Ushauri: Najichukia sana unene wangu mpaka nakosa usingizi

Umenenepa vipi?

Mpaka chura nayo imenenepa na kujaa au Umenenepa uso,shingo,maziwa,Tumbo na migugu alafu kule nyuma kama Asha Boko?

Weka japo tupicha tuwili tutatu tukuone upo namna gani!!!!
 
Hutaki unene lakini vyakula unavyokula tangu asubuhi vinanenepesha, punguza vyakula vya protein na fat. Kula sana mbogamboga na matunda. Fanya mazoezi ya kutosha. 1 week utakuwa vzr
 
Vipi tena mtoto mzuri?
Kukonda mbona ni ishu ndogo!
Nakumbuka na mimi nilivyokuwa bonge,nilijinyima kula sana,dawa yake ni mlo mmoja kwa siku,hii ni serious,siyo ya kutumia makemichal.
Nilivyoitumia hii njia,ya mlo mmoja kwa siku,tena nilikuwa nakula vyakula vyepesi,baada ya miezi miwili tu,kila ntakapopita mtaani,"jamani Kibishi,mbona umepungua ghafla?,unaumwa?"
Katika huo mlo unaojinyima,usile vyakula vya mafuta mafuta.
Sawa mchumba?
 
Kwa vile umeanza kujichukia najua utaanza kupunguza baadhi ya viongo kwenye mwili wako

So natoa order mapema pls iyo papuchi nipe nina frezer ya kuzitunza
 
kupunguza mwili ni kazi sana yahitaji uvumilivu mkubwa ila inawezekana hebu jaribu kunywa maji moto grasi 2 au 3 usiku kabla hujalala na asubuhi saa 12 hivyo hivyo mfululizo kwa miezi mitatu uone kama hutapungua na umalizapo kula pia uwe na tabia ya kunywa maji moto lazima utapungua tu. ila usisahau kufanya mazoezi pia
 
Pole mamake.
Naelewa unachopitia maana nilikuwa kilo 80
Sasa hivi nina kilo 55.

Tatizo moja ambalo nimegundua unalo na mi pia nilikuwa nalo ni kutaka kitu ambacho kitakusaidia kuondoa unene ndani ya siku au wiki moja. Ningependa kukueleza hakuna kidonge wala kitu chochote ambacho kitakusaidia kuondoa unene wote kwa siku wala wiki moja.

Wakati mimi naanza safari yangu ya ku loose weight nilikuwa more realistic. Nilijipangia target ya miezi mitatu mitatu. Yaani ndani ya miezi mitatu na loose 10kgs. Na baada ya miezi saba nili loose kilo 35. Nilijipangia miezi saba sababu ya kazi zangu niko busy mno kwa hiyo siku na muda mwingi wa kufanya mazoezi. Kama ukiwa na muda zaidi wa mazoezi na kujiweka kwenye strict diet basi unaweza ku loose hata kilo 20 kwa mwezi. 5kgs a week.

Nimesoma vitu inavyokula kwanza kabisa ningependa kukwambia unakula vitu vyenye high calories . Kuna formula mbili tu ukitaka ku loose weight. Mazoezi + low calorie diet. Ukiweza ku stick na hivyo basi hutashindwa ku loose weight.

Kuna app ilinisaidia saidia Sana "calorie count " download hiyo. Kabla hujala kitu andika kwenye hiyo app aitakwambia kuna calories ngapi kwenye hicho chakula kwanza. Na pia itakwambia kwa siku unatakiwa kuchukua calories kiasi gani.

Ikija kwenye mazoezi sio lazima uende gym kukimbia au kutembea haraka kwa lisaa au utakavyoweza pia ni mazoezi mazuri Sana. Kila ukifanya cardio (kukimbia,kutembea etc.) ukirudi nyumbani fanya push ups,sets & reps, squats ets

Ukiona kama huchoki au hufanyi hayo mazoezi sahihi jaribu ku angalia you tube kuna maelezo na utaona jinsi ya kufanya .
Binafsi nilianza kufanya yoga.

Kitu kimoja kinachokwamisha watu Si kuanza ni ku "keep up" kuna siku utakuwa umechoka Sana lakini don't give up. Is like anything in life.

Kila lakheri .
 
Miss natafuta nitafute pm kama kweli una shida..usipuuze mi sio me kusema nakujoke
 
asante sana .kumbe inatakiwa muda
 
Dawa ni ndogo sana ila ni ngumu. Mimi nilikuwa na tatizo la uzito na hata moyo ukaanza kusumbua. Niliamua iuacha kula siku nzima...nakula usiku saa moja chai labda na chapati then mpaka siku inayofuata. Mwili wote uliisha hivi sasa ninachezea 63kgs
 
Back
Top Bottom