Ushauri: Najichukia sana unene wangu mpaka nakosa usingizi

Mkuu usijichukie wewe umeumbwa kwa mfano wa Mungu kwa hiyo wewe wa muhimu sana hapa duniani, wala usiishi ili kumridhisha mtu au kundi flani ishi maisha yako Kwa uhuru kabisa, mume yupo wa kufanana na wewe uliyeumbiwa na atakuja kwa muda sahihi Kabisa, usiishi ili kuwavutia hao wa mitaani, watakuchosha bure, ishi kutimiza kusudi lako la kuwa duniani, ongeza self-esteem discover yourself,
Kupunguza uzito mbona rahisi tu mkuu ukiamua, fanya mazoezi na upunguze vyakula vya wanga kwa kiasi kikubwa! Replace na mbogamboga na matunda
Mkuu remember to love everyone and you will be loved
 
my dear yote hayo nimeshafanya na ninafanya ila kila siku nipo pale pale 94-93
 
nina majonzi ujue am 93!
Duh! Pole mimi nina 44kg tu
mkuu tuheshimiane sijagegedwa miaka mitano sasa .hyo one night stand ilikuwa wapi na mie nimejiunga jf mwaka jana?
Toobaaaaaa
yaani siwezi kusex kabisa nina miaka kadhaa nina nyege sana sijui ndo zinaninenepesha?
Naomba uniahidi kitu kimoja, kwamba nikifanikiwa kukupa mazoezi ya kupunguza unene na ukifanikiwa utanipa Papuchi
 
Duh! Pole mimi nina 44kg tu

Toobaaaaaa

Naomba uniahidi kitu kimoja, kwamba nikifanikiwa kukupa mazoezi ya kupunguza unene na ukifanikiwa utanipa Papuchi
nikifika kg 70 nitakupa
 
Kitu kingne kuna ishu ya hormonal imbalance hupelekea pcos ambayo huleta ugumu in loosing weight kwa sisi wanawake /wadada
 
Kuwa na mawazo yaliyopitiliza inayosababisha chemical kuzalishwa ambazo zina fanya mwili urespond tofauti kwa mtu na mtu kuwa overweight or underweight
kuna kipimo cha stress?
Kitu kingne kuna ishu ya hormonal imbalance hupelekea pcos ambayo huleta ugumu in loosing weight kwa sisi wanawake /wadada
hormone zangu nadhani zipo ok maana nableed kila baada ya siku 28
 
Je umeongezeka ghafla kufikia uzito huo au umegain kidogo kidogo mpaka kufikia hapo
 
Unaweza tumia dawa ya kuharisha..? achana na chips, nyama, kuku, etc pendelea kula samaki, mboga mboga na matunda.. na maji kwa wingi, hasa ya moto asubuhi kama nusu lita kabla hujala chochote
 
huwa inasababisha unene?
Ndiyo. Nimeona Barbra kumbe alishagusia. Usingizi je? Unalala sana au unaukosa? Na zile desturi za wanawake ziko vizuri? Usijibu hapa. Jibu kimoyomoyo. Kama akili haijasongwa, moyo hauna mizigo, unakula vizuri, unafanya hata mazoezi, hujazaa wala hutumii contraceptives, ulishavuka balehe hujakaribia menopause basi sijui utakuwa na shida gani. Au vinasaba?

Achana na njia za mkato za dawa format hard disk.
 
kuhusu kulala mkuu mpaka saa sita huko ndo natapa usingizi ila nikilala nimelala
siku zangu zipo ok 28 days net naenda period
moyo bna umesongwa tu na stress za maisha kama kawaida kufulia,ila sio mapenzi maana sina mpenzi
sijazaa wala situmii madawa ya uzazi
miaka yangu 33
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…