Ushauri: Najichukia sana unene wangu mpaka nakosa usingizi

Weka picha tuone ulipo fikia unene wako
 
najichukia sana huu mwili wangu nimekuwa linene libayaaa
natamani kujipunguza ila sipungui ,natamani kujinyima kula ila nachoka inabidi nile japo kidogo
asubui nilikula chapati mbili na chai kidogo
mchana nikala biriani kidogo na nyama mbili
jioni nimekula nyama cha kuchemsha kama robo na kachumbari
hapa nipo nafanya mazoezi ninywe maji moto nilale
nimeuchoka huu mwili nataka kesho nikaogelee ila sina mvuto kama zamani natamani nisiende ila marafiki zangu wataumia
serias kama kuna dawa naombeni ila sijazaa mwenzenu zisije zikayeyusha mayai yangu
 
Attachments

  • 1479585291356.png
    1479585291356.png
    367.6 KB · Views: 59
Mkuu, hili halikuhusu... Ilikuwa one night stand na miss natafuta....... Kama hakufurahia game angesema, sio kunikataa hadharani...
mkuu tuheshimiane sijagegedwa miaka mitano sasa .hyo one night stand ilikuwa wapi na mie nimejiunga jf mwaka jana?
 
Pole aise..kwanza punguza kula vyakula vyenye wanga kama wali nk..pili ukitaka kupungua kwa haraka fanya mazoezi ukiwa hujala..mazoezi yatastimulate mwili kutumia calories ambazo tayari ziko stored mwilini instead of chakula ulichokula..mwisho kabisa epuka vitu vya Sukarno kama soda n.k
 
mkuu huwezi amini sijala wali ,pilau tambi ,ugali kama mwezi hivi na kinachoniuma rafiki zangu wamekuja tumepika pilau la hatare wanajichana hapa mimi sili ila ukitucheki mimi ndo linene na libaya hapa inauma sana
 
  • Thanks
Reactions: MC7
najichukia sana huu mwili wangu nimekuwa linene libayaaa
natamani kujipunguza ila sipungui ,natamani kujinyima kula ila nachoka inabidi nile japo kidogo
asubui nilikula chapati mbili na chai kidogo
mchana nikala biriani kidogo na nyama mbili
jioni nimekula nyama cha kuchemsha kama robo na kachumbari
hapa nipo nafanya mazoezi ninywe maji moto nilale
nimeuchoka huu mwili nataka kesho nikaogelee ila sina mvuto kama zamani natamani nisiende ila marafiki zangu wataumia
serias kama kuna dawa naombeni ila sijazaa mwenzenu zisije zikayeyusha mayai yangu
Hata mimi napenda kuogelea,ila sina kampani naomba kampani plz dada
 
Hakikisha mlo wako wa mwisho ni saa 12 jioni mpaka kesho asubuh

Unapotaka kula tangulisha maji kwanza Ndo ule utakula kidogo kwasababu maji yamejaza tumbo

Vegetables and fruits na proteins ndo kiwe chakula chako

Kunywa maji ya uvuguvugu weka asali na mdalasini(google honey and cinnamon for weight loss) hii inasaidia sana was 73kgs now am 70kgs

Regular exercise to burn fat especially evenings walk mpaka unasweat
 
Back
Top Bottom