Ushauri: Najichukia sana unene wangu mpaka nakosa usingizi

Ushauri: Najichukia sana unene wangu mpaka nakosa usingizi

Fanya mazoezi,jogging hata kilo meter 2 kwa siku,punguza carbohydrates & fats ule kidogo sana,protein & vitamins ndio ule kwa wingi
 
Kabisa na kama unakunywa(alcohol)hiyo haita kusaidia kabisa.
sinywi pombe kabisa
huwa ninaanza plan nzuri tu no sugar no starch nakula mamboga mboga na mazoezi kidogo naenda hata week naona sipungui naacha nakata tamaa yaani
 
Dawa ni ndogo sana ila ni ngumu. Mimi nilikuwa na tatizo la uzito na hata moyo ukaanza kusumbua. Niliamua iuacha kula siku nzima...nakula usiku saa moja chai labda na chapati then mpaka siku inayofuata. Mwili wote uliisha hivi sasa ninachezea 63kgs
mkuu mimi siwezi kupiga deshi siku nzima jamani loh
 
Komenti za wanaume wenzngu humu ndan ni kujisifia kuwa wanaweza toa msaada alfu kumbe n wenywe miili legelege tu
 
Karagabaooo endelea kula kuna watu wanapenda vibongee... Watakunyakuaa
 
sinywi pombe kabisa
huwa ninaanza plan nzuri tu no sugar no starch nakula mamboga mboga na mazoezi kidogo naenda hata week naona sipungui naacha nakata tamaa yaani
Basi we ukiamua unaweza kuondoa unene wote kwa muda mfupi Sana . All you need is commitment .

Mimi niliteseka Sana maana nimnywaji mzuri wa Pinot noir. 😀

Kwa hiyo kila jumapili napeleka glass moja tu. Instead ya chupa nzima.
 
najichukia sana huu mwili wangu nimekuwa linene libayaaa
natamani kujipunguza ila sipungui ,natamani kujinyima kula ila nachoka inabidi nile japo kidogo

asubuhi nilikula chapati mbili na chai kidogo
mchana nikala biriani kidogo na nyama mbili
jioni nimekula nyama cha kuchemsha kama robo na kachumbari.

Hapa nipo nafanya mazoezi ninywe maji moto nilale,
nimeuchoka huu mwili nataka kesho nikaogelee ila sina mvuto kama zamani natamani nisiende ila marafiki zangu wataumia.

Serias kama kuna dawa naombeni ila sijazaa mwenzenu zisije zikayeyusha mayai yangu

Pole sana sister...ila ningeomba usiuchukie mwili wako kiac hicho, ridhika alichokupa Mwenyezi Mungu! Ushauri wangu Punguza kula, vile vile vyakula vya mafuta,sukari punguza au acha kabisa kutumia fanya exercise sana....kwa maelezo zaidi onana na daktari atakupa ushauri zaidi.....Ahsante
 
Basi we ukiamua unaweza kuondoa unene wote kwa muda mfupi Sana . All you need is commitment .

Mimi niliteseka Sana maana nimnywaji mzuri wa Pinot noir. 😀

Kwa hiyo kila jumapili napeleka glass moja tu. Instead ya chupa nzima.

Pinot noir ndio nini sister afro?
 
Mkuu kuokoka ni muhimu ukiokoka huwezi kujichukia,hilo moja lakini la pili ukiokoka utamtafuta Mungu kwa bidii kwa maombi ya kufunga kadri utakavyofunga itakuwa unapunguza mafuta mwilini ambayo ni chanzo kikuu cha unene.

Rafiki kufunga sio dawa ya kupunguza mwili wale kutoa mafuta, yeye mwambie abadili mfumo wa maisha kwanza....!
 
sinywi pombe kabisa
huwa ninaanza plan nzuri tu no sugar no starch nakula mamboga mboga na mazoezi kidogo naenda hata week naona sipungui naacha nakata tamaa yaani

Unavyokula ni tofauti inavyotakiwa acha kabisa wanga....!
 
mkuu mimi siwezi kupiga deshi siku nzima jamani loh

Unaweza pangilia mlo wako Kama hivi
49577572f6d8742c60f6ba04ebc9a3ea.jpg

Unapaswa kuwa mvumilivu....
 
Pinot noir ndio nini sister afro?
Red wine ambayo huwa inapatika nchi zenye ukanda wa baridi "winter" original from France lakini pia unaweza ku order kutoka US, UK , Australia, New Zealand na pia unaweza kupata South Africa.

Zipo feki mitaani lakini you can tell the difference.

Goes well with Rib eye steak and potato salad. 😀 Napenda kupika na ku match wine na chakula 🙄
 
Utakuwa hujapata mtu wa kukukunja vizuri kitandani ili kukata tumbo nipm nikupe siri ya mtungi
 
Red wine ambayo huwa inapatika nchi zenye ukanda wa baridi "winter" original from France lakini pia unaweza ku order kutoka US, UK , Australia, New Zealand na pia unaweza kupata South Africa.

Zipo feki mitaani lakini you can tell the difference.

Goes well with Rib eye steak and potato salad. 😀 Napenda kupika na ku match wine na chakula 🙄

Duh hahahaa mkuu afro we kiboko...kwangu mimi hiyo situmii aise,
 
Back
Top Bottom