Ushauri:Nahitaji kununua mitsubishi canter...

Ushauri:Nahitaji kununua mitsubishi canter...

Jindal Singh

JF-Expert Member
Joined
Sep 9, 2015
Posts
1,857
Reaction score
1,538
habari jf.

Kuna jamaa yangu mwezi wa 10 anastaafu, sasa kama ndugu yake kanambia anataka kuingia katika biashara ya kuendesha gari ndogo za mizigo hususani MT canter sasa nilikuwa nahitaji kufahamishwa ni aina ipi ya canter iliyo katika ubora, bei nzuri eidha kununua hapa au kuagiza au zanzibar na kama kuagiza nje vipi hari ya bandari kulipia. Nimepita be foward naona canter mayai mai hivi.

nahitaji fundi anipe A-Z .
 
Canter kuna long base , short base ,tipper ,six speed long jornery nk., Mayai nakuna tunazoziita box !
Kiufupi kuna aina nyingi za hizo canter , Ni aina gani za kazi unataka kufanya nikushauri
 
Canter kuna long base , short base ,tipper ,six speed long jornery nk., Mayai nakuna tunazoziita box !
Kiufupi kuna aina nyingi za hizo canter , Ni aina gani za kazi unataka kufanya nikushauri
Well said!
 
Back
Top Bottom