Ushauri: Nakwenda kutambulishwa kama mchumba ukweni

Ushauri: Nakwenda kutambulishwa kama mchumba ukweni

Hahaha..jamaa anajipeleka gerezani mwenyewe sio?

Ndio maana yake yanajirudia yale maisha kama alivyokuwa anaishi na mama yake nyumbani kwamba upo wapi na nani unafanya nini na nani ulikuwa wapi na nani ametoka wapi kwanini!!pumbavu sana
 
Legend [emoji23][emoji23][emoji23]
achana na white house kwa joe

sehemu salama zaidi duniani ni kwenda kutambulishwa ukweni utachinjiwa yule kuku aliyenona mzee
mimi dada zangu wakileta wachumba kuwatambulisha siendagi huwa nacheka sana
 
achana na white house kwa joe

sehemu salama zaidi duniani ni kwenda kutambulishwa ukweni utachinjiwa yule kuku aliyenona mzee
mimi dada zangu wakileta wachumba kuwatambulisha siendagi huwa nacheka sana

Hahahaa.... balaa sana
 
Relax, kwenda kujitambulisha sio kwenda kuozeshwa/kuoa...

Jiandae tu kujibu maswali mawili matatu especially kama ukikuta wazazi wa binti ni wenye kuongea sana au kiasi...kwa kifupi lazima wakuchimbe ili wakujue
 
Nakumbuka nimeshawi kwenda kujitambulisha kwenye nyumba 4 tofauti yaani unakuwa na uhakika wa papuchi yaani kitonga hadi unafurahi na roho yako!kila mwaka ukiisha unasema unaowa mwakani yaani ni mwendo wa mitano tena hadi anachoka mwenyewe analala mbele unaenda tena kujitambulisha sehemu nyingine
 
Huyo binti sio mzima


Kutambulishwa ndio nini??????


Alitakiwa akwambie upeleke mshenga utoe mahari uchumbie!!!!!


Sio unaenda wewe na suruali yako!!!
 
duh , shida na complications zote izo kwa papuchi used ( sio bikra )
 
Ndo mda wenyewe umekaribia....usisahau mrejesho baada ya tukio
 
Kwenda ukweni ndo mambo yangu hayo yaani nikiambiwa unaitwa nyumbani huwa nafurahi kweli maana watanipa uhuru baada ya hapo simu moja tu na maneno mawili NIPO NAE nimemaliza unaombea mvua kila siku.

Nimeenda kwa wakwe watano tofauti na bado natafuta wa kunilazimisha twende ukweni.
Aisee naomba namba zako twende namimi sehemu😁
 
Sasa unakwenda kwao ili kuwaambia wewe Ndio kidume unamvua nguo mtoto wao au unaenda kupeleka kishika uchumba!? Au unaenda baada ya binti kupata mimba sielewi adhma yako nini
 
Back
Top Bottom