Ushauri: Namna nzuri ya kumwambia mpenzi wako kuwa sehemu ya mwili wake inatoa harufu kali

Kama ni kunuka kikwapa mpelekee zawadi ya Deodorant. Muambie darling, hii itasaidia kukata jasho na harufu. Ni nzuri sana, hata mimi naitumia.

Kama ni kunuka mdomo, mnunulie mswaki mzuri pamoja na dawa ya meno ukiambatanisha na mouth wash. Muambie sweetheart, kuna trend kubwa sana ya watu kung'oa meno. Ni kwa sababu tunashindwa kusafisha kwa usahihi na kutumia dawa ambazo hazina ubora. Tunapaswa kuswaki namna hii (huku ukimuelekeza). Tukishakula endapo hatuna nafasi ya kuswaki, basi tusukutue kwa mouth wash yetu hii. Ni bora sana na inafaa kwa watu wa kisasa.

Kama ananuka uchi, mueleze mfike kwa daktari. Muambie unawashwa maeneo hivyo muende kwa pamoja kutafuta suluhisho.

Mambo ya miguu, mchane ukweli. Hatojisikia vibaya.

Puani hakunaga harufu. Mdomo ukinuka basi puani napo hutoa harufu mbaya.

Masikioni, nunua pamba. Kachezeni bafuni, ukirudi shika pamba ukijidai kupeana raha za kutekenyana masikio. Huku unamsafisha.

Kumuambia ni jambo moja. Utekelezaji ni jambo jingine. Kumsaidia kuondokana na tatizo hilo ni muhimu sana kuliko kumuambia.

Wasalaam.
 
Mkuu umemalizabissue si kumwambia bali ni kumsaidia,
 
Ni namna gani unaweza kumueleza mwenzi wako, mathalani kwenye tupu, mdomoni, maskioni, kichwani, puani, kwapani, miguuni au mwilini kwa ujumla kwamba kunatao hewa na harufu kali na ngumu kuivumilia wala kuistahimili na asiweze kujiskia vibaya?
We muite wote muende kuoga, mwambie leo nakusafisha maeneo fulani na mwili wote, mwambie awe anasafisha uko sana alafu mpe french kiss.

Usiwe muoga.
 
We muite wote muende kuoga, mwambie leo nakusafisha maeneo fulani panaponuka, mwambie awe anasafisha uko sana alafu mpe french kiss.
Ahaa..😄😄😄
Mbinu ya hovyo hiyo..

Mpelekee 🔥🔥🔥🔥🔥 Hadi uboo uchomoke na vile vimitindi..alafu muoneshe ..mwambie hivi ndo vinaleta harufu kesho tuongozane kwa Dk.
 
Ndio maana nina Mwanamke mmoja tu, haya mambo ya kudandia watu wasiojielewa aisee ni mtihani.

Ki kawaida kama mwili unatoa harufu unajijua, na lazima uchukue hatua kadhaa. Ukiona mtu karelax tu ujue ni shida hiyo.

Unatakiwa uwe na Mwanamke unaeweza kumlamba sehem yoyote Mwilini.
 
Ni namna gani unaweza kumueleza mwenzi wako, mathalani kwenye tupu, mdomoni, maskioni, kichwani, puani, kwapani, miguuni au mwilini kwa ujumla kwamba kunatao hewa na harufu kali na ngumu kuivumilia wala kuistahimili na asiweze kujiskia vibaya?
Sasa si mtu wako mwambie taratibu kwa utulivu kama unahisi hali ya nyuchi imebadilika maybe muende wote hospitali maradhi siku hizi ya kike ni mengi sana
 
Back
Top Bottom