Ushauri: Namna nzuri ya kumwambia mpenzi wako kuwa sehemu ya mwili wake inatoa harufu kali

Ushauri: Namna nzuri ya kumwambia mpenzi wako kuwa sehemu ya mwili wake inatoa harufu kali

Asee umenikumbusha manzi flani hivi kaliii ila sasa ikiwa horny kidogo tu hapakaliki tena. Ile najikaza tu sababu ya uzuri wake ila daah sio poa
 
Mwanamke Msafi hata atoke wapi ukimvua chupi husikii harufu mbaya..

Wife yeye anatoka kazini akifika akinikita nina ganzi zangu hata sisubiri aende kuoga wala aende kukojoa namrukia. Hana hayo maharufu. Na almost 12 hrs alikuwa kazini.
Ok ila huenda Kazini anashinda kwenye kiyoyozi , ila wengine inasababishwa na hali ya joto, hivi joto la Dar hili na daladala mkuu
 
Unamchana live. Mwambie nasikia harufu mbaya kama umebeba mzoga wa panya miguuni. Atarudi siku nyingine kivingine. Bahati mbaya ujikute kwake sasa. Dadeeki
 
Naenda nae kuoga.. tutaswaki huko huko
Nsivyopenda uchafu hapana kwa kweli, majuzi nilikutana na pisi kwenye usafiri, tukasalimiana fresh nikawa namuongelesha naona kimya, kimya, kimya nikamfanyia kwa vitendo akaniuliza nini, nkamjib nilidhania we ni bubu kumbe unaongea, akacheka na kuanza kunipa ushirikiano, ndipo nilipojua kwanini alikuwa kimya. Kinywa kinatoka harufu na alivyokuwa amependeza nikaanza kuwa kimya mimi.
 
Khah! Wafanyeje? Umewahi ona mifugo ikijichunga? Kazi ya mchungaji nini sasa? Au mifugo si ipo kwa ajili ya kuchinjwa?
Mimi ni Muislam, na kila Muislam ni mchungaji, lazima niikumbushe mikondoo njia iliyo sahihi ni ipi.
 
Nsivyopenda uchafu hapana kwa kweli, majuzi nilikutana na pisi kwenye usafiri, tukasalimiana fresh nikawa namuongelesha naona kimya, kimya, kimya nikamfanyia kwa vitendo akaniuliza nini, nkamjib nilidhania we ni bubu kumbe unaongea, akacheka na kuanza kunipa ushirikiano, ndipo nilipojua kwanini alikuwa kimya. Kinywa kinatoka harufu na alivyokuwa amependeza nikaanza kuwa kimya mimi.
Afu nyie mnao ongelesha watu barabarani mnakwaza… sijawahi kuwaelewa

Uzi unazungumzia mpenzi/ mke/ mume.. ungefanyaje?
 
Afu nyie mnao ongelesha watu barabarani mnakwaza… sijawahi kuwaelewa

Uzi unazungumzia mpenzi/ mke/ mume.. ungefanyaje?
Nchi huru hii ukinipa ushirikiano fresh tunabonga wengine hatujaoa huenda mke nkakutana nae kwa njia hiyo.

Mke ntampambania akafanye vipimo kwa daktari wa kinywa i
 
Back
Top Bottom