Ushauri: Najichukia sana unene wangu mpaka nakosa usingizi

Ushauri: Najichukia sana unene wangu mpaka nakosa usingizi

kuna kipimo cha stress?
hormone zangu nadhani zipo ok maana nableed kila baada ya siku 28
Kipimo cha stress unajiona tu mwenyewe kuwa na depressed kuna muda matatzo mengi huletwa na mawazo kupitiliza kwasababu hufanya mwili kuzalisha chemicals ambazo hazihitajiki kwa muda huo na kuleta madhara mfano
 
my dear yote hayo nimeshafanya na ninafanya ila kila siku nipo pale pale 94-93
Inamaana umeongeza 19kgs kwa miezi 11 ambazo ni nyingi tu.

Unataka kupunguza kilo ngapi?

Nnayodiet ya wiki ukifuatilia unaweza kupunguza kilo 7 mpaka 10 la muhimu ni nia yako maana chakula chako kitakuwa ni Roughage(cabbage),dietary fibre, proteins, vitamins, minerals salt ,water
 
Hi hali huwapata sana wadada kwenye umri Fulani ila inachangiwa na hormonal imbalances utahangaika sana ila .

Tiba kubwa ni kuwa na mtoto baadae hormone zinabalance.

Utaende gym zote wapi ila pia punguza red meat.
 
True hata mimi nimemshauri hivyo maana kuna vitu ving behind kugain weight so fast
 
Punguza kula kula machipsi na maanasa anasa yasiyompango
 
Hivi mnajua kwanza uzito wa mwili unaendana na umri wa mtu? Sikatai kama exceptionals zipo pale panapokuwa na abnormality kama giantism. Waweza kuwa na asili ya unene ukafanya mazoezi na kufuata ratiba zote za jinsi ya kupungua na usipungue hata kidogo yhe same applied kwa watu wembamba hata ajipe raha au aridhike kiasi gani mwili wake unabali vile vile kimbaumbau.
Kuna magonjwa yanayopelekea hali ya mtu kutoongezeka au kupungua mwili; Nitarudi kulielezea hili.
Dada angu usikate tamaa fanya mazoezi ya nguvu kukata mafuta na kuepuka vyakula vyenye asili ya protein n fats pia jogging ni muhimu sana katika ratiba yako ya mazoezi.
 
najichukia sana huu mwili wangu nimekuwa linene libayaaa
natamani kujipunguza ila sipungui ,natamani kujinyima kula ila nachoka inabidi nile japo kidogo

asubuhi nilikula chapati mbili na chai kidogo
mchana nikala biriani kidogo na nyama mbili
jioni nimekula nyama cha kuchemsha kama robo na kachumbari.

Hapa nipo nafanya mazoezi ninywe maji moto nilale,
nimeuchoka huu mwili nataka kesho nikaogelee ila sina mvuto kama zamani natamani nisiende ila marafiki zangu wataumia.

Serias kama kuna dawa naombeni ila sijazaa mwenzenu zisije zikayeyusha mayai yangu
Badilisha life style na lishe.
Kula matunda na mboga za majani,

punguza sana vyakula vya wanga na sukari

Kula mara mbili/24hrs
Fanya mazoezi wiki 3 utakuwa miss, then nitafute nikupe hivyo ambavyo hujapata umri wote huo!
 
najichukia sana huu mwili wangu nimekuwa linene libayaaa
natamani kujipunguza ila sipungui ,natamani kujinyima kula ila nachoka inabidi nile japo kidogo

asubuhi nilikula chapati mbili na chai kidogo
mchana nikala biriani kidogo na nyama mbili
jioni nimekula nyama cha kuchemsha kama robo na kachumbari.

Hapa nipo nafanya mazoezi ninywe maji moto nilale,
nimeuchoka huu mwili nataka kesho nikaogelee ila sina mvuto kama zamani natamani nisiende ila marafiki zangu wataumia.

Serias kama kuna dawa naombeni ila sijazaa mwenzenu zisije zikayeyusha mayai yangu

Pole sana, nakusihi usijikatie tamaa, unayo nafasi ya kurekebisha hali hiyo na kuendelea na maisha. Ili kufanikiwa nakushauri uwashirikishe nutrition experts, physiotherapists na jaribu kuwasiliana na kundi linaitwa "slimpossible" hawa wako Nairobi, au tembelea website hii: slimfast.com; kwa hali uliyonayo sio rahisi wewe mwenyewe kujisumamia kwa sababu za kawaida za kibinadamu, mfn: uvivu, kujionea huruma, kuchelewa, shughuli nyingi nk! Tumua mitandao kutafuta watu wenye tatizo kama lako na wengine wenye uzoefu wa tatizo kama hilo and together thru' networking, kwa pamoja utafanikiwa. Usikate tamaa, hakuna lisilowezekana under the sun, na wengi wamefanikiwa kulidhibiti tatizo la overweight au obesity, fight on!
 
Kuokoka sio dawa ya unene Jamaa, mfumo wa chakula ndio issue kubwa! Aujue mwili wake na afya iimarike ndio mtu anaweza kuabudu vizuri! Vinginevyo unatumia dini vibaya.... Chunga kauli zako
huyo ni kichaa mkuu achana nae
 
Punguza sana vyakula vya wanga utapungua. ..mfano hizo chapati mbili achana nazo. Kama ikiwezekana asubuhi kunywa chai ya mchai chai na mkate uliokaushwa just 1 slice. Mchana matunda na mboga mboga na maji mengi na usiku hivyo hivyo. Ukifanya serious mwezi 1 lazima mabadiliko yawepo. Mazoezi nayo usisahau. I have been there before
 
jua kitu komja km umenenepa kbla ya kuzaa, ukizaa utapungua!pili kwa nini umechelewa kuzalishwa, kugegedwa kote uko, wte wanakutemea maji? mtt wa watu kope zinapungua, ebu chukua kioo ujiangalie shavu la chini na juu limeana kudodoka, shavu la chini linkaribia pajani la juu, linakaribia shingo.
 
ahahaaa acha hizo bna siwezi kukosea tena mkuu yaani huwezi nidanganya
Hivi mtu mzima above 25 yrs of age unaanzaje kumdanganya jamani labda kuweka makubaliano tu .

Don't put -ve attitude who cheated you ? Why did he cheated? Why not someone else it must be a lesson and preparation for your future.
 
siitaji ushauri kwenye hilo mkuu! tena toka kwa mwanaume big no mkuu!
 
Back
Top Bottom