Mkuu usijichukie wewe umeumbwa kwa mfano wa Mungu kwa hiyo wewe wa muhimu sana hapa duniani, wala usiishi ili kumridhisha mtu au kundi flani ishi maisha yako Kwa uhuru kabisa, mume yupo wa kufanana na wewe uliyeumbiwa na atakuja kwa muda sahihi Kabisa, usiishi ili kuwavutia hao wa mitaani, watakuchosha bure, ishi kutimiza kusudi lako la kuwa duniani, ongeza self-esteem discover yourself,
Kupunguza uzito mbona rahisi tu mkuu ukiamua, fanya mazoezi na upunguze vyakula vya wanga kwa kiasi kikubwa! Replace na mbogamboga na matunda
Mkuu remember to love everyone and you will be loved
Kupunguza uzito mbona rahisi tu mkuu ukiamua, fanya mazoezi na upunguze vyakula vya wanga kwa kiasi kikubwa! Replace na mbogamboga na matunda
Mkuu remember to love everyone and you will be loved