Ushauri: Najichukia sana unene wangu mpaka nakosa usingizi

Hizo limao unakamulia kwenye hayo maji au? To darasa mkuu mim kitambi kinanikera sana, mwishoe kitapunguza urefu wa cassava yangu
mkuu mazoezi ya kupunguza tumbo yapo mengi afu simple tu
 
Tafuta mwLimu wa gym professional na umlipe atakavyo fanya kila zoez hata kma unahisi kuchoka ...mwez mmoja utaitafuta hii coment uilike...
 
sitanii jamani nisaidieni nasikia kuna dawa nishaurini ambazo hazina side effect

Ukitaka kupungua fastaa anza kuisifia CCM . Only two hrs unapoteza kilo za kutosha na nyama uzembe zote kwishaaa maana nj kazi nzito sana kwa sasa [emoji12][emoji12][emoji12][emoji12]

NimekuPM mydear
 
Huyu si ndie aliewahi kuanzisha Uzi wenye minajali ya UVIVU?

Kila kitu yeye kwakwe ni Uvivu.

Naona Nyuzi zake ziko kimikato hii
 
Glass moja ya juisi ya ukwaju kila siku asubuhi kwa mwezi mmoja kama utakuwa hujapungua. Nikumbushe nikubadilishie dawa. Usiweke sukari kwenye juisi hiyo.
 
Pata tips hapo zitakusaidia pia
 

Attachments

sitanii jamani nisaidieni nasikia kuna dawa nishaurini ambazo hazina side effect
Hakuna dawa inayoondoa unene bila side effect. Wewe fanya mazoezi na upunguze kula vyakula vya wanga na mafuta. Hizo dawa zingine utaishia kuharisha tu.
 
nitanenepa zaidi mkuu
Achana na carbohydrates food go green. Nunua blender. Anza kuweka mchicha mchanga, tango, tangawizi, coriander, mashrooms hata ukitaka water molone, limau. Kunywa iwe mlo wako. Kazini funga matunda. Achana na kutumia gari kila mahali. Tembea at least 3 km a day unapokuwa na muda. Achana na nyama kwa muda unaweza pata protein kwenye karanga na maharagwe you do not need meat. Nunua scale uwe unajipima every week uone kama umepungua au la. Ni mawazo yangu tu lakini.
 
Mtafute Dr Boaz kwenye facebook halafu ufanye program yake ya kupunguza unene bila kushinda na njaa. Itakupasa uache kabisa WANGA na SUKARI.
 
Huyo ktk avatar ndo wewe?? Mbona uko sawa na poa?? Kama unataka upungue zaidi ya hapo kuna vyakula vya kutokula na pia jiunge na jogging club au kama una rafiki anayetrott trott anza nae zoezi.
Au njoo uwe unakimbia na mimi, nitakukamua mafuta yote'
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…