Ushauri: Namna nzuri ya kumwambia mpenzi wako kuwa sehemu ya mwili wake inatoa harufu kali

Ushauri: Namna nzuri ya kumwambia mpenzi wako kuwa sehemu ya mwili wake inatoa harufu kali

Nilikutana na demu Mmoja Ile kumaliza nikala mate na kiss kibao then unajua baby Kuna kaharufu Fulani sio mahala pake nenda hospital Kuna dawa watakupa utakaa poa alijihisi amani baada ya wiki nikala mzigo nikamwambia uko poa alijihisi amani tu
 
Mtaala mpya wa Elimu Kuwepo na Topic maalumu ya Kuwafundisha Wasichana jinsi ya kujisafisha Sehemu zao za Siri,

Maan hii kitu imeshakuwa kama Janga la Taifa sasa Yan kabla ya Game lazima ukiprogramm kichwa chako kkutana na chochote cha kukuchefua sasa ndo mapenzi gan hayo.
 
Back
Top Bottom