Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
sinywi pombe kabisaKabisa na kama unakunywa(alcohol)hiyo haita kusaidia kabisa.
mkuu mimi siwezi kupiga deshi siku nzima jamani lohDawa ni ndogo sana ila ni ngumu. Mimi nilikuwa na tatizo la uzito na hata moyo ukaanza kusumbua. Niliamua iuacha kula siku nzima...nakula usiku saa moja chai labda na chapati then mpaka siku inayofuata. Mwili wote uliisha hivi sasa ninachezea 63kgs
asanteFanya mazoezi,jogging hata kilo meter 2 kwa siku,punguza carbohydrates & fats ule kidogo sana,protein & vitamins ndio ule kwa wingi
teh teh wenyewe majanga sioKomenti za wanaume wenzngu humu ndan ni kujisifia kuwa wanaweza toa msaada alfu kumbe n wenywe miili legelege tu
Basi we ukiamua unaweza kuondoa unene wote kwa muda mfupi Sana . All you need is commitment .sinywi pombe kabisa
huwa ninaanza plan nzuri tu no sugar no starch nakula mamboga mboga na mazoezi kidogo naenda hata week naona sipungui naacha nakata tamaa yaani
najichukia sana huu mwili wangu nimekuwa linene libayaaa
natamani kujipunguza ila sipungui ,natamani kujinyima kula ila nachoka inabidi nile japo kidogo
asubuhi nilikula chapati mbili na chai kidogo
mchana nikala biriani kidogo na nyama mbili
jioni nimekula nyama cha kuchemsha kama robo na kachumbari.
Hapa nipo nafanya mazoezi ninywe maji moto nilale,
nimeuchoka huu mwili nataka kesho nikaogelee ila sina mvuto kama zamani natamani nisiende ila marafiki zangu wataumia.
Serias kama kuna dawa naombeni ila sijazaa mwenzenu zisije zikayeyusha mayai yangu
Basi we ukiamua unaweza kuondoa unene wote kwa muda mfupi Sana . All you need is commitment .
Mimi niliteseka Sana maana nimnywaji mzuri wa Pinot noir. 😀
Kwa hiyo kila jumapili napeleka glass moja tu. Instead ya chupa nzima.
Mkuu kuokoka ni muhimu ukiokoka huwezi kujichukia,hilo moja lakini la pili ukiokoka utamtafuta Mungu kwa bidii kwa maombi ya kufunga kadri utakavyofunga itakuwa unapunguza mafuta mwilini ambayo ni chanzo kikuu cha unene.
sinywi pombe kabisa
huwa ninaanza plan nzuri tu no sugar no starch nakula mamboga mboga na mazoezi kidogo naenda hata week naona sipungui naacha nakata tamaa yaani
mkuu mimi siwezi kupiga deshi siku nzima jamani loh
Red wine ambayo huwa inapatika nchi zenye ukanda wa baridi "winter" original from France lakini pia unaweza ku order kutoka US, UK , Australia, New Zealand na pia unaweza kupata South Africa.Pinot noir ndio nini sister afro?
duh 93wgt alama ya atari sn una height kias gan bminina majonzi ujue am 93!
Red wine ambayo huwa inapatika nchi zenye ukanda wa baridi "winter" original from France lakini pia unaweza ku order kutoka US, UK , Australia, New Zealand na pia unaweza kupata South Africa.
Zipo feki mitaani lakini you can tell the difference.
Goes well with Rib eye steak and potato salad. 😀 Napenda kupika na ku match wine na chakula 🙄
Safi.Duh hahahaa mkuu afro we kiboko...kwangu mimi hiyo situmii aise,
GoodUnaweza pangilia mlo wako Kama hivi![]()
Unapaswa kuwa mvumilivu....
Safi.
Kila mtu na lifestyle yake au vipi . ? 😀