Ushauri: Nahisi mchumba wangu ana mahusiano na wanaume wengine

Asantee mkuu
 
Umesema unatarajia kumtambulisha na mfunge ndoa hapo baadae.
Kaka kuna maeneo yafuatayo yanakupa majibu wazi kabisa;
1. Hataki ushike simu yake.
Unatuuliza sisi wakati muhusika unakuwa nae. Wewe ni dhaifu Kaka, huyo mpz wako anakusaliti. Amka Kaka.

2. Hajakuambia kuhus hiyo simu ndogo. Ni wazi pia ana line ambayo wewe huijui. Amekuzidi akili asbh, amka kaka.

3. Amekulaumu kumpigia dokta. Badala ya kukuomba msamaha ndo kwanza anakulaumu na kebehi kibao.

Muache huyo dada, hafai kuwa hata mpz. Simama imara wewe ni mwanaume!
 
pamojaa saaa
 
Nimekuelewaa mkuu wanguu
 
Nitaitumiaa hii
 
Kitendo cha demu kugoma wewe kushika simu yake wakati yako anaishika inatosha kabisa kutemana naye mapema sana...sasa maamuzi ya kutumia akili kidogo tu kama haya unayashindwa ndoa utaiweza?
 
Ushauri wa hovyo huu..sorry for saying that mkuu
 
Mkuu sio daktari Carlos kweli ebu muulize vizuri
 
Nipe tips za kuhack mzee sisi ndo tunapendaga hivi vitu
 
Mimi ishatokea demu fulani hiv alikuwa anakataa nisishike simu yake nlichofanya nikumzalisha watoto wawili saiz mm ndio mfalme kashika adabu!
 
Simba 0= Kaizer 4 ndo unachofanyiwa wewe

Ni ujinga wa hali ya juu cha PhD mwanamke kushika sim yako alafu akukataze kushika yake
Endelea kujifunika shuka, utazinduka kwenye ndoa
 
Ukimchunguza Sana Bata Uwezi Kumla Mkuu...No Body Is Perfect
 
Oi, wanawake ni binadamu wenzetu ila ukweli ni kwamba huwa na mambo mengi tofauti na sisi, unachotakiwa kufanya ni kuonesha uhalisia wako na kuelewa kuwa kitu fulani hutaki na kitu fulani unataka, ili mtakapoingia kwenye ndoa iwe kila mmoja anamjua mwenzake.

Vinginevyo utaingia kwenye ndoa kama umeingia kwenye tanuru la moto, kama sasa hivi hujamuoa na matimbwili ndo hayo, je akishakua ndani ya ndoa tayari matimbwili utayaweza?? Au ndo itakua kila siku unapokea maombi ya ruhusa mtu anaenda kubinjuliwa huko??
ONESHA UHALISIA NA FANYA UCHUNGUZI WA KINA, KWA MAELEZO YAKO INAONEKANA UPO NA WENZAKO MNAKULA MBUSUSU MOJA[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ulimkuta Bikra?@Joka Jeusi unaitwa na kijana!
 
Halafu unamueashia moto, kwani ulikuwa na simu ndogo? Kwanini hukuniambia?eeeh....usinitanie...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…