Ushauri: Najichukia sana unene wangu mpaka nakosa usingizi

Pole shost yaan uko kama mie nataman nipungue dah ila bora yangu mwenzio nina watoto ila kwa ww kazanaa upungue mwaya usijaribu kitumia dawa ninae mama yangu mdogo alipata madhara kisa dawa hizo usikurupuke tafadhal utakuja juta
 
>>> Vipi YULE MCHINA ALISHAKULA MZIGO huooo ?? NI PM nikuakmbie kitu '' tucheze kombolela ''>>.
 

 
Hapo ni diet tu, ukikazana haiongopi..nilikua na kilo 86..nikaja 75 now nina 70 nataka niwe na 65 sili wanga...ni matunda.. mbogamboga...nyama za kuchemsha na kuchoma nimepungua mnoo....mazoezi siwezi kila nikijitahidi wapi nashindwa. Jiwekee miezi 3 utaja niambia
 
Kuna ways za kufanya, kwanza ukijua theory yake
Utaweza fanya na kuwa oky kabisa.

Kupungua sio ishu ya kushinda njaaa, na zoez endelevu ukifanya kwa uaminif wiki mbili na kuendelea utaanza ona changes.

Nitafute nkupe aid nin cha kufanya...
 
unaweza ukawa miss ila inabidi ubadilishe mfumo wa maisha, cha kufanya

Badilisha life style na lishe.Kula matunda na mboga za majani, punguza sana vyakula vya wanga na sukari

Kula mara mbili/24hrs

Fanya mazoezi wiki 3 utakuwa miss, then nitafute nikupe hivyo ambavyo hujapata umri wote huo!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…