Jindal Singh
JF-Expert Member
- Sep 9, 2015
- 1,857
- 1,538
habari jf.
Kuna jamaa yangu mwezi wa 10 anastaafu, sasa kama ndugu yake kanambia anataka kuingia katika biashara ya kuendesha gari ndogo za mizigo hususani MT canter sasa nilikuwa nahitaji kufahamishwa ni aina ipi ya canter iliyo katika ubora, bei nzuri eidha kununua hapa au kuagiza au zanzibar na kama kuagiza nje vipi hari ya bandari kulipia. Nimepita be foward naona canter mayai mai hivi.
nahitaji fundi anipe A-Z .