hebu nakuomba ufikirie upya kuhusu maamuzi yako. Japo simu ya mtu binafsi lakini ni muhimu kutoweka mipaka kwenye simu za mke na mme, mfano kuna muda simu yangu inaisha chaji hivyo natumia ya mke wangu pale dharura. Pia ukiwa na mwanamke anaekuwa line ama simu ya kuficha mme wake huyo siyo mke sahihi wa kuoa bali hawa tunawatumia kukidhi haja zetu za mwili lakini siyo kuoa.
Mimi binafsi sipendelei ama kuwa mke mwenye simu yenye password zaidi ya 1, unakuta simu ya mwanamke kila sehemu kuna sms halafu unajisifu kuwa una mke, huyo ni danguro aliyejificha kwa jina la mke.
Jitahidi sana kufanya utafiti wa uhakika kama mwanaume ili uchukuwe maamuzi sahihi maana kufanya hivyo ni kuokoa maisha yako wewe mwenyewe na kizazi chako. Kama utaona hafai tafuta mke mwingine lakini usipendelee manesi japo siyo wote lakini walio wengi tabia zao siyo nzuri.
Nimekuelewaaa mkuuMkuu Ulitaka kumla bata hutakiwi kumchunguza sana.
Ninamaanisha nini, kuna vitu unatakiwa umuweke wazi kuwa unapenda na nini haukipendi kama anakuheshimu na anakuhitaji basi atabadilika ataonesha tabia njema.
1. Mimi iliwahi kutokea hivyo kwa Huyu mpenzi wangu nilie naye. Nilikaa nikamweleza aina ya mke ninayemtaka hivyo nikamtaka kwa lugha ya chini huku nikimbembeleza kwa hisia kuwa abadilike, ni kweli alibadilika na akaongeza na tabia nyingine nzuri.
2. Kitu kingine ambacho unatakiwa kufahamu kuna wanawake huwa hawataki kushauriwa vitu hivyo kuwa makini sana. Unatakiwa ucontrol akili yako iamini kuwa hana mpenzi mwingine zaidi yako (Mind manipulation) hii iko psychological zaidi ukiweza itakusaidia.
3. Achana kabisa na kuwaza kushika simu yake. Mkuu ukifanikiwa kuizuwia akili yako kuwaza kuhusu simu yake basi utakuwa umejiondolea mzigo wa panic, stress, na matatizo ya moyo.
4. Kama hamuishi wote mwambie akija nyumbani kwako au sehemu yoyote mnayokutana basi asiwe busy na simu hata kidogo.
Yangu ni hayo tu naomba kuwasilisha.
KIJISTORI KUNIHUSU MIMI.
Mimi nilibahatika kusoma mambo kidogo ya hacking huko mitandaoni, hivyo niliwahi kumhack mpenzi wangu lakini nilijuta, kadri siku zilivyozidi nilianza kupata mahasira hadi kazini, mtaani hadi kwenye daladala.
Nakumbuka siku moja nipo kwenye daladala konda aliuliza kituo
Konda: Nyegezi Kona wakushuka
Mimi: Konda acha u-s-e-n-g-e nipitilize gone(KWA SAUTI YA UKALI SANA).
Kwanza sijui kutumia maneno makali kama u-s-e-n-g-e, lakini niliyatumia ndani ya mwezi mzima.
Pili nilikuwa na hasira kwa sababu konda sikuwa nimemwambia awali kuwa ninashuka kituo alichokitaja konda.
Tatu wakati konda anauliza kituo kinachofuata nilikuwa bado hatujafika kwa wao uifahamu geographia ya jiji la Mwanza tulikuwa Bohari konda aliuliza Isenyi(hakuna aliyekuwa anashuka) kisha akauliza Nyegezi kona.
Kwa leo niishie hapo Lakini, usijaribu kujihusisha na simu ya mpenzi wako kabisa kama unampenda itakuumiza na kuvunja mahusiano yenu.
Ndugu yangu najaribu kuvaa uhusika wako.Punguzenii ukali wa maneno
Skia man mm nikijan wamakamo sija oa bado ila changamoto km zako nazipitia sasa cmmnt zawatu wengi zasema umuache ila mim km mm nakuomba usimuache ukitaka kitu pigania mbaka uwone APA sina pakutokea at a ukimuacha uyo unaye mpata mwingine sizani km ananafu kumshinda uliye muacha LIFE IS SHORT BRO ENJOYMimi 29 yeye 23
Relax, time is the best healer! Atarudi kwako tu very soon na vilio na maombolezo. Ila na wewe koma kuangalia simu za wanawake, mwanamke kutongozwa doesn't mean ni Malaya! Mtongozaji ndio malaya maana anajua status yake ya mahusiano.mkuu ni zaidi ya maumivu
Dogo, utaishi maisha ya amani saana sana na ndoa yako itakua na amani for the rest of your life. Hope una maanisha hiki ulichoandika! Nimefurahi sana! Uoe sasa usichelewe, shenzi kabisa oa kijaana ushajua "art" ya ndoa! Unipe na card ya mchango dadeeekiSkia man mm nikijan wamakamo sija oa bado ila changamoto km zako nazipitia sasa cmmnt zawatu wengi zasema umuache ila mim km mm nakuomba usimuache ukitaka kitu pigania mbaka uwone APA sina pakutokea at a ukimuacha uyo unaye mpata mwingine sizani km ananafu kumshinda uliye muacha LIFE IS SHORT BRO ENJOY