barafuyamoto
JF-Expert Member
- Jul 26, 2014
- 32,378
- 29,739
Achana na dawa, piga zoezi na diet ambayo sio ya kuongeza unene.sitanii jamani nisaidieni nasikia kuna dawa nishaurini ambazo hazina side effect
Wewe unasumbuliwa na maruhani ya ngono tu aliyekuambia ngono inapunguza mwili nani?Shuguli yangu kitandani wiki moja, mwili wote kwishney. Mpaka unashangaa maana mwili utapungua na raha juu.
najichukia sana huu mwili wangu nimekuwa linene libayaaa
natamani kujipunguza ila sipungui ,natamani kujinyima kula ila nachoka inabidi nile japo kidogo
asubuhi nilikula chapati mbili na chai kidogo
mchana nikala biriani kidogo na nyama mbili
jioni nimekula nyama cha kuchemsha kama robo na kachumbari.
Hapa nipo nafanya mazoezi ninywe maji moto nilale,
nimeuchoka huu mwili nataka kesho nikaogelee ila sina mvuto kama zamani natamani nisiende ila marafiki zangu wataumia.
Serias kama kuna dawa naombeni ila sijazaa mwenzenu zisije zikayeyusha mayai yangu
Nakushauri ushauri wa maana sana,najichukia sana huu mwili wangu nimekuwa linene libayaaa
natamani kujipunguza ila sipungui ,natamani kujinyima kula ila nachoka inabidi nile japo kidogo
asubuhi nilikula chapati mbili na chai kidogo
mchana nikala biriani kidogo na nyama mbili
jioni nimekula nyama cha kuchemsha kama robo na kachumbari.
Hapa nipo nafanya mazoezi ninywe maji moto nilale,
nimeuchoka huu mwili nataka kesho nikaogelee ila sina mvuto kama zamani natamani nisiende ila marafiki zangu wataumia.
Serias kama kuna dawa naombeni ila sijazaa mwenzenu zisije zikayeyusha mayai yangu
Mi nadhani bilauri moja ya whisky ama vodka ingekuwa poa zaidi ili kuchoma hayo mafuta.Glass moja ya juisi ya ukwaju kila siku asubuhi kwa mwezi mmoja kama utakuwa hujapungua. Nikumbushe nikubadilishie dawa. Usiweke sukari kwenye juisi hiyo.
Mi nadhani bilauri moja ya whisky ama vodka ingekuwa poa zaidi ili kuchoma hayo mafuta.
kweli mkuu?
Nakushauri ushauri wa maana sana,
Okoka mpokee Yesu awe Bwana na mwokozi wa maisha yako.
Anza kumtafuta Mungu kwa bidii kwa maombi ya kawaida na ya kufunga
Mungu atajua hisia zako jinsi usivyoupenda unene na yeye kwa sababu ndiye aliyekuumba atakuweka vile unavyopenda kuwa,
Muhimu ni kuwa iwe unataka kuwa unavyotaka kuwa kwa utukufu wa Mungu.
Barikiwa sana dada yangu.
Mkuu kuokoka ni muhimu ukiokoka huwezi kujichukia,hilo moja lakini la pili ukiokoka utamtafuta Mungu kwa bidii kwa maombi ya kufunga kadri utakavyofunga itakuwa unapunguza mafuta mwilini ambayo ni chanzo kikuu cha unene.Kuokoka sio dawa ya unene Jamaa, mfumo wa chakula ndio issue kubwa! Aujue mwili wake na afya iimarike ndio mtu anaweza kuabudu vizuri! Vinginevyo unatumia dini vibaya.... Chunga kauli zako
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Jitahidi ufike hapo somalia ukikaa wiki moja tu utarudi upo vizur kabisa.
Na bila Shaka ukienda haja ndogo inaonekana njano Sana rangi yake na hiyo ni kutu,yanini kujitesa namna iyo?chuma kitaisha kwa kuliwa na kutu icho!yaani siwezi kusex kabisa nina miaka kadhaa nina nyege sana sijui ndo zinaninenepesha?
Sana tu hufanya mwili kuzalisha androgen ambayo ni male hormones husababisha kuwa na uzito Mkubwa na inakuwa ngumu sana kupunguzaHormone si za uzazi tu. Mfumo wa hormone ni mpana. Unaweza kuvuruga mfumo wa umeng'enyaji chakula, utoaji takamwili, hisia n.k