Muuza simu used
JF-Expert Member
- Aug 23, 2017
- 4,393
- 7,074
Hahaha..jamaa anajipeleka gerezani mwenyewe sio?
achana na white house kwa joeLegend [emoji23][emoji23][emoji23]
achana na white house kwa joe
sehemu salama zaidi duniani ni kwenda kutambulishwa ukweni utachinjiwa yule kuku aliyenona mzee
mimi dada zangu wakileta wachumba kuwatambulisha siendagi huwa nacheka sana
Ndugu yangu bado upo tabata?Haya Mambo ya uchumba na ndoa Kumbe bado yapo
Ndugu yangu bado upo tabata?
Nataka uwe mshenga wangu mwezi ujao
Huyu jamaa niliambiwa ni Fundi wa kuongea, nahisi atanisaidia[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Huyu jamaa niliambiwa ni Fundi wa kuongea, nahisi atanisaidia
Kuna ishu ya kubagain mahari kamandaSasa kule unataka muongeaji wa nn hasa? Si ni suala la kutambulishwa tu kisha unasepa kujiandaa na ndoa
Aisee naomba namba zako twende namimi sehemu😁Kwenda ukweni ndo mambo yangu hayo yaani nikiambiwa unaitwa nyumbani huwa nafurahi kweli maana watanipa uhuru baada ya hapo simu moja tu na maneno mawili NIPO NAE nimemaliza unaombea mvua kila siku.
Nimeenda kwa wakwe watano tofauti na bado natafuta wa kunilazimisha twende ukweni.