Ushauri: Nahisi mchumba wangu ana mahusiano na wanaume wengine

Na wewe ulikua kolo unampigiaje mhuni sasa[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Hapo dawa ilikua ni kuiiba hyo simu then usubiri reaction.

Wewe bado haujakomaaa mindcally kuhandle mwanamke.

Wanaume tunavifua vya kutunzia siri.

Sent from my TECNO F3 using JamiiForums mobile app
 
Asante saana mkuuu
 
Ww tafta mke wa kuoa huyo n kipoozeo
Cha washkaji ukiwemo wewe
 
Nimekuelewaaa mkuu
 
Wanawake wa hivyo wanakuaga waongo sana kama unabisha jarbu kuchunguza utagundua mengi mno
 
Punguzenii ukali wa maneno
Ndugu yangu najaribu kuvaa uhusika wako.
Pole sana.
Hebu kama anakudai mlipe, kama unamdai msamehe tu.
Then chukua simu yako mwambie kuwa nimefanya uchunguzi wa kutosha na kugundua kuwa mimi sitaweza kuishi na wewe kama mke na mume hivyo. Najitoa rasmi kwenye penzi.
Baada ya hapo usipokee simu yako na sms zake uzifute bila kuzisoma.
Kisha tafuta binti mzuri mwoe utafuruhia maisha.
Usipoushika ushauri hii ipo siku utakuja kuandika uzi hapa huku umepandisha mapepo
 
Inawezekana ikawa chai.. Lakini unaweza ukajifunza kitu hapa.

 
Mimi 29 yeye 23
Skia man mm nikijan wamakamo sija oa bado ila changamoto km zako nazipitia sasa cmmnt zawatu wengi zasema umuache ila mim km mm nakuomba usimuache ukitaka kitu pigania mbaka uwone APA sina pakutokea at a ukimuacha uyo unaye mpata mwingine sizani km ananafu kumshinda uliye muacha LIFE IS SHORT BRO ENJOY
 
mkuu ni zaidi ya maumivu
Relax, time is the best healer! Atarudi kwako tu very soon na vilio na maombolezo. Ila na wewe koma kuangalia simu za wanawake, mwanamke kutongozwa doesn't mean ni Malaya! Mtongozaji ndio malaya maana anajua status yake ya mahusiano.

Na mwanamke hawezi kukwambia kila akitongozwa, kama ukitaka iwe hivyo basi utaishia kudanganywa! Yule asiyempenda au yule ambaye anaona unaweza kumstukia kwa urahisi huyo ndio utaambiwa oogh yule jamaa ananisumbua ila sasa wale ambao ni "potential" kwake huambiwi.

Sasa ukibaki na hio ya kutaka kuelezwa kila kitu utachemka. Tekeleza majukumu yako acha kumlinda mkubwa mwenzio
 
Dogo, utaishi maisha ya amani saana sana na ndoa yako itakua na amani for the rest of your life. Hope una maanisha hiki ulichoandika! Nimefurahi sana! Uoe sasa usichelewe, shenzi kabisa oa kijaana ushajua "art" ya ndoa! Unipe na card ya mchango dadeeeki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…