Ushauri: Namna nzuri ya kumwambia mpenzi wako kuwa sehemu ya mwili wake inatoa harufu kali

Ushauri: Namna nzuri ya kumwambia mpenzi wako kuwa sehemu ya mwili wake inatoa harufu kali

DR REMMY ONGALA

Ndie mwanamuziki wa kwanza kama sio pekee mwenye recognition ya jina la mtaa nchini Tanzania.

Remmy Ongala alipiga muziki wake kwa mtindo wa Soukous yaani maadhi ya Rhumba toka DRC huku akiimba kwa lugha ya Kiswahili.

Nyimbo zake zilibeba jumbe murua, aliimba kuhusu umaskini, rushwa, siasa, maisha ya watu wa kawaida, viongozi na kuisifu Tanzania kama nchi nk.

Mwaka 1990 alitoa wimbo uitwao "Mambo kwa soksi" ulopingwa na watu wengi hadi kufikia kufungiwa. Japo ulifungiwa Remmy aliendelea kuutumia katika shows zake.

Baadae kidogo mwishoni mwa miaka ya 90 Watanzania wengi walikuja kugundua wimbo huo haukuwa ukisifia ngono kama ambavyo walivyodhani mwanzo bali ni kuwaasa watu wanaofanya ngono zembe kujilinda.

Pia inasemekana wimbo wake ya "Kipenda Roho" ilitumika katika filamu ya kimarekani iitwayo NATURAL BORN KILLERS ya Oliver Stone.

Kutokana na nyimbo zake nyingi kupinga uongozi wa wakati huo, alijikuta akirudi nyumbani kwao DRC kwa muda.

Kutokana na umaarufu wake wa kuitangaza Tanzania ndani na nje ya nchi Afrika na Ulaya alikokuwa maarufu sana, alifanikiwa kupata uraia wa Tanzania.

Ndie msanii wa kwanza Tanzania kupata shows katika matamasha makubwa ulaya tangu miaka ya 1980s

Kwa ajili ya uimbaji na utunzi wake wa kuliwaza, Remmy alipewa jina la “Dokta”

Alipozaliwa wazazi wake walimuita Ramadhani Mtoro Ongala. Alizaliwa Mwaka 1947 katika mkoa wa Kivu huko DRCongo ya leo ambayo hapo zamani kwanza iliitwa Belgian Congo kabla ya kuitwa Zaire. Familia yake iliishi katika eneo lililoitwa Kindu eneo ambalo halikuwa mbali sana kutoka mpakani na Tanzania. Baba yake alikuwa ni mwanamuziki mashuhuri pia akiwa mpiga ngoma kwa kutumia mkono na pia mbira. Pindi tu alipozaliwa familia yake ilihamia Kisangani.

Wewe unaonaje!?
Muziki wa Dansi wa Tanzania una asili ya DRC Congo!?
 
Hii imekujaje hapa!??
 
K au tupu haina harufu, Ni Kama mdomo. Mdomo utanuka tu iwapo haufanyiwi usafi.
There are as many germs in the mouth as there are in the vagina.
(Angalizo. K au tupuhaioshwi na sabuni. Maji ya uvuguvugu tu.)
 
Ndrugu zangu wapendwa,
Nimefurahishwa sana na michango, maoni, mitazamo, ushauri, elimu, ufahamu na uelewa wenu juu ya bandiko langu muhimu la namna nzuri na bora ya kumweleza mwenzi wako kwa jambo Fulani haliko sawa na asijiskie vibaya.

Harufu ya tupu na maeneo mengine mwilini ni sehemu tu ya mambo mengi yanayofanya ndoa na mahusiano mengi hivi sana kuwa legevu, na yaliyokosa furaha, uelekeo na uhai.

Nikiri tu, mimi ni mdau wa muda kidogo kwenye masuala ya ushauri na usuluhishi katika changamoto za ndoa, uchumba sugu na mahusiano.

Suala la usafi linahatarisha Uhai, amani na furaha katika ndoa, chumba na mahusiano mengi....

wamama na wadada wanalalama waume au wachumba zao kutoshiriki nao tendo la ndoa kwa muda mrefu.
Sababu ikiwa ni ulevi kupindukia, visingizio vya uchovu, lakini pia uchafu uliokithiri mathalani harufu kali ya pombe,sigara na ugoro, harufu ya kikwapa, miguu, pua na uvivu wa kuoga au kufanya usafi wa mwili.

Nimeona kwenye koment mtu amesema harufu hadi kwenye pua nimeongeza chumvi.
Pua zinatoa harufu kali sana, na inatakiwa kuzisafisha kwa maji safi kila unapooga. Unaziba pua moja na kufanya kama unapiga chafya kisha unamaliza na nyingine.
Mtu asie safisha pua akipiga chafya lazima utaskia harufu kali mbaya sana. Na huenda unanuka pua mwenzie anakuvumilia tu.

wababa nao wanalalama sana kwamba wamama hawaogi, tupu zinatoa harufu kali mbaya hiyo hamu ya tendo utaipata wapi?
hawanyoi huko chini, nywele zinanuka, ukimwambia bendi down harufu ni kali zaid n.k.

So,
Ndugu zangu,
kwa Kuhitimisha lakini sio kufunga mjadala, tujitahidi sana kuwa wasafi. Sio tu tukiwa kwenye ndoa, tuwe wasafi wakati wote ni muhimu sana.
Tusijibweteke na kujisahau kwenye ndoa au mahusiano na kuacha jambo muhimu kama hilo.

Safisha tupu vizuri wote akina baba na mama, ondoa nywele zisizotakiwa, safisha kinywa, safisha makio, nywele zenye harufu, pua, safisha chini ya matiti kwa akina dada, safisha mfereji ulotenganisha kalio zako, kalio huifadhi harufu kali na mbaya ya kinyesi hususani unapojamba, safisha miguuni, safisha kwapa, meno, macho mara kwa mara na hauta kua kwazo kwa mwenzie.

Mfanye mwenzi wako rafiki na mshikaji wako wa karibu sana na hiyo ndio njia rahisi zaid kuitumia kumweleza mwenzi wako kwa jambo fulani si zuri na asijiskie vibaya.
 
Ni namna gani unaweza kumueleza mwenzi wako, mathalani kwenye tupu, mdomoni, maskioni, kichwani, puani, kwapani, miguuni au mwilini kwa ujumla kwamba kunatao hewa na harufu kali na ngumu kuivumilia wala kuistahimili na asiweze kujiskia vibaya?

Unamtumia link ya uzi huu...
 
Kama hivo
Screenshot_20231109-091749.jpg
 
Mweupe haswaaa itabid nikupatie tu
Shem, moyo wako ububujike neema, upate pesa nyingi zingine mpk ugawie ma boss uchwara wa humu jf!!

Huyo mdogo wako mweupe wa kuzaliwa nitumie japo kapicha😃
 
Shem, moyo wako ububujike neema, upate pesa nyingi zingine mpk ugawie ma boss uchwara wa humu jf!!

Huyo mdogo wako mweupe wa kuzaliwa nitumie japo kapicha😃
Sio mdogo angu ni dada angu.
Kapicha ntakutumia kua nasubra shem kama shem
 
Back
Top Bottom