Ushauri: Nahisi mchumba wangu ana mahusiano na wanaume wengine

Jitafakari alafu ujipambanue kama una akili timamu katika nyanja ya hisia
 
......alinipigia na kuanza kunilaumu kwanini nimefanya vile na kuanza kunikejeli kuwa najidhalilisha na sijiamini, na kuongezea kuwa kama mimi ni rijali kwanini nafanya vilee??


Kimbia braza' huyo ni Malaya atakusumbua katika ndoa yako na maisha yako yote
 
Mkuu kama mpenzi wako ni nesi hiyo hesabu maumivu tu. Kuna zile zamu za usiku lazima mbunye ichakatwe kwenye hizo zamu. Hata kama mpenzi/mke ni mgumu kiasi gani,kwa zamu zile za usiku ipo siku tu ataangukia kwa baharia doctor wako wote zamu,atapigwa mbupu tu
 
Mkuu! Kama kuongea points kuhusu hizi mambo upo juu sana...let me appreciate you..[emoji122][emoji2936][emoji2935]
 
iyo kunguru yako ipo juu ya kichwa yako aifai kuoa ishakujua ww zoba tu haufai kuwa dereva wa maisha yake ndo maana huna sauti kwake kifupi we mario tu ka mario wengine kama unataka maisha ya amani mwache ata akuectie kulia vip ila ka unataka ndoa na maisha yako yawe magumu endelea nae ila jiandae kuwa mwanafalsafa wa mapenzi
 
Usithubutu kumuoa
 
SUBIRI UPIGWE KWANZA NA KITU KIZITO KICHWANI NDIO UTAKATA RUFAA.
 
Kwa nilivyosoma nakukuelewa mkuu uko very weak kwa uyo msichana yani haupo kiume kabisa mzee wangu!! Ebu kaza sauti jamaa... Unaanzaje kumpigia mwanamme mwenzio simu na uliulizaje?
 
Miaka 5!!!!


Kaka

Acha wakumegee tu


Ukija kushtuka mwenzio anasaini cheti cha ndoa na daktari!!!!
 
MTU MBAYA DAWA YAKE NI KUHAKIKISHA AMEJUA KUA UNAMJUA NIMBAYA WAKO NA ANAKUTENDEA UBAYA.

BAADA YA HAPO UNAKAA KIMYAA SANA YAAN KIMYA.

atabaki anawazaa, unampangia kumpasua kichwa ???? Au nn???

ENDELEA KUKAA NA LISIRI LAKO LAKIJINGA, UNAJIUMIZA

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]huko mwishoni nimecheka sana...
Unaona lakini wanaume wenzako wanavyo kuleti dauni
Maana naona umepambana kuwapa codes lakini wapi unaelekea kuchoka kuwaelewesha [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 

Lakini Carlos The Jackal anawaelewa yeye ndio mwanaume wa kwanza kuwaelewa wanawake[emoji14]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]huko mwishoni nimecheka sana...
Unaona lakini wanaume wenzako wanavyo kuleti dauni
Maana naona umepambana kuwapa codes lakini wapi unaelekea kuchoka kuwaelewesha [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Akuuuuu wao wanajileti dauni wenyeweeee


Mie yangu ni mteremkoooooooo
 
Lakini Carlos The Jackal anawaelewa yeye ndio mwanaume wa kwanza kuwaelewa wanawake[emoji14]
Uwii hahaha, hizo ni ni maneno tu za watu


Kwenye Uwanja mambo ni tofauti.



Sijisiiifi wala nn

Wanawake kwasasa nahuko mbeleeen. HAMTAKAA TENA KAMWE KUNIPA UGUMU.


Unajua Maya, wee ongea, ila Tambua kua unaongea na mmywanaume anayejikubali kwa kila kitu.
 
Story yako nzuri,tupe hata mrejesho iliishaje
 
[emoji16][emoji16] eti ameludi field..
 
Huwa sielewi ni kwanini mwanaume unakagua simu ya mpenzi wako na huna maamuzi ya vitu hasi ama chanya utakavyovikuta humo.

Kwanza ni yapi malengo yako ya kuikagua hiyo simu, kama unaona huwezi kumuacha achana na simu yake utajiumiza bure mkuu. Kuna wengine ni wale wanaopita kimasihara utakuta text zao huko utapanick na kujiumiza na kumuacha huwezi.

Kwa mimi nilishajiwekea misimamo yangu juu ya hilo kwa sababu nina maamuzi mkononi.
Kwanza kama huyo manzi nilimuweka kwenye hesabu za ndoa nikakagua simu yake( ni lazma nikague kujihakikishia usalama wa moyo wangu), nikakuta ana madudu , hatajua kama nimekagua simu yake sibadili chochote zaid zaid ntaongeza mapenzi kwake kwa uchunguzi zaidi baadae namuacha taaaratiiibu bila mimi kuumia kihisia.

Kama ni wa hit and run huyo sina haja saana ya kumchunguza sana japo nae nitamchunguza simu yake( ili kuiweka afya yangu njema zaidi) maana nae akiwa kicheche ni tatizo hapo, huyu ntamuacha taratibu pia.

Sasa wewe huna maamuzi na unakagua simu.
Pole sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…