USHAURI: Nahitaji kurudia mitihani ya Kidato cha Nne katika michepuo ya sanyansi

USHAURI: Nahitaji kurudia mitihani ya Kidato cha Nne katika michepuo ya sanyansi

mussajonas

New Member
Joined
May 10, 2024
Posts
3
Reaction score
1
Nahitaji kurudia mitihani ya kidato cha nne katika michepuo ya sanyansi. Naombeni msaada wapi nitapata walimu wazuri.
 
Kama upo serious nikuunganishe na shule arusha ukasome upate cheti chako kirahisi sana na uhakika katika mfumo unaotambulika na necta lakini pia mitihani ni ya kimataifa
 
Nipo seriously bro
Piga simu hapa +255 759 347 943 mwambie unataka kurudia masomo ya sayansi O LEVEL. atakusaidia kukuelezea kila kitu mimi mwenyewe nimepitia mfumo huo huo ni njia rahiss sana nadhani watu wengi wangekuwa wanajua nina uhakika wengi sana wangejiunga na huo mfumo ndani ya miezi sita mwaka mmoja unapata cheti chako
 
Utatoboa kweli mkuu maana hapo TU ushayaita sanyansi!?
 
Kama nyumbani mpo vizuri,
Tafuta shule inayofanya vizuri kwenye matokeo. Nenda kaongee(mkubaliane jinsi ya malipo) nao kwamba utasoma hapo mwaka 1 kwa kuingia darasani kama wanafunzi wengine wa form 4.
Mwisho unaenda kufanya mtihani kwenye kituo ulichojiandikishia.
 
Kama uko Dar Msewe college and Msewe Open School wako vizuri wako , wanapatikana ubungo, mtaa wa NHC Karibu na stendi ya mawasiliano. Utanishukuru
 
Back
Top Bottom